Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

Status
Not open for further replies.
kama wana huo uwezo wangekusha sambatatisha Hamas, hesbullah na hata iran.
Lete hoja wacha woga. Ktk CD sheikh amesema ikiwa waislam watauliwa nao waue sasa kwani nyie ndo wauwaji? Munaogopa nini?
Na sisi hatuwezi kukubali kuendelea kuwaacha mtuue kama kuku, bora wachache tufe ili watoto wetu wajeishi kwa kuheshimiana.
 
Huu ni uhuru uliovuka mipaka. Sio wa kukemea tu bali hatua za makusudi na za haraka zinapaswa kuchukuliwa sasa. Au uchunguzi bado unaendelea?
 
exactly dini inayoua kwa makombora kutoka kwenye ndege za kisasa na aircraft carrier ndo ya haki.

Kwa ufupi mkuu huo mwisho utausubiri sana tu.wajukuu wako watapita na kuja wajukuu za wajukuu zako na bado utakua ukisubiri.

Kwa taarifa yako, waendesha hizo ndege na hata kapteni wa aircraft carriers wengine ni wa dini yako...nani kakwambia wote wakristo? kwani America ina wakristo peke yake? mwendelezo wa ujinga huo huo. Mwisho utafika tu. Huwezi kumaliza madrasa ukajifanya mjanja!!!!

By the way, dini nyingine ukiwa deep kwenye imani na kuomba sana, unaanza kuponya wagonjwa, kutoa mashetani wa kishirikina na kuombea watu mema kama kazi, ndoa na watoto kupitia uzazi. Dini yenu bwana, mtu akiwa deep, ni kuvaa vilipuzi na kuua. Hivi hamuoni hili ni tatizo wenzangu???
 
Kuhusu mazoezi makali si mara ya kwanza kusikia, nilisikia kutoka kwa rafiki yangu kwamba ameshuhudia takriban watu 50 wakifanya mazoezi makali ya kutumia jambia katika msikiti uliopo majengo-Arusha

Jamani watanzania wenzangu kama kuna mtu anajua madhara ya vita naomba tuombe haya wanayotaka yatokee kamwe yasitokee, vita ni kitu kingine jamani....

Take a lesson kwa yaliyotokea sieraleon kipindi cha rebellion, kenya-mungiki, mauaji ya kimbari rwanda mpate kujua maana ya kusema vita ni nini

Hayo ni katika kutaka kuongoza na ukabili, je hili la imani itakuaje?

Amani Tanzania imebaki kwenye documentary.

Mwenzangu, amani itakuja tu. Tuombe huyu kipofu aifikishe nchi 2015 (kama itafika.) Ujue hawa wenzetu huwa wanajidanganya sana. Ukiangalia nchi zooote walipo, hakuna amani. Yani kwa ufupi tu, ukiwa nao jirani, wanataka wakuue. Wanadhani kwamba dunia hii imeumbwa kwa ajiri yao. Hata tukijadiliana hapa, hawapendi!!! ndo maana umesikia mkuu wao mmoja akisema atakuwa anakagua jamii forum kila siku. Huyu mkuu mwenyewe inasemekana alitaka kumuua mwanae kwa kuwa mkiristo na hapo ndo alipokutana na mkono wa Mungu. Bastola yake ilishindwa kuachia risasi. Huyu ndie amepewa dhamana ya kutulinda.

Hawa watu huwa wanajidanganya sana. Sasa hivi wanajiona wapo wengi hivyo ndo maana wanalilia kuchinja. Yaani mradi wapate kitu au mtu akatae ili wapigane, ndio ajenda yao. Bahati mbaya kiongozi wetu naye ni kama wao...maswala ya kuchinja hajatupa mwongozo kwamba, vipi kule ambapo hamna waislam, nani atawachinjia? ndo maana kanyamaza kwa sababu na yeye anaamini hivyo. Yaani kwamba wao peke yao ndo waliumbwa kutawala wanyama na kuwachinja. Upo hapo?

