hawa watu si hatari kwa wakristo pekee,na wala si kwamba waislam wote hawachukizwi na mambo haya,wanachukizwa na wanayaogopa sana,wapo waislam safi,wengi tu,pia hapo hawa wa siasa kali,hawa ni hatari duniani hata kwa waislam wenzao na hawataki mawazo tofauti na yao,na hawa ndo wanaoupaka matope uislam na kutukosanisha.Hilo la mafunzo ya kimapigano ni kweli,nilishawahi shuhudia hilo pale Iringa kuna msikiti mmoja upo jirani na makaburi ya UN(makaburi wanajeshiwaliokufa vita kuu ya dunia)mwaka 2008-2009 nikiwa napita sana njia hiyo nilipata kushuhudia kupitia dirishani mazoez yasiyo ya kawaida,ikiwemo kareti,,,.Tuzidishe sana maombi,tutaomba sana,na hasa wakati huu,tutasamehe sana ili Mungu aepushe hayo yote.naamini shetani atashindwa,kwani tangu harakati zote zianze ndipo vigango vimeongezeka,idadi ya wakristo imeongezeka,barokia zimeongezeka,majimbo yameongezeka na hata jumuiya na taasisi zimeongezeka.kama wanamadai waidai srlk kwan ndo walioipigia kura na si makanisa.