Polls: JF Woman Of The Year 2011

Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Woman Of The Year 2011"?

  • AshaDii

    Votes: 68 80.0%
  • FaizaFox

    Votes: 17 20.0%

  • Total voters
    85
  • Poll closed .
Huyu FF mnampeleka wapiiiiiiiiii wajameni???? AD OYEEEEEE
 
voting-closed.gif
 
dah, AshaDii bana ngumu kweli kukushinda.

Hongera kwa kuwa JF woman of the year
unastahili taji hilo ukiangalia ushindi wa kishindo uloupata.

Nampongeza na FF kwa kuwa nominated japo alikuwa kwenye ban, jua kuna watu wanakuamini.

Hongereni nyote.
 
Mbona hujatangaza mshindi???
Au unataka kuanzisha tena thread nyingine ya mshindi!!!
[h=2]View Poll Results: Je, Ni Nani Unampigia Kura Kuwa "JF Woman Of The Year 2011"?[/h] Voters86. This poll is closed

  • AshaDii

    68 79.07%
  • FaizaFox

    18 20.93%
 
FF anatisha, bila kuwepo ndani ya JF lakini kala namba mbili hapa na kule kwa Josephine namba mbili.
 
Back
Top Bottom