Pombe gani nikinywa haina harufu mdomoni?

Pombe gani nikinywa haina harufu mdomoni?

Habari?

Natafuta Pombe ambayo nikinywa haina harufu mdomoni. Namaanisha hata kwenye interview naweza timba nikatoka HR akaniona mnyama bila kushtukia issue kwa hapa TZ.

NB. Kama hujui kaa kimya.

Gongo la mto msimbazi au Kigogo
 
Tingisha ni balaa tupu kam una kichwa kibovu usitumie! Mim sas hv natumia hiz zeny alc ndog km konyag, kvant grants n.k!
Hizi za bei mkia wa mbuzi sio pombe hizi, ukiziendekeza zinakudhalilisha kabisa.
Hata hizo konyagi nazo bado ni za kuumiza tu hasa usipozingatia msosi
 
Hizi za bei mkia wa mbuzi sio pombe hizi, ukiziendekeza zinakudhalilisha kabisa.
Hata hizo konyagi nazo bado ni za kuumiza tu hasa usipozingatia msosi
Kabisaa mkuu... Hata hivyo mim sio mtumiaj kivile huw nazugia mara mojamoja nikiwa sina hela lakin nikijipata vizuri ni mwendo wa jd, john walker, black label,jagermeister na wengine km hao...
 
Back
Top Bottom