Hakuna pombe ya namna hiyoHabari?
Natafuta Pombe ambayo nikinywa aina harufu mdomoni. Namaanisha hata kwenye interview naweza timba nikatoka HR akaniona mnyama bila kushtukia isue kwa hapa TZ.
NB. Kama hujui kaa kimya.
KIWINGU akiimung'unya na Mbaazi au Mseto wala hainaga harufuHabari?
Natafuta Pombe ambayo nikinywa haina harufu mdomoni. Namaanisha hata kwenye interview naweza timba nikatoka HR akaniona mnyama bila kushtukia issue kwa hapa TZ.
NB. Kama hujui kaa kimya.
Yeah Sungura hafanyaji vile?Ukiona harufu ya pombe mdomoni inakukera, ujue unakaribia kuacha pombe
Hizi si sawa na SavannahSmirnoff black ice.
Yeah kuna wadau wanabwiaga Petrol kabisa na hainaga harufuHiyo itengeneze mwenyewe brother. Japo waja wakinywa na kama wanaingia mzigoni anabwia diesel kale kadude kenu huwa hakasomi kabisa ndivyo walisema.
Hio unakunywa huku unakanyaga na vipande vya muwa upande wa kushotoPiga kitu inaitwa JOBO VODKA, hii ina harufu ya chocolate. Ukiipiga hii hamna harufu kabisa popote unaingia.
Ila chunga na uchunge zaidi, ina alc 43 ukizidisha lazma utayumba.
Au tikiti mkuu, tikiti maji ndo noma na nusu.Hio unakunywa huku unakanyaga na vipande vya muwa upande wa kushoto
Unasema?Ukiona harufu ya pombe mdomoni inakukera, ujue unakaribia kuacha pombe
Au ukipata na Bibo zile kubwa kubwaAu tikiti mkuu, tikiti maji ndo noma na nusu.