Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,410
kwahiyo hiyo cd na huyo imam ni mlengo gani
huo ni uzushi. watuwekee humu jamvini hiyo video ili wataalam waijadili kama ilivyokuwa ile ya lwakatare. hatuwezi kuamini sanaa za maandishi bila ya uthibitisho