Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

Status
Not open for further replies.
mkuu, hilo si jibu la matatizo yaliyopo hapa nchini. serikali ibaki kati na isiegemee upande wowote

mkuu kama hawataki kukemea tufanyeje, wamebaki kutoa matamko yaliyojaa taarabu tu....
kama vipi huu moto tuuzime kwa damu zetu kabla hawajaliza mda wao
 
Ngoja nitafute, najua kuna msikiti mmoja wa wakereketwa siwezi kuikosa.
 
wakati MOU inasainiwa mwaka 1992, nchi ilikuwa inafuata mfumo wa chama kimoja. kumbuka pia nafasi karibu zote nyeti zilishikwa na wakristo ukiachilia mbali nafasi ya urais ambayo ilikuwa chini ya mzee ruksa. hivyo kila kitu yeye alikubali tu na ndo maana hayati nyerere alimwachia nchi kwa vile alimwona ni dhaifu hivyo hataweza kupinga maamuzi ya kanisa

Hivi madhaifu wako wangapi?
 
kikwete amekata mirija ya MOU na ndo maana maaskofu wamemchukia. wamefuta pia na ile kauli yao kuwa kikwete ni chaguo la mungu na askofu kilaini aliyetamka maneno hayo katupwa huko bukoba na ameambiwa asitokee kwenye media kuongea chochote

hahaha unafurahisha wewe mou iko palepale na bado wanapata vizuri misaada. kikwete is WEAKER than mwinyi sasa tena goigoi. na sisi ndo tunacholalamikia pamoja jk kuwa mwislam mwenzetu... hivi kaka fikiria kikwete siku zote anateua wachungaji kama wabunge lakin maimam wapo na wenye elimu lakini hajawai teua hata mmoja
 
mkuu kama hawataki kukemea tufanyeje, wamebaki kutoa matamko yaliyojaa taarabu tu....
kama vipi huu moto tuuzime kwa damu zetu kabla hawajaliza mda wao
moto umetapakaa dunia nzima utauzimaje?kama hata hao wenye nguvu hawawezi kuuzima.vitu vingine viko organised na mtu kama wewe is just a tool to reach the agenda.
 
Mungu kwa maksudi aliacha dini safi na ya kishetani zishindane lakini dini ya haki itajulikana mwishoni
 
mwinyi si muislam kasema kila mtu achinje na ale kile anachotaka ,tena lhaji kabisa!!sioni sababu yakugombea kuchinja wanalao jambo

Unakumbuka katika maadhimisho ya sherehe moja Pale mnazi mmoja alionywa kwa staili gani baada ya kutoa neno ambalo halipo hata katika mafundisho ya huo u-alhaji wake?.
 
Mungu kwa maksudi aliacha dini safi na ya kishetani zishindane lakini dini ya haki itajulikana mwishoni
exactly dini inayoua kwa makombora kutoka kwenye ndege za kisasa na aircraft carrier ndo ya haki.

Kwa ufupi mkuu huo mwisho utausubiri sana tu.wajukuu wako watapita na kuja wajukuu za wajukuu zako na bado utakua ukisubiri.
 
Vijana wanafanya 'MAZOEZI'makali? Inabidi sasa na upande wapili waanze 'MAZOEZI'makali maana huko tuendako sio kuzuri hata kidogo!
 
Kabla ya kuingia katika muktadha huu, ambao ni swala nyeti na linagusa moja kwa moja hisia za watu.....Nashauri vijana tusome kwanza, hapa sina maana kusoma magazeti, la hasha, na maana tusome ilmu za dini zetu(Ukristo na Uislam) tujue mafundisho yake na makatazo yake, hapo ndipo tutakua wanyenyekevu mbele ya M/Mungu na huruma miongoni mwetu. Tukifanya hayo tutaishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kwa AMANI
 
SOURCE: JIBU LA MAISHA
DATE: Sunday, May 12, 2013
ISSN: 1821-6463, No. 241
PAGE: 115
HEADLINE: ASKOFU PENGO AZIDI KUTISHIWA


- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -
Kwa matoleo kadhaa ya nyuma tumeripoti matukio ya kichochezi ya kusambazwa kwa CD na DVD zinazochochea utengano baina ya wakristo na waislamu nchini. Tumefanya hivyo kwa tahadhari kubwa na hata wakati mwingine kujitahidi kujiepusha na kuchapisha habari hizo.

Hata hivyo, tunalazimika kuripoti matukio haya ili kuzikumbusha mamlaka zenye dhamana zichukue hatua kali dhidi ya makundi haya ambayo yanaonekana moja kwa moja ni maadui wa umoja wa watanzania.

Katika kile kinachoonekana nia utaratibu maalumu, imetolewa CD mpya iliyopewa jina “Ndege wote walie akilia bundi uchuro” ambay pamoja na mambo mengine inaonyesha picha ya Askofu Kardinal Polycarp Pengo ikiwa na maandishi yanayosomeka WANTED ikiambatana na maneno makali ya kulaani Kanisa Katoliki na hata mengine, huku picha ya mtu anayechinjwa ikitumika kama logo inayojirejea kila wakati.

Juhudi za kumpata mtu anayeonekana katika DVD hiyo akitajwa kama Imam Hamza Omary, ili kufafanua ujumbe uliopo ndani ya mkanda huo hazikfanikiwa.