Baada ya kipigo kilichompata Farao bahari ya Sham, kuna kingine kinakuja hapo hapo Israel ambapo Mungu atawakusanya wote hawa watu na kuwafunza adabu. Kwa wale watakao kuwa hai watakiona. Huwa ni wabishi sana sidhani kama habari ya Farao wanaijua. Watakubishia kana kwamba haijawahi kutokea. Sisi tunaamini kwamba Israel ni taifa teule la Mungu. Wao hawaamini hivyo. Maendeleo waliyonayo Israel, wao wanaamini siku moja tu wakifika na kuishi mule nchini, hayo maendeleo yatakuwa yao. Ndugu, Israel ni ka nchi kadogo sana, pengine ni kama mikoa miwili ya Dar. Ila jamaa wanaona amani yao ipo pale.

Hawawezi kutwambia wamefanya nini na ardhi kubwa ya Somalia, Mali, Libya, Tunisia, Egypt na sasa Tanzania. Kwa sasa ni vigumu sana kuwabadilisha maana viongozi wao hawaandaliwi popote. Ukijua mistari miwili tu ya kitabu, basi wewe "boss" tena si kwa lugha yako.

Hivyo kwa sasa tushike pua tu mpaka 2015. Tusifanye mistake tena. Mkuu wetu yupo busy chumbani ana-google safari ya 359 toka aingie madarakani.
 
Jaman someni mrushe ndege mwende hata sayari nyingine... Hayo ndo maendeleo na si kulumbana juu ya iman za wa2. Kwani hakuna Waislam waliofanya mambo makubwa zaidi ya jihad? Tuwen wamoja ktk kuwaachia urithi chanya watoto we2

Hapa tupo pamoja ndugu. Wapo Waislam waliofanya makubwa na wanaofanya makubwa. Mfano huyu makamu wa raisi wetu nasikia ni geneous (amejaliwa kipaji cha kuelewa sana.) Hawa wanaojisumbua na jihad ni wachache tu wenye upeo mdogo wa kuelewa. Kibaya zaidi, hata wale wenye upeo mkubwa wa kuelewa, huwa hawawakemei wenzao. Mimi ndo hapo huwa nachanganyikiwa.
 
wanotoa kashfa na vitisho kwa dini nyingine serikali hii inawafahamu hakuna siri yoyote swala je ni kwa nini wachochezi hao wanaokashifu dini nyingine na kufanya wanavyotaka hawashughulikiwi?

Mkuu umeshawahi kuona wapi Kesi ya ngedere ikipelekwa kwa Nyani?!
 
kama wana huo uwezo wangekusha sambatatisha Hamas, hesbullah na hata iran.
Lete hoja wacha woga. Ktk CD sheikh amesema ikiwa waislam watauliwa nao waue sasa kwani nyie ndo wauwaji? Munaogopa nini?

Tunachoogopa ni uwezo wa sheik kufikilia na anamwambia nani ukizingatia umati mkubwa wenu shule ni zero, kuua watu tayari ni sehemu ya maisha yenu, hivyo hata sheik akifa kwa ugonjwa, mwaweza andamana na kutaka kulipiza visasi. Mfano huyo sheik aliyasema hayo akiwa na DVD za Kenya ambapo aliuwawa sheik mwingine. Sasa mambo yalifanyika Kenya ila yeye (sheik) anawataka watanzania walipize kisasi. Huoni hatari tunayoogopa hapa? UWEZO WA KUFIKILIA KAKA!!!

By the way, Hamas? wale magaidi wenzenu? vita yao ya kitoto...wanauwa wawili hapa, upande wao unapoteza mia moja. Upo hapo? Amedinajad? Iran? his days are numbered...unachotakiwa kufanya ni kufungua macho. Nyie bahati mbaya wabishi. Hata ugomvi hamuuwezi ndo maaana vitendo vyenu vingi viovu ni vya kujificha. Hata hapa kwetu Tanzania mshashindwa, ngoja wenye akiri waichukue nchi....na hamtarudia kuingia madarakani kwa muda mrefu sana..jiandaeni
 
exactly dini inayoua kwa makombora kutoka kwenye ndege za kisasa na aircraft carrier ndo ya haki.

