Jobo mtu mbadi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Piga kitu inaitwa JOBO VODKA, hii ina harufu ya chocolate. Ukiipiga hii hamna harufu kabisa popote unaingia.
Ila chunga na uchunge zaidi, ina alc 43 ukizidisha lazma utayumba.
Hiyo noma sema vijana wanapenda kisungura tu kina harufu kishenzi wakati bei kama hiyo ubapata jobo haina harufu.Jobo mtu mbadi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MajiHabari?
Natafuta Pombe ambayo nikinywa haina harufu mdomoni. Namaanisha hata kwenye interview naweza timba nikatoka HR akaniona mnyama bila kushtukia issue kwa hapa TZ.
NB. Kama hujui kaa kimya.
Gongo, virobaHabari?
Natafuta Pombe ambayo nikinywa haina harufu mdomoni. Namaanisha hata kwenye interview naweza timba nikatoka HR akaniona mnyama bila kushtukia issue kwa hapa TZ.
NB. Kama hujui kaa kimya.
TemboHabari?

hilo jina sijuh walikuwa wanawaza niniKIWINGU akiimung'unya na Mbaazi au Mseto wala hainaga harufu
Nchi hii jamaniHabari?
Natafuta Pombe ambayo nikinywa haina harufu mdomoni. Namaanisha hata kwenye interview naweza timba nikatoka HR akaniona mnyama bila kushtukia issue kwa hapa TZ.
NB. Kama hujui kaa kimya.
Yah dishi kuchezacheza ni lazimaZipo nyingi...
Ila pombe haidanganyi....kuna kanamna itaonesha tu 'umeshapendeza' tayari