Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

Status
Not open for further replies.
Hili dini limekuwa majanga kila kona wenye busara na elimu wanaona aibu kujitamburisha kuwa wao ni ...................na wengine wanajikuta wanaEDIT majina yao kutokana na madudu yanayofanywa na hii dini.
Katafutena nazi ukune wewe !
 
Kuna haja ya kujua tafsiri sahihi iliyofichika juu ya uislam, haiwezekani wawe tatizo Duniani kote, huku al kaida, kule bokoharamu ,mara taleban ,Somalia nako.. na wengine wengi kama hao ni Mungu yupi huyo anayefurahia mauaji ya watu wasio na hatia.

Cha ajabu majeshi ya kikafiri ndio yamejaa huko ! Sijui wana huruma sana mpaka wamejitolea kufa kwa ajli ya kujenga mataifa yenye Waislaam wengi !
 
Kwa taarifa yako, waendesha hizo ndege na hata kapteni wa aircraft carriers wengine ni wa dini yako...nani kakwambia wote wakristo? kwani America ina wakristo peke yake? mwendelezo wa ujinga huo huo. Mwisho utafika tu. Huwezi kumaliza madrasa ukajifanya mjanja!!!!

By the way, dini nyingine ukiwa deep kwenye imani na kuomba sana, unaanza kuponya wagonjwa, kutoa mashetani wa kishirikina na kuombea watu mema kama kazi, ndoa na watoto kupitia uzazi. Dini yenu bwana, mtu akiwa deep, ni kuvaa vilipuzi na kuua. Hivi hamuoni hili ni tatizo wenzangu???

Wagonjwa wako Muhimbili, sasa hao mnao waponya nyie ni wagonjwa gani ?
 
Well, sasa tumekubaliana kuhusu huyu Sheik. Hajaandaliwa kabisa kuongoza watu sema tu hujaona DVD zake. Hili tuliache.

Kuhusu Amedinajad, wala sijakupiga chenga na kamwe sikumaanisha yangempata yalompata Ghadafi. Hawa watu ni tofauti kabisa na waliongoza/ wanaongoza makundi mawili tofauti. Naomba umfatilie akitoka madarakani kwenye miaka mitatu, labda utanielewa namaanisha nini.

hukutwambia Israel ni ya ngapi kiuchumi katika nchi za mashariki na kati. Bado tu umeunga unga maneno na kutaja watu wanaochukia uongozi wa Israel (haya yote ya nini jamani?) hivi ukitaka kupata watu wanaochukia uongozi watanzania sasa hivi, si wengi tu? kila nchi uongozi wake kuna mtu anachukia. Ila naomba urudi kwenye topic, twambie ni ya ngapi na kama hujui sema!!! (sio kosa)

Ni wamarekani gani waliolalamika kwamba Israel imekuwa mzigo kwao? tupe link au quote ya rais Obama au mtu yeyote mwenye wadhifa wa uongozi, vinginevyo tumia busara tujibizane mada zenye ukweli wala sio kuchomeka maneno. Stay blessed.
israel ni nchi ya nne kwa uchumi hapo mashariki ya kati based naGDP .Nilikua naitafuta link,nitaiweka bado niko busy kidogo.
 
Mungu kwa maksudi aliacha dini safi na ya kishetani zishindane lakini dini ya haki itajulikana mwishoni

'Tumemuamini Mwenyezi Mungu na tulioteremshiwa sisi (umat Muhammad) na aliyoteremshiwa Ibrahim na Ismail, Is'haq na Yakuub na wajukuu zao, na aliyopewa Musa na Isa (Yesu) na Manabii wengine kutoka kwa Mola wako Mlezi. Hatubagui baina yaohata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.
Q: 3:84.
 
Wagonjwa wako Muhimbili, sasa hao mnao waponya nyie ni wagonjwa gani ?