Kwa ufupi mkuu huo mwisho utausubiri sana tu.wajukuu wako watapita na kuja wajukuu za wajukuu zako na bado utakua ukisubiri.

Kaka ni dini gani hiyo inayouwa watu kwa makombora na ndege za Kisasa hapa Tanzania?!
 
mkuu, naona wewe unaendeleza zile sanaa zilizokataliwa na watz wengi. tittle yako wala haijafanana na ulichoandika. huo ni uchochezi unaofanywa na watu wasiolitakia mema taifa hili kwa kuwazulia uongo waislam na kuwatengenezea cd za kizushi. alianza mbunge selasini akaja lema na sasa hizo ulizosema
Unatudhalilishia eneo la jina unalojiita, unataka hadi kitokee nini ndo uamini yanayosemwa? Yule aliyesema kamata walei ua yupo wapi mpaka sasa? Kwa nini CD zinazohamasisha kuuwa hapa zitolewe na waislamu kila wakati? Halafu unakuja kupinga taarifa za kweli? Kuna siku wewe na wenzio mtakuja jutia post zenu za hapa JF.

Wa mundu ulemba keta wa kihimwisi, kukomana kuyi he cha Chadema, CCM, mkirisitu, muislamu, tavoha ya tiwha tu keta ya mketi ga mulemba
 
Kaka ni dini gani hiyo inayouwa watu kwa makombora na ndege za Kisasa hapa Tanzania?!
aah bana nilikua namjibu yule jamaa tit for tat...in a globo scale..unajua tunapokuja kwenye suala la dini,mipaka ya kitaifa mara nyingi inakuwa haijalishi.
 
Na sisi hatuwezi kukubali kuendelea kuwaacha mtuue kama kuku, bora wachache tufe ili watoto wetu wajeishi kwa kuheshimiana.

Hili suala la udini linakoelekea kama ni embe limeamza kuwa mdondo, muda wowote laweza kudondoka.

Mimi sishangai kuona waislamu wanajifunza kutumia majambia kwenye misikiti yao, kwa maana kuchinja kwao ni ibada, sasa haijulikani ni kuchinja wanyama tu au na vitu vingine.
 
Tunachoogopa ni uwezo wa sheik kufikilia na anamwambia nani ukizingatia umati mkubwa wenu shule ni zero, kuua watu tayari ni sehemu ya maisha yenu, hivyo hata sheik akifa kwa ugonjwa, mwaweza andamana na kutaka kulipiza visasi. Mfano huyo sheik aliyasema hayo akiwa na DVD za Kenya ambapo aliuwawa sheik mwingine. Sasa mambo yalifanyika Kenya ila yeye (sheik) anawataka watanzania walipize kisasi. Huoni hatari tunayoogopa hapa? UWEZO WA KUFIKILIA KAKA!!!

By the way, Hamas? wale magaidi wenzenu? vita yao ya kitoto...wanauwa wawili hapa, upande wao unapoteza mia moja. Upo hapo? Amedinajad? Iran? his days are numbered...unachotakiwa kufanya ni kufungua macho. Nyie bahati mbaya wabishi. Hata ugomvi hamuuwezi ndo maaana vitendo vyenu vingi viovu ni vya kujificha. Hata hapa kwetu Tanzania mshashindwa, ngoja wenye akiri waichukue nchi....na hamtarudia kuingia madarakani kwa muda mrefu sana..jiandaeni
sasa kama hamas mnawaua sana kuliko hao hamas wanavyowaua povu lote la nini?JUST ENJOY IT ACHA KULALAMA.
 
