BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Mathayo sura ya 24: Je, Watanzania tunaelekea kuutimiza unabii huu wa Bwana Yesu? Tafakari!!
Hivi kwa nini sehemu yoyote waliopo waislam panafukuta moshi ?
Dini ya UPANGA (Kihistoria)
wlimpiga kibao lakini ujumbe ulishafika kwao ,unajua kuna tatizo kubwa watu hawapendi kuambiwa ukweli hasa hao ndugu!!!na juzi si amerudia tena ??ukweli unabaki mwinyi ana jua vizuri dini yake na haki za kibinaadamu tofauti na wengineunakumbuka katika maadhimisho ya sherehe moja pale mnazi mmoja alionywa kwa staili gani baada ya kutoa neno ambalo halipo hata katika mafundisho ya huo u-alhaji wake?.
mkuu; nimejikuta nikitamani kufanya mjadala na wewe. Napenda nianze kwa kukuuliza swali No 1. Je! wewe unaunga mkono matamko ya ilunga kapungu (yanayozungumziwa hapa) au unayapinga?Tutaskia mengi sana zama hizi,kuwa muislam dunia ya leo ni kama vile kulishika kaa la moto kiganjani,kama una moyo mwepesi lazima utalitupa tuh kwa kufeel maumiv ya kuunguzwa kiganja,wapandikizaji wa chuki na wanaoshabikia chuki kwa kigezo cha kutupga vita waislam wanajionesha waz waz,ukweli utasimama siku moja...
Dini ya UPANGA (Kihistoria)
Elimu yangu isikupe shida. Inanipatia amani hivyo inanitosha. Kiongozi wa Iran najua anatoka madarakani ndio maana nimesema his days are numbered....ila usichojua weww ni kwamba, akitoka bado ataendelea na shughuli zenu.hahahaha,unachekesha sana mkuu..wewe una elimu gani hadi uwaponde wenzako?mtu unashindwa kujua hata kwamba ahmednejad kabakiza wiki chache za kuwa madarakani juu ya uchaguzi mkuu wa june.hiyo elimu yako iko wapi kama hata knowledge ndogo kama hiyo huna.
kwahiyo mwaka 2015,ndo huyo paroko wenu atawanyonga hao jamaa wote kama akiwa rais kama matarajio yenu yalivyo...mwambie kama anaota hivyo anaota ndoto za alinacha.
Sijui ni ya ngapi ila sio tu wanategemea misaada. Wamejaa kila sehemu ya uchumi wa kimarekani. Kama unajua twambie ni ya ngapi ila najua inazidi Tanzania.
Ndugu yangu, utakubaliana na mimi kwamba uwezo wenu wa kuzungumzia msmbo ni mgumu sana. Nimeongelea elimu ya sheik...nauliza tu ili kujua wala si kwa kejeli kwamba Sheik Ilunga ameandaliwa wapi? Wewe ukaruka na ku question elimu yangu.
Assume sina elimu, siwezo nikajiita kiongozo wa dini ya mtu bila kuandaliwa. Sasa twambie basi kwamba hakuandaliwa. Usirukie vitu
vingine.
kabla sijakusoma kiundani,kwanza nakataa kwamba israel ni taifa la mungu,kama umekuwa brainwashed usidhani ni kila mtu.Elimu yangu isikupe shida. Inanipatia amani hivyo inanitosha. Kiongozi wa Iran najua anatoka madarakani ndio maana nimesema his days are numbered....ila usichojua weww ni kwamba, akitoka bado ataendelea na shughuli zenu.
Wewe sidhani kama ni mwelewa, ila hapa ntafanya assumption kwamba unapumua. Sasa ni wapi nimesema "tunawaua"? Hapa ulitaja Hamas...kwamba mbona Israel wamemshindwa?nikakwambia vurugu ile ni ya aibu...yani Israel wanapoteza watu wawili, Hamas mia moja na hizo ni vurugu zao.
Nashukuru swala la Farao unalijua. Hii ilitska tu kukuvuta na kukuonesha kuwa hilo taifa ni la Mungu. Ni wapi nimemtaja Farao kama mkiristo au mpagani? Labda niende mbele, hata waisrael wengi sana sio wakristu. Hivyo nikosoe pale nilipokosea ila sio kuniwekea maneno mdomoni.