Hahaaaa..na hii ndo tofauti yangu na wewe. Haya huwezi kuyaelewa. Ni mambo mengi kwako. Hivyo wewe unajua wagonjwa wapo Muhimbili tu? Seriously!!!
 
Hata mie nashangaa iweje Taifa Teule la Mungu, linasaidiwa na Wamarekani badala ya Mungu !
Au Wamarekani wana kaimu nafasi ya mungu ?
Kama akili ni nywele, basi nina wasi wasi wewe ni kipara !

Mungu ninayemtukuza ni wa kweli. Simpiganii wala kulazimisha mtu kumwabudu. Ngoja nikupe machache ya Mungu wangu. Alinizuia kuua. Hii ni amri yake. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?

Alituumba sote ili tuishi kwa kupendana na kumpenda yeye kwanza bila kuitana kafiri na vitu vingine na baada ya dunia hii, ametupa ahadi ya uzima wa milele au maangaiko na mateso ya milele. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?

Siwezi kuua watu wengi na nikategemea kwenda mbinguni kurakiwa na mabikira saba. Mungu wangu hapendi kuua. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?

Ukikojolea kitabu kitakatifu ntakuombea huruma kwake na sitakugusa. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?

Ni Mungu mwenye kuumba vyote duniani. Ni Mungu awezaye kugeuza dhiki ikawa faraja. Ni Mungu awezaye kumuinua tajiri akampelekea hela na msaada mkubwa maskini. Ni Mungu aliyemtuma Musa kwenda kuongea na mfalme Farao ili awaachie waisrael (hapa ntaasume unaekewa habari hii ya kihistoria.) sasa hapa unadhani asingeongea na Farao mwenyewe? Kwa nini amtume Musa?

Ni Mungi anayeweza kuinua taifa tajiri likasaidia taifa dogo. Ni mungu anayeweza kugeuza adui wote wakafarakana.

Nisikuchoshe....sidhani kama haya unayaelewa ila kwa ufupi sana, huyu ndie Mungu wangu. Wako anasemaje katika yote hayo?
 
basi kama vipi itangazwe tu tulianzishe ya nini kuwindana?.........inavyoonesha huu moto hata aliyeuwasha anaogopa kuuzima!.....
:heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh::heh:
 
Hii dini haina tofuti na ukichaa
:suspicious::suspicious: of your psychic
Read the following book: The Insanity of Christianity is the result of fifty years of study and research. The author has experienced a variety of vocations during his lifetime; however, for over forty-three years he has been founder and pastor of the same church in his hometown of San Antonio, Texas. Pastor J.V. Foster began his preaching ministry at the age of twenty-six following a hitch in the U.S. Navy during the Korean War. It was while he was stationed as a sailor boy on the Island of Guam that he began to study the Bible in depth. At that time he began to realize that many of the commonly accepted beliefs of Christianity he had been taught as a child had little or no actual basis of truth in the Scriptures. When the Lord called him to the ministry after this period of intensive study, he evangelized for several years before becoming the founder and pastor of Bethesda Temple of San Antonio, later known as Bethesda Christian Institute. His book is controversial and challenging to traditional concepts, but it is also enlightening if one has an open mind and a heart to research and discover what is hidden between the lines in God's Word. For more of his messages, you may check the website BibleControversy for DVDs, CDs, and books of special interest to those who love to delve into a greater understanding of the Bible.
No research no right to speak
 
Mungu ninayemtukuza ni wa kweli. Simpiganii wala kulazimisha mtu kumwabudu. Ngoja nikupe machache ya Mungu wangu. Alinizuia kuua. Hii ni amri yake. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?

Alituumba sote ili tuishi kwa kupendana na kumpenda yeye kwanza bila kuitana kafiri na vitu vingine na baada ya dunia hii, ametupa ahadi ya uzima wa milele au maangaiko na mateso ya milele. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?

Siwezi kuua watu wengi na nikategemea kwenda mbinguni kurakiwa na mabikira saba. Mungu wangu hapendi kuua. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?