…

DVD hiyo ambayo JIBU LA MAISHA lina nakala yake inaonyesha mhadhiri akinukuu aya za Kuran na kuwaalika wenzake kwenye kile alichokiita Jihad (baadhi ya yale yanayosemwa hatuwezi kuyaandika kutokana na sababu za kimaadili)

Katika hilo Imam Omary anasema serikali imekuwa ikiegemea upande wa maaskofu na mabaraza yake, lakini si kwa waislamu.

Mkanda huo umeonyesha baadhi ya mazoezi makali ya vijana wa Kiislamu ingawa haionyeshi yanafanyika wapi.

Mhubiri huyo aliyashutumu pia mataifa ya kimagharibi akidai yamekuwa yakitoa silaha na kuwagombanisha wao kwa wao pasipo wenyewe kujua na hilo limeonekana kwa Saddam Hussein.

Aidha alionekana akidai kuwa jambo kubwa na la hatari kwa waislam wa sasa ni kutoongelea kabisa suala la Jihad, na hilo limekuwa donda ndugu.

Bila kupepesa maneno, Imam huyo alitaja viongozi ambao alidai eti wamekuwa wakibadili yale waliyokubaliana na waislam na wamekwenda kinyume kutokana na kutiwa msukosuko.

Vingozi na wasaniasa wanaotajwa katika DVD hiyo ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje, Bernard Membe, Katibu Mstaafu wa CCM, Yusufu Makamba, na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni.

Alipomaliza hilo alimgeukiwa Rais wa Uganda, Museveni na kudai yeye ni kiongozi wa Afrika Mashariki anayetaka kuhakikisha anaung’oa uislam kupitia mashehe kwa juhudi zote.

Aliyekuwa Kamanda wa Mkoa wa Mwanza, marehemu Liberatus Barlow, anatajwa kwenye mkanda huo, lakini JIBU LA MAISHA halitaongelea kilichoongelewa humo.

Yusuf Makamba ambaye ni muislam, wanadai naye mwaka 1998 akiwa Mkuu wa Mkoa Dar, wakati wao wakisema nchi inatawaliwa kwa mfumo Kristo, yeye alipinga na hilo likaonekana kuwa yuko kinyume na uislam.

Mwinjilisti Cecil Simbaulanga ambaye amekuwa akipita huku na kule kutetea wakristo ili wajue haki zao anatajwa kuwasisitiza wakristo kuchinja nyama wakati inajulikana siku zote kwamba waislamu ndiyo wenye kufanya jambo hilo hapa Tanzania.

….

Wakati hayo yakitokea, tukio la kurushwa bomu katika Kanisa la Parish of St. Joseph the Worker (Olasiti), mkoani Arusha, linarandana na maudhui ya kile kinachoelezwa kwenye mikanda kadhaa inayotolewa na watu wanaoaminika kuwa na imani kali ikionyesha chuki ya wazi dhidi na kanisa hilo.

Ndani ya DVD kadhaa zenye mlengo mmoja ambazo zimezagaa maeneo kadhaa jijini Dar, hasa maeneo ya Buguruni_Chama, inaelezwa kukamatwa kukamatwa kwa maaskofu ili kuwachinja ikiwa muislam atafanyiwa ubaya wowote au kuuliwa.
- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -- - - - - - - - -
kikubwa tu huyo alie toa hizo mikanda kama ni kweli anatakia kuhojiwa anamanisha nini kwa maneno yake
 
Watanzania tungekuwa wazalendo wa ukweli na tunajali na kuthamini sheria ya nchi inayosema serikali haina dini bali ni wananchi wake, NADHANI MALALAMIKO YA WAISLAMU KUWA BAKWATA NI YA SERIKALI NA HAINA UHALALI WA KUWAWAKILISHA WAISLAMU LINGESHAFANYIWA KAZI SIKU NYINGI. Ha hiyo ingekuwa ni moja ya suluhisho kwani leo hii ukitaka kuongea na Waislamu utatumia chombo gani? au watawaambia ma imamu wa kila msikiti nchi nzima?. Ingetakiwa kufuata mfumo walionao upande wa pili ambao wana chombo chao kinachoweza kusema kwa niaba ya waumini wao.

Siasa za Tanzania na BAKWATA tangu aondoke Hemed bin Jumaa zimekuwa za kiaina yake, ndio maana leo kila kona kuna maamuzi yake.
Please kama serikai kweli inajali uhuru wa waislamu iwaachie waendeshe wenyewe chombo chao (Mbadala wa BAKWATA) ambacho kitakuwa na uhalali wa kuwaongoza ikiwa ni pamoja na kushughulikia matatizo yao wanayolaumu kila siku huku wakidai hayasikilizwi.
 
ni vema vyombo vyetu vya dola na serikali kwa ujumla vikalishupalia swala hili kwa upekee wa aina yake ili kuleta usawa kwa watu wote.
 
exactly dini inayoua kwa makombora kutoka kwenye ndege za kisasa na aircraft carrier ndo ya haki.

Kwa ufupi mkuu huo mwisho utausubiri sana tu.wajukuu wako watapita na kuja wajukuu za wajukuu zako na bado utakua ukisubiri.

Vipi, unasema ile ndege iliyolipuwa New York twin Towers ile September eleven?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom