Jobo ikoje? Alcohol na inatengenezwa ap?Piga kitu inaitwa JOBO VODKA, hii ina harufu ya chocolate. Ukiipiga hii hamna harufu kabisa popote unaingia.
Ila chunga na uchunge zaidi, ina alc 43 ukizidisha lazma utayumba.
Pombe maana yake ni kimiminika kilicho chacha na kuchanganywa na ingredients fulani....sasa kitu chochote kikichacha lazima kitoe harufu kwahyo hakuna pombe kama hiyo ambayo haitoi harufuHabari?
Natafuta Pombe ambayo nikinywa haina harufu mdomoni. Namaanisha hata kwenye interview naweza timba nikatoka HR akaniona mnyama bila kushtukia issue kwa hapa TZ.
NB. Kama hujui kaa kimya.
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]. Kama huna chakuandika soma walichoandika wezakoKuberi.
Alc 43, inatengenezwa dsmJobo ikoje? Alcohol na inatengenezwa ap?
au anywe amarula nayo ina ladha ya maziwa alc 23 tuZanzi inanukia maziwa. Watakuwa wanashangaa unanukia maziwa halafu unaongelea kithembe.
Mkuu usimshauri hii kitu kma ana kichwa kibovu ataenda kufanya vituko huko kwa interview 😂😂😂😂Piga kitu inaitwa JOBO VODKA, hii ina harufu ya chocolate. Ukiipiga hii hamna harufu kabisa popote unaingia.
Ila chunga na uchunge zaidi, ina alc 43 ukizidisha lazma utayumba.
Hii ni kweli nakumbuka kuna siku nipo nyumban kwa wazazi nimepiga vitu sas sikutaka wajue km natumia pombe, aiseee mama alihisi tu haruf ya pombe aliponikaribia.Mind you, harufu mara nyingi anasikia mtu wa karibu na sio wewe mhusika
Na pombe ndo inatoa lile wenge la kutojiamini...Kuto kujiamini ni kitu kibaya..
Yaani mpaka unywe pombe..