Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

Polycarp Cardinal Pengo azidi kutishiwa

Status
Not open for further replies.
Vijana wanafanya 'MAZOEZI'makali? Inabidi sasa na upande wapili waanze 'MAZOEZI'makali maana huko tuendako sio kuzuri hata kidogo!

mkuu nadhani siyo maneno mazuri sana ya kutumia kwa wakati huu ambao watanzania tunapaswa kuwa pamoja ili kumkataa adui ambaye ameanza kujipenyeza.
 
Kuhusu mazoezi makali si mara ya kwanza kusikia, nilisikia kutoka kwa rafiki yangu kwamba ameshuhudia takriban watu 50 wakifanya mazoezi makali ya kutumia jambia katika msikiti uliopo majengo-Arusha

Jamani watanzania wenzangu kama kuna mtu anajua madhara ya vita naomba tuombe haya wanayotaka yatokee kamwe yasitokee, vita ni kitu kingine jamani....

Take a lesson kwa yaliyotokea sieraleon kipindi cha rebellion, kenya-mungiki, mauaji ya kimbari rwanda mpate kujua maana ya kusema vita ni nini

Hayo ni katika kutaka kuongoza na ukabili, je hili la imani itakuaje?

Amani Tanzania imebaki kwenye documentary.
 
Tuwaite waisrael waje angalau wiki moja waue magaidi yote
 
mwinyi si muislam kasema kila mtu achinje na ale kile anachotaka ,tena lhaji kabisa!!sioni sababu yakugombea kuchinja wanalao jambo
mkuu nataman nimwage nyongo yangu ila naogopa yasinikute ya sweetlady najua mda si mrefu hii itakuwa closed topic
 
Last edited by a moderator:
Vipi, unasema ile ndege iliyolipuwa New York twin Towers ile September eleven?
ni yaleyale tu sawa na B1 stealthbomber inayoporomosha mabomu toka angani na kuua watoto na watu wasio na hatia.
 
Vijana wanafanya 'MAZOEZI'makali? Inabidi sasa na upande wapili waanze 'MAZOEZI'makali maana huko tuendako sio kuzuri hata kidogo!
Hizo karate na majambia wao,sisi tutachukua mafuzo ya kushika mitutu na umafia hawatutishi hao
 
Watanzania tungekuwa wazalendo wa ukweli na tunajali na kuthamini sheria ya nchi inayosema serikali haina dini bali ni wananchi wake, NADHANI MALALAMIKO YA WAISLAMU KUWA BAKWATA NI YA SERIKALI NA HAINA UHALALI WA KUWAWAKILISHA WAISLAMU LINGESHAFANYIWA KAZI SIKU NYINGI. Ha hiyo ingekuwa ni moja ya suluhisho kwani leo hii ukitaka kuongea na Waislamu utatumia chombo gani? au watawaambia ma imamu wa kila msikiti nchi nzima?. Ingetakiwa kufuata mfumo walionao upande wa pili ambao wana chombo chao kinachoweza kusema kwa niaba ya waumini wao.

Siasa za Tanzania na BAKWATA tangu aondoke Hemed bin Jumaa zimekuwa za kiaina yake, ndio maana leo kila kona kuna maamuzi yake.
Please kama serikai kweli inajali uhuru wa waislamu iwaachie waendeshe wenyewe chombo chao (Mbadala wa BAKWATA) ambacho kitakuwa na uhalali wa kuwaongoza ikiwa ni pamoja na kushughulikia matatizo yao wanayolaumu kila siku huku wakidai hayasikilizwi.

Kama uislam ni upande wa kwanza je, mfumo wa upande wa pili ni upi huo ambao una chombo cha kuwasemea waumini wau?

Wakatoliki chombo chao ni Vatican, na kamwe hutasikia Vatican ikijikita kuwasemea wakatoliki tu. Vatican ni chombo pekee duniani kinawasemea binadamu wote, bila kujali imani zao, utaifa wao, vyama vyao, rangi yao, maaadam hao wanaosemewa wamesimama upande wa haki hawako upande wa dhuluma.
 
Kuhusu mazoezi makali si mara ya kwanza kusikia, nilisikia kutoka kwa rafiki yangu kwamba ameshuhudia takriban watu 50 wakifanya mazoezi makali ya kutumia jambia katika msikiti uliopo majengo-Arusha

Jamani watanzania wenzangu kama kuna mtu anajua madhara ya vita naomba tuombe haya wanayotaka yatokee kamwe yasitokee, vita ni kitu kingine jamani....

Take a lesson kwa yaliyotokea sieraleon kipindi cha rebellion, kenya-mungiki, mauaji ya kimbari rwanda mpate kujua maana ya kusema vita ni nini

Hayo ni katika kutaka kuongoza na ukabili, je hili la imani itakuaje?

Amani Tanzania imebaki kwenye documentary.

Je, ni yale yaliyoingizwa nchini na CUF kama tulivyotahadharishwa na yule askari aliyestaafu siku wanamtandao walipochukua nchi akawaachia madaraka hawa wanaokuja mitandaoni kuchungulia kinachoandikwa?
 
Kama uislam ni upande wa kwanza je, mfumo wa upande wa pili ni upi huo ambao una chombo cha kuwasemea waumini wau?

Wakatoliki chombo chao ni Vatican, na kamwe hutasikia Vatican ikijikita kuwasemea wakatoliki tu. Vatican ni chombo pekee duniani kinawasemea binadamu wote, bila kujali imani zao, utaifa wao, vyama vyao, rangi yao, maaadam hao wanaosemewa wamesimama upande wa haki hawako upande wa dhuluma.

siku chache tu zilizopita hapa kulikuwa na uzi uliwekwa na baadae ukapigwa pili, Ila ulieleza wazi (Kiambatisho kilichoandikwa Mkutano wa Rais ........ viongozi wa dini ya kikristo) kuwa kuna viongozi wamekwenda ikulu na kutoa maazimio na mwenyekaya ayajibu. Hao walikuwa ni waumini wote wa madhahebu ya kikatoliki?
 
wanotoa kashfa na vitisho kwa dini nyingine serikali hii inawafahamu hakuna siri yoyote swala je ni kwa nini wachochezi hao wanaokashifu dini nyingine na kufanya wanavyotaka hawashughulikiwi?

Mbona mnalilia, waislamu si ni binadam kama nyinyi? Sasa endeleeni kuisubiri serikali mtaisha wote.
 
Ametishwa na nani akashitaki mahakamani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Pole Baba kwa yote yanayokukuta ni kama Yesu alivyokumbana na matatizo mengi kutoka kwa wenye dhambi, naamini maombi yako na yetu yatawaingia na siku moja haya yataisha kabisa.
 
Kama tunauchukia moshi unaotukela ndani ya nyumba, yatupasa kuzima moto.
 
Kuhusu mazoezi makali si mara ya kwanza kusikia, nilisikia kutoka kwa rafiki yangu kwamba ameshuhudia takriban watu 50 wakifanya mazoezi makali ya kutumia jambia katika msikiti uliopo majengo-Arusha

Jamani watanzania wenzangu kama kuna mtu anajua madhara ya vita naomba tuombe haya wanayotaka yatokee kamwe yasitokee, vita ni kitu kingine jamani....

Take a lesson kwa yaliyotokea sieraleon kipindi cha rebellion, kenya-mungiki, mauaji ya kimbari rwanda mpate kujua maana ya kusema vita ni nini

Hayo ni katika kutaka kuongoza na ukabili, je hili la imani itakuaje?

Amani Tanzania imebaki kwenye documentary.

Sasa watu 50 tu ndo wanaokutisha? tatizo ni kuwa wewe hujachukua tahadhari yoyote ya kujilinda. umeshindwa hata ku-organise club ya ukakamavu mtaani kwako. hata kwenye vikundi vya ulinzi shirikishi haupo. Sasa wewe hiyo akili ya kujilinda unaitumiaje? utaulizwa siku ya mwisho ujue!
 
Jaman someni mrushe ndege mwende hata sayari nyingine... Hayo ndo maendeleo na si kulumbana juu ya iman za wa2. Kwani hakuna Waislam waliofanya mambo makubwa zaidi ya jihad? Tuwen wamoja ktk kuwaachia urithi chanya watoto we2
 
Mbona hzo cd zilshapgwa marufuku na alyetoa anasakwa na dola? Na c yy tu hta yule kiongoz alyeendesha kampen za kuchinja nae anasakwa? nasema hv yte n UCCM NA UCHADEMA Nachokiona chadema wanahtaj kuichafua ccm kwa kila hal na kidonda wanachosugulia pilipil n UDINI, hakuna anaewza kubisha kua ccm inachukiwa zaid kpnd hk kwakua jk n muslm mbona km n madudu waliyafanya ktambo? na chadema ina viongoz mapadre na wachungaj inapgiwa upatu, ciipend na cjawah ipenda CCM Maisha, bt hlo ndo lnalotka kuugawa uma wa watz na kuuchafua uislam.
 
JK anasubiri kuja kwenda msibani kutoa pole, na kusema kaviagiza vyombo vya ulinzi!!!
 
Tuwaite waisrael waje angalau wiki moja waue magaidi yote

kama wana huo uwezo wangekusha sambatatisha Hamas, hesbullah na hata iran.
Lete hoja wacha woga. Ktk CD sheikh amesema ikiwa waislam watauliwa nao waue sasa kwani nyie ndo wauwaji? Munaogopa nini?
 
kazi kwa serikali ya kikwete.
Kama wanaonyesha na vijana wanafanya mazoezi basi tumekwisha.

Kwa mara nyingine namkumbuka mkapa, alikua na sauti ya kimamlaka.

Mungu tuepushe na hili janga.!

Kaka usiogope, wewe nawe anzisha japo kikundi cha mgambo kanisani kwako, baadaye ndo upige magoti usali. Sasa imagine unasali Mungu akikujibu ukapigane nawe hata technique ya kupigana huna utafanyaje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom