Gospel KTV
JF-Expert Member
- Aug 23, 2025
- 201
- 354
Wengi wanavua nguo na kuzini wakiwa hawajaonja pombe kabisaaaa na wamejipodoa wananukia vyema..huko uwanja wa Fisi,kwa mparange nk.Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake. Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi, unaongea kama teja au zombi, unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo, unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana, wapo wengine wanavua hadi nguo, wapo wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji, wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Kuzini ni dhambi. Kuzini maana yake ni kufanya mapenzi na mtu ambaye sio mpenzi wako. Unaleta migogoro katika mahusiano na ndoa. Ndoa inakosa amani na mahusiano yanakosa amani mpaka yanavunjika kabisa. Kwenye ndoa watoto wanakosa amani wazazi wao wanagombana ovyoovyo kwasababu ya uzinzi na ulevi.Kuzini ni kosa?
Kuyumbayumba ni kosa?
Kuongea mwenyewe ni kosa?
Kuvua nguo ni kosa?
Kosa ni nini?
Kosa ni nini?Kuzini ni dhambi. Kuzini maana yake ni kufanya mapenzi na mtu ambaye sio mpenzi wako. Unaleta migogoro katika mahusiano na ndoa. Ndoa inakosa amani na mahusiano yanakosa amani mpaka yanavunjika kabisa. Kwenye ndoa watoto wanakosa amani wazazi wao wanagombana ovyoovyo kwasababu ya uzinzi na ulevi.
Nayeye anawajibika kwa dhambi yake.Sishabikii ulevi lakini inawezekana Mtu hatumii Pombe lakini ni Mnafiki, Mchonganishi n.k. hizo nazo ni dhambi.
KulaGuys..kuyumba yumba tu nayo dhambiii?!!!!!!
Mkemia anayejua athari za ulevi vizuri hawezi kutengeneza pombe yenye ufisadi ndani yake. Pombe inaua viungo vya ndani vya watu. Inaua figo na ini. Kwahiyo anatenda dhambi ya kuua.Mkemia anayetengeneza soda naye ni mnywa pombe nawe usinywe hata hizo soda
Nyingine ni Damu ya Yesu.Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Sasa wewe mbona umechagua dhambi ya Pombe tu...!!?Au ndiyo shambulio la Biashara za wenzako ili Juisi yako iuzike sana??Nayeye anawajibika kwa dhambi yake.
Utakuta mtu mdomo umejaa machicha ya pombe anaongea hovyohovyo, anamsahau mke wake, anatukana watoto akirudi kulewa alafu anasema pombe sio dhambi.Kula
Kisungura
Double kiki
Habar ya mjini kwa wenye kipato duni
Mbona Biblia imesema fungu la kumi naweza kunulia pombe?Binadamu anapotumia pombe inaweza kumbadilisha na kuwa binadamu asiye wa kawaida. Anaweza kuanza kuropoka mambo ya ajabu kabisa. Huku anatembea anayumbayumba anaishiwa nguvu
Ni dhambi kwasababu pombe inaudanganyifu ndani yake
- Pombe inafyatua akili yako unakua kama chizi
- Unaongea kama teja au zombi
- Unaongea peke yako, unatukana ovyoovyo
- Unaongea matusi, wapo wengine wanapiga hadi wake zao na kuwatukana
- Wapo wengine wanavua hadi nguo
- Wengine wanafanya hadi uzinzi, wengine wanaweza fanya hadi ubakaji
- Wengine wanavunja hadi amri za barabarani wanasababisha ajali.
Pombe ni dhambi. Acha pombe.
Nimeanza na pombe kwanza kwasababu inashambulia akili na ufahamu.Sasa wewe mbona umechagua dhambi ya Pombe tu...!!?Au ndiyo shambulio la Biashara za wenzako ili Juisi yako iuzike sana??
Vipi kutolala kwenye net mbu wakakushambulia ukapata Malaria ya Kichwa ni dhambi!!! Au ukafa kabisa maana Malaria ni hatari sana na tatizo kubwa ni hela ya kununulia net na repellents zingine??!Nimeanza na pombe kwanza kwasababu inashambulia akili na ufahamu.
Kama unaamua kujilaza kwenye sehemu yenye mbu kwa makusudi ni dhambi tena dhambi kubwa sana. Ila kama ni bahati mbaya sio dhambi.Vipi kutolala kwenye net mbu wakakushambulia ukapata Malaria ya Kichwa ni dhambi!!! Au ukafa kabisa maana Malaria ni hatari sana na tatizo kubwa ni hela ya kununulia net na repellents zingine??!