Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

Status
Not open for further replies.
Je, ni yale yaliyoingizwa nchini na CUF kama tulivyotahadharishwa na yule askari aliyestaafu siku wanamtandao walipochukua nchi akawaachia madaraka hawa wanaokuja mitandaoni kuchungulia kinachoandikwa?

Jibu linaweza likawa ndio
 
Jamani tuiombee nchi yetu iwe na amani. Lakini tukiisha sisi wao watafuata. Pia lazima nafsi zote sionje mauti. Kwa hivy0 wakristo wote tusiogope mtu anayeua mwili tu basi. Tutaifuata imani yetu na bwana wetu yesu kristo mpaka mwisho. Amina
 
Sasa watu 50 tu ndo wanaokutisha?
hivi ujui hata mmbuyu ulianza kama mchicha
tatizo ni kuwa wewe hujachukua tahadhari yoyote ya kujilinda. umeshindwa hata ku-organise club ya ukakamavu mtaani kwako. hata kwenye vikundi vya ulinzi shirikishi haupo.
naamini hizi ni hisia zako tu!
Sasa wewe hiyo akili ya kujilinda unaitumiaje? utaulizwa siku ya mwisho ujue!
nashukuru kwa ushauri wako mkuu

kwa nyongeza tu wewe unachukulia vita kimzaa mzaa sana, OK... mimi kilio changu kipo kwa kina mama na watoto kwani wao ndio wahanga wakubwa wa vita
 
Hivi kwa nini sehemu yoyote waliopo waislam panafukuta moshi ?

Hujui,waislam si mabubu,ni watu wa kuongea na wanapinga dhuluma.Bila kujali nani anayedhulumu lazima ataambiwa.Uislam ni dini ya haki,ndio maana watawala wanajitahidi kuipiga break kwani wengi wao wameshazoea kuiba.Katika uislam hakuna mambo ya kaisali.Msingi mkuu wa amani ni haki na usawa,kamwe propaganda hazina nafasi kwenye zama hizi.
 
When Mahmood Mamdani (2010) summed up the Rwandan genocide book 'when victims become killers' he cautioned you and me that when those who have never before killed, or take part in mass slaughter wake up to do so, everyone will be amazed and too late to heal the wounds. There was a disproportionate number of educated, leaders, doctors, nurses, judges, and so on who never thought of killing, but ended up killing masses of innocent people. Why? Because some thought that killing others was a national duty. If we continue like this, every Tanzanian may become a killer and no one will remain safe. Someone once said, 'When you want peace prepare for war' are we prepared for that? Threats may work for coward people, but action may prove fruitful. Do not wake a sleeping giant.
 
Hili dini limekuwa majanga kila kona wenye busara na elimu wanaona aibu kujitamburisha kuwa wao ni ...................na wengine wanajikuta wanaEDIT majina yao kutokana na madudu yanayofanywa na hii dini.
 
wanotoa kashfa na vitisho kwa dini nyingine serikali hii inawafahamu hakuna siri yoyote swala je ni kwa nini wachochezi hao wanaokashifu dini nyingine na kufanya wanavyotaka hawashughulikiwi?

Hata UN inakuwa hvhv kwa ile migogoro ya kimataifa na mwisho wa cku wanashabikia upande m1!
 
huu ni upuuzi, watz ni watu wa aman

We jidanganye tu ngoja uje usikie bomu limeripuka nyuma yako ndo utagundua hii nchi imeshaharibika.
viongozi wanatuficha tu ili kutonyanyua hisia za watu wanasema eti mara ugaidi,mara wahuni tu wale,ila jibu la ukweli ni kuwa WAISLAMU WENYE ITIKADI KALI WAPO KAZINI NA TUSUBIRI KUONA MENGI.
 
mimi siwezi kuongelea shehe ilunga..ilunga namjulia hapa jf,kwenye nyuzi,simfahamu hata kwa picha.

