Muuza Viat
JF-Expert Member
- Dec 23, 2022
- 2,869
- 7,477
Anuse petrol au gundi ya maji ina stim balaaa alaf haikuachii harufuYeah kuna wadau wanabwiaga Petrol kabisa na hainaga harufu
Anuse petrol au gundi ya maji ina stim balaaa alaf haikuachii harufuYeah kuna wadau wanabwiaga Petrol kabisa na hainaga harufu
Akijidanganya kujaribu parapanda inalia.KIWINGU akiimung'unya na Mbaazi au Mseto wala hainaga harufu
Aonje tu apate radha walau kidogo hua hainaga harufu hioAkijidanganya kujaribu parapanda inalia.
Inaitwa pombe maji.Habari?
Natafuta Pombe ambayo nikinywa haina harufu mdomoni. Namaanisha hata kwenye interview naweza timba nikatoka HR akaniona mnyama bila kushtukia issue kwa hapa TZ.
NB. Kama hujui kaa kimya.
Au akatundikie Explorer Vodka hatajutia maamuzi yake 😂Piga kitu inaitwa JOBO VODKA, hii ina harufu ya chocolate. Ukiipiga hii hamna harufu kabisa popote unaingia.
Ila chunga na uchunge zaidi, ina alc 43 ukizidisha lazma utayumba.
Bro mjani nasikia unakaa kichwani 7yrs sijui ni kweli nataka kulewa siku mojaKula mjani alafu swaki fresh utafune na pk,utafutee miwan ya kijanjaa km ya macho hv uvae uingie Kwenye interview..
Ila uwe makin kusikiliza maswal na unavyojibu usije changanyaa kujibu ma swal ya interview km unavyojibu msela wako maskani[emoji23][emoji23]
Kwa sifa ulizo taja hakuna pombe ya namna hiyo kwanza pombe haina ustarabuHabari?
Natafuta Pombe ambayo nikinywa haina harufu mdomoni. Namaanisha hata kwenye interview naweza timba nikatoka HR akaniona mnyama bila kushtukia issue kwa hapa TZ.
NB. Kama hujui kaa kimya.
Ni uongo mtupu..usiamini hiyo myth.Bro mjani nasikia unakaa kichwani 7yrs sijui ni kweli nataka kulewa siku moja
Zanzi ina marula fruit nafikiri kama ilivo amarula na ile 4cousins marula fruits...Zanzi inanukia maziwa. Watakuwa wanashangaa unanukia maziwa halafu unaongelea kithembe.