Ukikojolea kitabu kitakatifu ntakuombea huruma kwake na sitakugusa. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?

Ni Mungu mwenye kuumba vyote duniani. Ni Mungu awezaye kugeuza dhiki ikawa faraja. Ni Mungu awezaye kumuinua tajiri akampelekea hela na msaada mkubwa maskini. Ni Mungu aliyemtuma Musa kwenda kuongea na mfalme Farao ili awaachie waisrael (hapa ntaasume unaekewa habari hii ya kihistoria.) sasa hapa unadhani asingeongea na Farao mwenyewe? Kwa nini amtume Musa?

Ni Mungi anayeweza kuinua taifa tajiri likasaidia taifa dogo. Ni mungu anayeweza kugeuza adui wote wakafarakana.

Nisikuchoshe....sidhani kama haya unayaelewa ila kwa ufupi sana, huyu ndie Mungu wangu. Wako anasemaje katika yote hayo?[/QUOTE
Hakuna katika Bahai, Buddhism,Christianity ,Confucianism, Hinduism, Islam, Jainism, Judaism, Shinto, Sikhism, Daoism, Zoroastrianism anayedai mungu wao si wa kweli. Swali la msingi ni Je MUNGU wa sifa ana sifa zipi? Tuanzie hapa tusonge mbele bila matusi dharau, porojo na kwa uthibisho wa maandiko pasipo kupingana kwa andiko (without contradictions of the scripture)
 
Mungu ninayemtukuza ni wa kweli. Simpiganii wala kulazimisha mtu kumwabudu. Ngoja nikupe machache ya Mungu wangu. Alinizuia kuua. Hii ni amri yake. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?
Alituumba sote ili tuishi kwa kupendana na kumpenda yeye kwanza bila kuitana kafiri na vitu vingine na baada ya duni
a hii, ametupa ahadi ya uzima wa milele au maangaiko na mateso ya milele. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?

Siwezi kuua watu wengi na nikategemea kwenda mbinguni kurakiwa na mabikira saba. Mungu wangu hapendi kuua. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?

Ukikojolea kitabu kitakatifu ntakuombea huruma kwake na sitakugusa. Wewe wako anasemaje kuhusu hili?

Ni Mungu mwenye kuumba vyote duniani. Ni Mungu awezaye kugeuza dhiki ikawa faraja. Ni Mungu awezaye kumuinua tajiri akampelekea hela na msaada mkubwa maskini. Ni Mungu aliyemtuma Musa kwenda kuongea na mfalme Farao ili awaachie waisrael (hapa ntaasume unaekewa habari hii ya kihistoria.) sasa hapa unadhani asingeongea na Farao mwenyewe? Kwa nini amtume Musa?

Ni Mungi anayeweza kuinua taifa tajiri likasaidia taifa dogo. Ni mungu anayeweza kugeuza adui wote wakafarakana.

Nisikuchoshe....sidhani kama haya unayaelewa ila kwa ufupi sana, huyu ndie Mungu wangu. Wako anasemaje katika yote hayo?[/QUOTE
Hakuna katika Bahai, Buddhism,Christianity ,Confucianism, Hinduism, Islam, Jainism, Judaism, Shinto, Sikhism, Daoism, Zoroastrianism anayedai mungu wao si wa kweli. Swali la msingi ni Je MUNGU wa sifa ana sifa zipi? Tuanzie hapa tusonge mbele bila matusi dharau, porojo na kwa uthibisho wa maandiko pasipo kupingana kwa andiko (without contradictions of the scripture)