Tunachoogopa ni uwezo wa sheik kufikilia na anamwambia nani ukizingatia umati mkubwa wenu shule ni zero, kuua watu tayari ni sehemu ya maisha yenu, hivyo hata sheik akifa kwa ugonjwa, mwaweza andamana na kutaka kulipiza visasi. Mfano huyo sheik aliyasema hayo akiwa na DVD za Kenya ambapo aliuwawa sheik mwingine. Sasa mambo yalifanyika Kenya ila yeye (sheik) anawataka watanzania walipize kisasi. Huoni hatari tunayoogopa hapa? UWEZO WA KUFIKILIA KAKA!!!

By the way, Hamas? wale magaidi wenzenu? vita yao ya kitoto...wanauwa wawili hapa, upande wao unapoteza mia moja. Upo hapo? Amedinajad? Iran? his days are numbered...unachotakiwa kufanya ni kufungua macho. Nyie bahati mbaya wabishi. Hata ugomvi hamuuwezi ndo maaana vitendo vyenu vingi viovu ni vya kujificha. Hata hapa kwetu Tanzania mshashindwa, ngoja wenye akiri waichukue nchi....na hamtarudia kuingia madarakani kwa muda mrefu sana..jiandaeni
hahahaha,unachekesha sana mkuu..wewe una elimu gani hadi uwaponde wenzako?mtu unashindwa kujua hata kwamba ahmednejad kabakiza wiki chache za kuwa madarakani juu ya uchaguzi mkuu wa june.hiyo elimu yako iko wapi kama hata knowledge ndogo kama hiyo huna.
 
Tunachoogopa ni uwezo wa sheik kufikilia na anamwambia nani ukizingatia umati mkubwa wenu shule ni zero, kuua watu tayari ni sehemu ya maisha yenu, hivyo hata sheik akifa kwa ugonjwa, mwaweza andamana na kutaka kulipiza visasi. Mfano huyo sheik aliyasema hayo akiwa na DVD za Kenya ambapo aliuwawa sheik mwingine. Sasa mambo yalifanyika Kenya ila yeye (sheik) anawataka watanzania walipize kisasi. Huoni hatari tunayoogopa hapa? UWEZO WA KUFIKILIA KAKA!!!

By the way, Hamas? wale magaidi wenzenu? vita yao ya kitoto...wanauwa wawili hapa, upande wao unapoteza mia moja. Upo hapo? Amedinajad? Iran? his days are numbered...unachotakiwa kufanya ni kufungua macho. Nyie bahati mbaya wabishi. Hata ugomvi hamuuwezi ndo maaana vitendo vyenu vingi viovu ni vya kujificha. Hata hapa kwetu Tanzania mshashindwa, ngoja wenye akiri waichukue nchi....na hamtarudia kuingia madarakani kwa muda mrefu sana..jiandaeni
huh...?kwahiyo huyo ilunga ndo chanzo cha kila kitu baada ya kusema watu walipe kisasi kifo cha shehe mkenya?kwamaana hiyo tukimdhibiti ilunga tu mambo shwari.?

Kwakua sijawahi kusikia hizo cd za ilunga.ila nadhani lipo tatizo zaidi la huyo ilunga.
 
Mwenzangu, amani itakuja tu. Tuombe huyu kipofu aifikishe nchi 2015 (kama itafika.) Ujue hawa wenzetu huwa wanajidanganya sana. Ukiangalia nchi zooote walipo, hakuna amani. Yani kwa ufupi tu, ukiwa nao jirani, wanataka wakuue. Wanadhani kwamba dunia hii imeumbwa kwa ajiri yao. Hata tukijadiliana hapa, hawapendi!!! ndo maana umesikia mkuu wao mmoja akisema atakuwa anakagua jamii forum kila siku. Huyu mkuu mwenyewe inasemekana alitaka kumuua mwanae kwa kuwa mkiristo na hapo ndo alipokutana na mkono wa Mungu. Bastola yake ilishindwa kuachia risasi. Huyu ndie amepewa dhamana ya kutulinda.

Hawa watu huwa wanajidanganya sana. Sasa hivi wanajiona wapo wengi hivyo ndo maana wanalilia kuchinja. Yaani mradi wapate kitu au mtu akatae ili wapigane, ndio ajenda yao. Bahati mbaya kiongozi wetu naye ni kama wao...maswala ya kuchinja hajatupa mwongozo kwamba, vipi kule ambapo hamna waislam, nani atawachinjia? ndo maana kanyamaza kwa sababu na yeye anaamini hivyo. Yaani kwamba wao peke yao ndo waliumbwa kutawala wanyama na kuwachinja. Upo hapo?

Baada ya kipigo kilichompata Farao bahari ya Sham, kuna kingine kinakuja hapo hapo Israel ambapo Mungu atawakusanya wote hawa watu na kuwafunza adabu. Kwa wale watakao kuwa hai watakiona. Huwa ni wabishi sana sidhani kama habari ya Farao wanaijua. Watakubishia kana kwamba haijawahi kutokea. Sisi tunaamini kwamba Israel ni taifa teule la Mungu. Wao hawaamini hivyo. Maendeleo waliyonayo Israel, wao wanaamini siku moja tu wakifika na kuishi mule nchini, hayo maendeleo yatakuwa yao. Ndugu, Israel ni ka nchi kadogo sana, pengine ni kama mikoa miwili ya Dar. Ila jamaa wanaona amani yao ipo pale.

Hawawezi kutwambia wamefanya nini na ardhi kubwa ya Somalia, Mali, Libya, Tunisia, Egypt na sasa Tanzania. Kwa sasa ni vigumu sana kuwabadilisha maana viongozi wao hawaandaliwi popote. Ukijua mistari miwili tu ya kitabu, basi wewe "boss" tena si kwa lugha yako.

Hivyo kwa sasa tushike pua tu mpaka 2015. Tusifanye mistake tena. Mkuu wetu yupo busy chumbani ana-google safari ya 359 toka aingie madarakani.
we jamaa wewe,NANI ALIKUAMBIA FARAO ALIKUA MWISLAMU?...wakati wa farao hakukua hata na ukristo achilia mbali uyahudi..ndo maana nikasema unaonekana elimu yako ni ya chekechea.
 
kwahiyo mwaka 2015,ndo huyo paroko wenu atawanyonga hao jamaa wote kama akiwa rais kama matarajio yenu yalivyo...mwambie kama anaota hivyo anaota ndoto za alinacha.

Sasa kama mungu wako alishapanga kuwakusanya hao jamaa kule israel na kuwateketeza,wewe kelele zote za nini bana?si ukuwe na subira tu.na hao jamaa nao wanae mungu wao,kwahiyo vuta subira,hii attitude ya kwamba,MY GOD IS POWERFULL THAN YOURS HAITUFIKISHI POPOTE.
Eti israel ina maendeleo,apart from ukweli kwamba hao jamaa wanategemea msaada toka marekani,unajua israel ni ya ngapi kiuchumi hapo middle east?.
Hao waisrael ukiacha nyanya wako na zao gani la biashara?wana madini gani?
 
Umefikia wakati sasa kila mtanzania awe mwanausalama na tusiachie vyombo rasmi peke yake kwani tukiviachia vyenyewe havitaweza kudhibiti mambo yote.Ni wakati wa kila anayedhani anauwezo, kukusanya taarifa ,vielelezo vya kitaalam na kuvifikisha kwenye vyombo vya usalama.Hata hivyo kuhusu suala la taarifa ambazo vyombo vya usalama vishafikishiwa na havijazifanyia kazi; hapa mimi sina uhakika kama wananchi watakuwa wana la kufanya.Pengine kwa kuwa mambo haya wakati fulani yanaingiliwa na siasa, basi suala la msingi ni kuwasihi wanasiasa wachukue hatua sahihi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom