Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,228
Hivi kwa nini sehemu yoyote waliopo waislam panafukuta moshi ?
Mkuu hatahivyo hawajawahi kushinda kote huko.Angalia nigeria, leo mkatoliki anawatawala pamoja na kuwakataa, na nchi ile sasa imetulia watu wanakula maisha equally, bila kujali muislam wala mkristu.Ukianza na Mungu lazima umalize na Mungu.Tumtegemee mungu zaidi mungu wa kweli aliye hai.mwanzo na mwisho