Polls: JF Woman Of The Year 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Woman Of The Year 2011"?

  • AshaDii

    Votes: 68 80.0%
  • FaizaFox

    Votes: 17 20.0%

  • Total voters
    85
  • Poll closed .

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
MODS: Naomba Polls zikimalizika Threads zote hapa chini ziunganishwe: https://www.jamiiforums.com/mahusia...n-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Kampeni na Upigaji wa Kura na Umeshaanza kwa Categories Zote:

Tafadhali Piga Kura Yako Hapa:












Wana Jamii

Baada ya Mchakato wa Kura za maoni Kumalizika na Kusikiliza Rufaa zote, Tume ya Uchaguzi ya JF (JEC) imepitisha Majina ya Wagombea Watakaoingia Fainali na Kupigiwa Polls.

Ili kuuelewa mchakato ulikoanzia, tafadhali pitia uzi huu:
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Washindi waliopatikana sasa Watashindanishwa kwa Polls/Kura ili kupata Mshindi wa kila Category.

Majina yaliyopitishwa baada ya Wagombea wengi sana kuchujwa Katika Category ya:

Overall JF Woman of The Year 2011

1. Ashadii
2. FaizaFox


Tafadhali piga kura yako kwa yule unayedhani anafaa kuwa
Overall JF Woman of The Year 2011 kwa kuzingatia vigezo vilivyotajwa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/229183-jf-man-and-woman-of-the-year-2011-competition.html

Ili kuleta raha na changamoto ya Ushindani - kampeni za kuwapamba wagombea na kuwapigia debe kwenye PM kwa members mbalimbali au katika uzi huu inaruhusiwa.

NB: ID zitakazopiga kura na kuhisiwa kuwa zinachakachua kwa maana ya ID Mpya kabisa au ID mfu ambazo si active kwa kipindi kirefu hadi kipindi hiki cha kura zote zitaondolewa.

Uamuzi wa Tume Utakuwa Wa Mwisho.

Signed & Sealed:

Superman-Logo.jpg

Superman
Chairman - JEC

images
 
Damn,where did FF come from?
This is a poor execuse for JF woman of the year.
 
Back
Top Bottom