Sasa wewe ulikuwa unadai israel imeendelea bila kuwa na data hata kidogo wajameni.
Hao matajiri wenye asili ya kiyahudi sawa wameenea marekani na wameshika nyadhifa nyeti ,wanatuma pesa israel,lakini sio wote wanaunga mkono serikali ya kibaguzi ya israel.na wanapinga serikali ya israel.watu kama albert Eistein,alikua myahudi alipinga serikali ya israel.watu kama george soro ni tajiri yuko marekani haelewani na utawala wa israel,watu kama sergei yule mwenye google ni myahudi mrusi lakini juzijuzi hapa google wameitambua palestine kama nchi.
Ukitaka link nitakuwekea.
Hata hitler alikua myahudi lakini alitofautiana na wayahudi wenzake.
Israel inaishi kwa kutegemea hela za matumizi toka marekani.wamerekani wanalalamika kuwa israel imekuwa mzigo kwao.wao wanashida pesa inapelekwa kusaidia israel,free syria army,egypt,etc.

Well, sasa tumekubaliana kuhusu huyu Sheik. Hajaandaliwa kabisa kuongoza watu sema tu hujaona DVD zake. Hili tuliache.

Kuhusu Amedinajad, wala sijakupiga chenga na kamwe sikumaanisha yangempata yalompata Ghadafi. Hawa watu ni tofauti kabisa na waliongoza/ wanaongoza makundi mawili tofauti. Naomba umfatilie akitoka madarakani kwenye miaka mitatu, labda utanielewa namaanisha nini.

hukutwambia Israel ni ya ngapi kiuchumi katika nchi za mashariki na kati. Bado tu umeunga unga maneno na kutaja watu wanaochukia uongozi wa Israel (haya yote ya nini jamani?) hivi ukitaka kupata watu wanaochukia uongozi watanzania sasa hivi, si wengi tu? kila nchi uongozi wake kuna mtu anachukia. Ila naomba urudi kwenye topic, twambie ni ya ngapi na kama hujui sema!!! (sio kosa)

Ni wamarekani gani waliolalamika kwamba Israel imekuwa mzigo kwao? tupe link au quote ya rais Obama au mtu yeyote mwenye wadhifa wa uongozi, vinginevyo tumia busara tujibizane mada zenye ukweli wala sio kuchomeka maneno. Stay blessed.
 
kabla sijakusoma kiundani,kwanza nakataa kwamba israel ni taifa la mungu,kama umekuwa brainwashed usidhani ni kila mtu.

Kuhusu ahmednajacket,hapa unataka kunila chenga tu,ulitaka kuimanisha yatampata yaliyompata gadaf..lakini ujue kuwa,yeye bado ako na wiki mbili tu za kuwa rais kwahiyo wamarekani hawana advantage nae ya kumuua.

Israel ni taifa teule la Mungu...lakini hapa kwa imani zetu hatutakubaliana. Ila tuangalie historia kidogo. Katika majibizano yetu nimegundua unajua sana habari za Farao. Hivi tujiulize, iweje Mungu afungue bahari watu wapite na awaangamize maadai wanaowafukuza? (assumming that hapa hutakataa kwamba hili jambo limewahi kutokea duniani.)

Swala jingine, iweje basi kanchi kadogo kazungukwe na maadui north, south, east & west na adui wengi wanatoka kwenye nchi kubwa sana lakini mpaka leo hawawezi kupatana na kukashambulia hako ka nchi? Haya wewe unaona ni ya kawaida?

Umeseka wanategemea misaada kutoka Marekani. Kwani Tanzania tunapata misaada mingapi kutoka nje? mbona hadi wezi wanaotuibia tunashindwa kuwakamata? Sisi tunaweza kupigana vita na mtu yeyote?

Naomba uangalie hayo mwenzangu. Ila comment kwenye ukweli. Usiunge maneno. Ndio wamarekani wanisaidia Israel na hata rais wa huko akiapishwa lazima akubali kuisaidia lakini pia Marekani inasaidia nchi nyingine. Nyingi ni adui wa Israel. Hapo unasemaje?
 
Kigoma watoto wadogo wanafundishwa kareti na judo misikitini, vikiulizwa vinasema vinajiandaa kumpiga khafiri ambaye hata havijui yukoje. kwa stail hii cjui itakuwaje.
 
Serikali kiziwi siamini km kuna cku itakuja kuwa sikivu wkt.imejaa dhirima
 
SOURCE: JIBU LA MAISHA
DATE: Sunday, May 12, 2013
ISSN: 1821-6463, No. 241
PAGE: 115
HEADLINE: ASKOFU PENGO AZIDI KUTISHIWA


- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -
Kwa matoleo kadhaa ya nyuma tumeripoti matukio ya kichochezi ya kusambazwa kwa CD na DVD zinazochochea utengano baina ya wakristo na waislamu nchini. Tumefanya hivyo kwa tahadhari kubwa na hata wakati mwingine kujitahidi kujiepusha na kuchapisha habari hizo.

Hata hivyo, tunalazimika kuripoti matukio haya ili kuzikumbusha mamlaka zenye dhamana zichukue hatua kali dhidi ya makundi haya ambayo yanaonekana moja kwa moja ni maadui wa umoja wa watanzania.

Katika kile kinachoonekana nia utaratibu maalumu, imetolewa CD mpya iliyopewa jina “Ndege wote walie akilia bundi uchuro” ambay pamoja na mambo mengine inaonyesha picha ya Askofu Kardinal Polycarp Pengo ikiwa na maandishi yanayosomeka WANTED ikiambatana na maneno makali ya kulaani Kanisa Katoliki na hata mengine, huku picha ya mtu anayechinjwa ikitumika kama logo inayojirejea kila wakati.

Juhudi za kumpata mtu anayeonekana katika DVD hiyo akitajwa kama Imam Hamza Omary, ili kufafanua ujumbe uliopo ndani ya mkanda huo hazikfanikiwa.

…

DVD hiyo ambayo JIBU LA MAISHA lina nakala yake inaonyesha mhadhiri akinukuu aya za Kuran na kuwaalika wenzake kwenye kile alichokiita Jihad (baadhi ya yale yanayosemwa hatuwezi kuyaandika kutokana na sababu za kimaadili)

Katika hilo Imam Omary anasema serikali imekuwa ikiegemea upande wa maaskofu na mabaraza yake, lakini si kwa waislamu.

Mkanda huo umeonyesha baadhi ya mazoezi makali ya vijana wa Kiislamu ingawa haionyeshi yanafanyika wapi.

Mhubiri huyo aliyashutumu pia mataifa ya kimagharibi akidai yamekuwa yakitoa silaha na kuwagombanisha wao kwa wao pasipo wenyewe kujua na hilo limeonekana kwa Saddam Hussein.

Aidha alionekana akidai kuwa jambo kubwa na la hatari kwa waislam wa sasa ni kutoongelea kabisa suala la Jihad, na hilo limekuwa donda ndugu.

Bila kupepesa maneno, Imam huyo alitaja viongozi ambao alidai eti wamekuwa wakibadili yale waliyokubaliana na waislam na wamekwenda kinyume kutokana na kutiwa msukosuko.

Vingozi na wasaniasa wanaotajwa katika DVD hiyo ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje, Bernard Membe, Katibu Mstaafu wa CCM, Yusufu Makamba, na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.

Alipomaliza hilo alimgeukiwa Rais wa Uganda, Museveni na kudai yeye ni kiongozi wa Afrika Mashariki anayetaka kuhakikisha anaung’oa uislam kupitia mashehe kwa juhudi zote.

Aliyekuwa Kamanda wa Mkoa wa Mwanza, marehemu Liberatus Barlow, anatajwa kwenye mkanda huo, lakini JIBU LA MAISHA halitaongelea kilichoongelewa humo.

Yusuf Makamba ambaye ni muislam, wanadai naye mwaka 1998 akiwa Mkuu wa Mkoa Dar, wakati wao wakisema nchi inatawaliwa kwa mfumo Kristo, yeye alipinga na hilo likaonekana kuwa yuko kinyume na uislam.