Nadhani niliyemjibu kwanza ajibu maswali yangu afu tuendelee. Yeye wake anasema nini kuhusu hivi nolivyotaja? Hatuwezi kuwa tunaongea tuuuuuu kumbe hata Mungu wa kweli hatumjui
 
wakati MOU inasainiwa mwaka 1992, nchi ilikuwa inafuata mfumo wa chama kimoja. kumbuka pia nafasi karibu zote nyeti zilishikwa na wakristo ukiachilia mbali nafasi ya urais ambayo ilikuwa chini ya mzee ruksa. hivyo kila kitu yeye alikubali tu na ndo maana hayati nyerere alimwachia nchi kwa vile alimwona ni dhaifu hivyo hataweza kupinga maamuzi ya kanisa

Aliyekuambia Mzee ruksa ni dhaifu ni nani? angekuwa dhaifu angeweza kuingia mkataba wa ku lease loliondo kwa miaka 99? unadhani ilikuwa rahisirahisi tu eh?

clip za kuleta amani ni kama hizi hapa

Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube

Ustadh Ilunga - Kongamano la Ikwiriri Part 1 - YouTube

Kongamano (diamond jubilee) - Hatari ya mfumo kristo part 1 - YouTube
 
:suspicious::suspicious: of your psychic
Read the following book: The Insanity of Christianity is the result of fifty years of study and research. The author has experienced a variety of vocations during his lifetime; however, for over forty-three years he has been founder and pastor of the same church in his hometown of San Antonio, Texas. Pastor J.V. Foster began his preaching ministry at the age of twenty-six following a hitch in the U.S. Navy during the Korean War. It was while he was stationed as a sailor boy on the Island of Guam that he began to study the Bible in depth. At that time he began to realize that many of the commonly accepted beliefs of Christianity he had been taught as a child had little or no actual basis of truth in the Scriptures. When the Lord called him to the ministry after this period of intensive study, he evangelized for several years before becoming the founder and pastor of Bethesda Temple of San Antonio, later known as Bethesda Christian Institute. His book is controversial and challenging to traditional concepts, but it is also enlightening if one has an open mind and a heart to research and discover what is hidden between the lines in God's Word. For more of his messages, you may check the website BibleControversy for DVDs, CDs, and books of special interest to those who love to delve into a greater understanding of the Bible.
No research no right to speak
Why should we bother about one's opinion? After all this was only one person.
 
Halafu utakuta mtu anasema atakagua JF kila siku kutafuta wasambaza udini huku cd kama hizo zikiendelea kuzagaa mitaani na wala hajishughulishi nazo wala hata kuzungumzia hataki na ukimuuliza unapewa majibu mafupi ya ajabu.mtu huyo huyo atakufuata raia mwema kama wewe unayetoa taarifa hizi na kukushutumu ni mdini,unapata picha gani hapo?ni kwamba anataka cd hizo ziendelee kusambaa na watu wasizifichue,kwa nini?wenye akili tunapata majibu.this conspiracy is beyond Islam and christianity!

Huyo ni Waziri-Mambo ya Ndani.
 
Kuna haja ya kujua tafsiri sahihi iliyofichika juu ya uislam, haiwezekani wawe tatizo Duniani kote, huku al kaida, kule bokoharamu ,mara taleban ,Somalia nako.. na wengine wengi kama hao ni Mungu yupi huyo anayefurahia mauaji ya watu wasio na hatia.

mungu wao anaitwa NATAS.
 
Aliyekuambia Mzee ruksa ni dhaifu ni nani? angekuwa dhaifu angeweza kuingia mkataba wa ku lease loliondo kwa miaka 99? unadhani ilikuwa rahisirahisi tu eh?

clip za kuleta amani ni kama hizi hapa

Ustadh Ilunga Hassan - Mauaji ya shahid Aboud Rogo na Unafiki katika sensa Part 1 - YouTube

Ustadh Ilunga - Kongamano la Ikwiriri Part 1 - YouTube

Kongamano (diamond jubilee) - Hatari ya mfumo kristo part 1 - YouTube

'tafuta padre tafuta kardinali, mchunngaji au hata mlei uuuuuuuuuuaaaaa aaaaa...!uue dhahiri ama kwa kificho'' shehe Ilunga
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom