Poll: World's best-looking people are in United States

Poll: World's best-looking people are in United States

Acheni habari za waethiopia sijui kina nani..,wabongo na sie tumo mbona hatujikubali jamani, sio lazima watuweke kwenye hiyo list yao, kwanza hiyo poll ya kizushi, nani amepiga hiyo kura, mbona hatukushirikishwa???.....aaaagh!!!..##%$%^*&&🙁🙁😱"%^&&&*$##..zao na za mababu zao.. wameniudhi sana.
 
Kama Nsia Swai....aaaagh ile totoz imeumbika bana...we acha tu

Wasukuma utawajua tu. Kale ka weupe na Paja, aka.... ngosha kafika.

Kamwage mang'ombe kwa Mzee Swai........
 
Back
Top Bottom