Mwinjilisti Cecil Simbaulanga ambaye amekuwa akipita huku na kule kutetea wakristo ili wajue haki zao anatajwa kuwasisitiza wakristo kuchinja nyama wakati inajulikana siku zote kwamba waislamu ndiyo wenye kufanya jambo hilo hapa Tanzania.

….

Wakati hayo yakitokea, tukio la kurushwa bomu katika Kanisa la Parish of St. Joseph the Worker (Olasiti), mkoani Arusha, linarandana na maudhui ya kile kinachoelezwa kwenye mikanda kadhaa inayotolewa na watu wanaoaminika kuwa na imani kali ikionyesha chuki ya wazi dhidi na kanisa hilo.

Ndani ya DVD kadhaa zenye mlengo mmoja ambazo zimezagaa maeneo kadhaa jijini Dar, hasa maeneo ya Buguruni_Chama, inaelezwa kukamatwa kukamatwa kwa maaskofu ili kuwachinja ikiwa muislam atafanyiwa ubaya wowote au kuuliwa.
- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -

Wanaitaji maombi hao.na Mwenyezi mungu awasamee bure.maana hawajui walitendalo
 
Serikali yetu ni reactive badala ya kuwa proactive katika kudhibiti matukio yanayovunja umoja na amani yetu. Haya ni matokeo ya udhaifu wa JK. Historia itamhukumu JK
 
Naamini idara za usalama simepata taarifa na zitafanyia kazi. Tanzania ni kisiwa cha amani, sidhani kama imebadilika.
 
Dini ya UPANGA (Kihistoria)

.......ni kweli kutokea zama za Mfalme Daudi, hata Mwenyezi Mungu alimjalia uwezo wa kutengeneza nguo za chuma.

'(Tukamwambia Daudi) Tengeneza nguo za chuma pana, kadiri sawa katika kuunganisha. Na tendeni mema. Hakika Mimi nayaona vyema mnayoyatenda.
Qur'an: 34:11.
 
Kigoma watoto wadogo wanafundishwa kareti na judo misikitini, vikiulizwa vinasema vinajiandaa kumpiga khafiri ambaye hata havijui yukoje. kwa stail hii cjui itakuwaje.

Wewe wasi wasi wako ni nini ? Kwani we Kafiri ?
 
Israel ni taifa teule la Mungu...lakini hapa kwa imani zetu hatutakubaliana. Ila tuangalie historia kidogo. Katika majibizano yetu nimegundua unajua sana habari za Farao. Hivi tujiulize, iweje Mungu afungue bahari watu wapite na awaangamize maadai wanaowafukuza? (assumming that hapa hutakataa kwamba hili jambo limewahi kutokea duniani.)

Swala jingine, iweje basi kanchi kadogo kazungukwe na maadui north, south, east & west na adui wengi wanatoka kwenye nchi kubwa sana lakini mpaka leo hawawezi kupatana na kukashambulia hako ka nchi? Haya wewe unaona ni ya kawaida?

Umeseka wanategemea misaada kutoka Marekani. Kwani Tanzania tunapata misaada mingapi kutoka nje? mbona hadi wezi wanaotuibia tunashindwa kuwakamata? Sisi tunaweza kupigana vita na mtu yeyote?

Naomba uangalie hayo mwenzangu. Ila comment kwenye ukweli. Usiunge maneno. Ndio wamarekani wanisaidia Israel na hata rais wa huko akiapishwa lazima akubali kuisaidia lakini pia Marekani inasaidia nchi nyingine. Nyingi ni adui wa Israel. Hapo unasemaje?

Hata mie nashangaa iweje Taifa Teule la Mungu, linasaidiwa na Wamarekani badala ya Mungu !
Au Wamarekani wana kaimu nafasi ya mungu ?
Kama akili ni nywele, basi nina wasi wasi wewe ni kipara !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom