Ngoja niwape ushuhuda wangu,bangi nimevuta nikiwa form 2 mpaka sasa,japo sasa nipo bongo ila sivuti bangi,nikirudi chuga sinon huwa naenda kwa marasta kutafuta kitu.
Sivuti bangi za dar kwa sababu moja kwanza sio vichwa tupu,ukienda kwa sadari anakuuzia bangi iliyochanganywa na matakataka mengi,kushabu,sigara kali,na wengine wasio waaminifu wanavundika bangi na ugoro,gongo na kuna dawa za operesheni yote hayo kupata wateja.
Pombe siwezi kabisa nikinywa kidogo natapika na kichwa kinauma mnoo.
Bangi imenifanya kuwa mtu tofauti,msafi,mpole na mwerevu na kuyaona maisha katika jicho tofauti na binadamu wengi,mimi sio mtu wa kuambiwa dunia ipo hivi na hivi huwa nafikiria tofauti na wengine tena nazama kina kabisa.
Pombe ni spirits,zina kuharibia maisha kabisa ukiwa mlevi utakuwa malaya,zinaharibu pesa na heshima,wazungu walipotengeneza pombe walizitengeneza katika sehemu husika zitumike ukiwa sehemu za baridi kama Russia,Canada kule utakunywa vodca,Vladimir.
Sasa sisi waafrica unakunywa pombe kali kwenye jua la dar u nategemea kipi??
Bangi is natural from earth no chemical,na imeanzwa kuvuta toka kipindi hicho China na India kwa kuhamsha jicho la tatu(spritual) bangi haikuota ovyo ndugu zangu