Sheik Ilunga akikamatwa sio kwamba mambo yote yatatulia. Akijitokeza mwingine, naye akamatwe. Ila tuanze na yeye. Kuhusu paroko kuchukua nchi sijui una maana gani. Ngoja nijipe imani kwamba unapumua na una akiri timamu. Kwa sasa nchini Tanzania tunapata viongozi kwa kupiga kura. Hivyo kiongozi ajaye lazima tuhakikishe ataweza kulinda katiba yetu. Awe paroko sawa, awe Sheik, sawa. Awe mpagani, sawa. Ila lazima hatuakikishie sio mwenye mambo ya kitoto.
Sasa wewe mamlaka ya kunambia hatutaweza umeyatoa wapi?
mimi siwezi kuongelea shehe ilunga..ilunga namjulia hapa jf,kwenye nyuzi,simfahamu hata kwa picha.kwahiyo mwaka 2015,ndo huyo paroko wenu atawanyonga hao jamaa wote kama akiwa rais kama matarajio yenu yalivyo...mwambie kama anaota hivyo anaota ndoto za alinacha.
Sijui ni ya ngapi ila sio tu wanategemea misaada. Wamejaa kila sehemu ya uchumi wa kimarekani. Kama unajua twambie ni ya ngapi ila najua inazidi Tanzania.
Ndugu yangu, utakubaliana na mimi kwamba uwezo wenu wa kuzungumzia msmbo ni mgumu sana. Nimeongelea elimu ya sheik...nauliza tu ili kujua wala si kwa kejeli kwamba Sheik Ilunga ameandaliwa wapi? Wewe ukaruka na ku question elimu yangu.
Assume sina elimu, siwezo nikajiita kiongozo wa dini ya mtu bila kuandaliwa. Sasa twambie basi kwamba hakuandaliwa. Usirukie vitu
vingine.
Sasa wewe ulikuwa unadai israel imeendelea bila kuwa na data hata kidogo wajameni.
Hao matajiri wenye asili ya kiyahudi sawa wameenea marekani na wameshika nyadhifa nyeti ,wanatuma pesa israel,lakini sio wote wanaunga mkono serikali ya kibaguzi ya israel.na wanapinga serikali ya israel.watu kama albert Eistein,alikua myahudi alipinga serikali ya israel.watu kama george soro ni tajiri yuko marekani haelewani na utawala wa israel,watu kama sergei yule mwenye google ni myahudi mrusi lakini juzijuzi hapa google wameitambua palestine kama nchi.
Ukitaka link nitakuwekea.
Hata hitler alikua myahudi lakini alitofautiana na wayahudi wenzake.
Israel inaishi kwa kutegemea hela za matumizi toka marekani.wamerekani wanalalamika kuwa israel imekuwa mzigo kwao.wao wanashida pesa inapelekwa kusaidia israel,free syria army,egypt,etc.
kama unaongelea ile video ya sakar yule comander wa free syrian army akitafuna moyo wa askari wa asad,nasikia inatisha sana hadi mashirika ya human right wamelivalia njuga.tupe link kama ndo yenyewe,nime search you tube nikapata hiyo video. jamani inatisha. naogopa hata kuiweka humu.
labda atangaze hali ya hatari kama mwenzake goodluck jonathan wa Nigeria.Hii ndiyo inadhirisha kwamba serikali ya ccm ipo kwa ajili ya kuangamiza wakristo haiwezekani cv zinasambazwa kias hicho alafu serikali wanatazama tu au ndo hivyo wanasubiri auawe ili FBI waanze uchunguzi..... mungu wangu tunaenda wapi? ebu saidia kunusuru nchi na jaribio hili kwa wakiristo, HIV WASHAURI WA RAIS NI AKINA NANI?
kama unaongelea ile video ya sakar yule comander wa free syrian army akitafuna moyo wa askari wa asad,nasikia inatisha sana hadi mashirika ya human right wamelivalia njuga.tupe link kama ndo yenyewe,