Pombe dhidi ya bangi

Pombe dhidi ya bangi

Kababrah

Member
Joined
Dec 14, 2016
Posts
59
Reaction score
83
Mimi ni kijana wa kiume, na wanasemaga walimwengu kua ujana maji ya moto, nahitaji kujua vitu ambavyo huenda sivijui, utanisaidia kujaza kwenye comment ๐Ÿ‘‡

POMBE UKINYWA KUPITA KIASI
๐Ÿ‘‰ Husababisha ajali
๐Ÿ‘‰ Matusi
๐Ÿ‘‰ Kudhalilika [ kujinyea, kujikojolea, kutapika, kuropoka]
๐Ÿ‘‰ Kulawitiwa ama kuibiwa
๐Ÿ‘‰ Kugongewa ama kushindwa kucheza show vizuri
๐Ÿ‘‰ Kukoroma na kulala kama zombie na kupoteza kumbukumbu
๐Ÿ‘‰ ?
๐Ÿ‘‰ ?

BANGI UKIVUTA KUPITA KIASI
๐Ÿ‘‰
๐Ÿ‘‰
๐Ÿ‘‰

Nitajie madhara yake 6 ๐Ÿ‘‡
Kama ulivyo kwenye pombe ๐Ÿบ

Wanasayansi na watafiti wanadai kua
POMBE ๐Ÿ‘‡

Hukimbilia chini zaidi 75% tofauti na sehemu nyingine hivyo hukufanya uwe na nyege za kipuuzi ikapelekea kulala na demu yeyote yule ukiamka ahsubuhi ndio unajiuliza nimeopoa hili bibi mida gani ๐Ÿค”.
Pia mwili kuchoka hasa wakati wa kuamka

BANGI ๐Ÿ‘‡

Asilimia kubwa Hukimbilia kichwani Tofauti na sehemu nyingine
Je ikikimbilia kichwani unawaza hustle za ku pambana na maisha na kuwaza overthink ukiwepo mipango ya maisha yako na harakati, mtu anaevuta hawazi umalaya, pia hujiuliza maswali makali kuhusu chochote tu

Mf ๐Ÿ‘‰ kwan upendo ni nn
Ni aliesema tuchinje kuku na mbuzi lakini tufuge mbwa na paka
Mf ๐Ÿ‘‰ hapo mwanzo kwa kuumbwa dunia je adamu na Hawa walikua peke yako kweli,
Je kama ni kweli mbona tumeongezeka wengi duniani, je! Watoto wao walioana wakazaa ndio dunia ikaongezeka watu au waliumbwa wengine wengi

NAOMBENI MAJIBU KWENYE COMMENT
Madhara 6 ya BANGI ๐Ÿ‘‡
 
Kiukweli kabisa vyote niliwahi kuvitumia na kiukweli kabisa vinahitaji uwe na kiasi.
Kwa upande wangu pombe ilikuwa haina ishu ma hangover ya kipuuzi hufanyi kazi vizuri, unapoteza sana pesa, kupoteza muda, kuvunja heshima (wanawake hovyo)na mengi tu.

Ila kwa mwiba ilikuwa naweza kutulia kimya nikitafakari sitaki kelele wala kuongea ongea sana na watu, haina gharama, huwazii ngono, naweza nikasoma kitu kwa kina pasipo kuwa kelele za nje.

All in all kila kitu ni kwa kiasi ila pombe jau sana hayana ishu.
 
Mimi ni kijana wa kiume, na wanasemaga walimwengu kua ujana maji ya moto, nahitaji kujua vitu ambavyo huenda sivijui, utanisaidia kujaza kwenye comment ๐Ÿ‘‡

POMBE UKINYWA KUPITA KIASI
๐Ÿ‘‰ Husababisha ajali
๐Ÿ‘‰ Matusi
๐Ÿ‘‰ Kudhalilika [ kujinyea, kujikojolea, kutapika, kuropoka]
๐Ÿ‘‰ Kulawitiwa ama kuibiwa
๐Ÿ‘‰ Kugongewa ama kushindwa kucheza show vizuri
๐Ÿ‘‰ Kukoroma na kulala kama zombie na kupoteza kumbukumbu
๐Ÿ‘‰ ?
๐Ÿ‘‰ ?

BANGI UKIVUTA KUPITA KIASI
๐Ÿ‘‰
๐Ÿ‘‰
๐Ÿ‘‰

Nitajie madhara yake 6 ๐Ÿ‘‡
Kama ulivyo kwenye pombe ๐Ÿบ

Wanasayansi na watafiti wanadai kua
POMBE ๐Ÿ‘‡

Hukimbilia chini zaidi 75% tofauti na sehemu nyingine hivyo hukufanya uwe na nyege za kipuuzi ikapelekea kulala na demu yeyote yule ukiamka ahsubuhi ndio unajiuliza nimeopoa hili bibi mida gani ๐Ÿค”.
Pia mwili kuchoka hasa wakati wa kuamka

BANGI ๐Ÿ‘‡

Asilimia kubwa Hukimbilia kichwani Tofauti na sehemu nyingine
Je ikikimbilia kichwani unawaza hustle za ku pambana na maisha na kuwaza overthink ukiwepo mipango ya maisha yako na harakati, mtu anaevuta hawazi umalaya, pia hujiuliza maswali makali kuhusu chochote tu

Mf ๐Ÿ‘‰ kwan upendo ni nn
Ni aliesema tuchinje kuku na mbuzi lakini tufuge mbwa na paka
Mf ๐Ÿ‘‰ hapo mwanzo kwa kuumbwa dunia je adamu na Hawa walikua peke yako kweli,
Je kama ni kweli mbona tumeongezeka wengi duniani, je! Watoto wao walioana wakazaa ndio dunia ikaongezeka watu au waliumbwa wengine wengi

NAOMBENI MAJIBU KWENYE COMMENT
Madhara 6 ya BANGI ๐Ÿ‘‡
Hili swali lako la pombe na bangi ni swali la afadhali na potelea mbali! Hakuna zuri hapo.
 
Vyote ni artificial mind stimulant madhara itategemea na mtumiaji.
Madhara makubwa ni addiction(vinakuendesha unakosa udhibiti).
 
Sivuti bhangi,....

Ila napenda harufu yake sana...huwa nakaa vijiweni wanakovuta, nikienjoy ule moshi wake.......

Konyagi pia ina utamu wake, hasa konyagi ndogo usizidishe...
 
Back
Top Bottom