Polisi yatoa sababu "nzito" kuzuia Mahafali ya CHASO Dodoma

Baada ya ukimya mwingi hatimae polisi mkoani Dodoma wametoa sababu "nzito" za kuzuia mahafali ya CHASO-CHADEMA mjini Dodoma.

Polisi wanasema hivi karibuni Dodoma walifariki watu nane kwa kilichodaiwa kula ugali wenye sumu,hivyo walihofia tukio kama hilo kutokea kwenye mahafali ya CHADEMA.

Hongereni Polisi kuokoa maisha ya wana CHADEMA....Haah haah.Tunawasubiri Polisi Moshi wajibu mashambulizi ya wenzao wa Dodoma

Police Kilimanjaro labda watasema walikuwa na taarifa za kiinteligensia fujo zingetokea.
 
Ukimfungia hata nyuki kwenye chupa kuna siku nyuki wenzake watagundu wakiisukuma chupa itapasuka mwenzao atoke, hatujui kesho tusicheze na leo
 
nadhani jeshi lapolisi linahitaji wasomi katika ngazi fulani hawa darasa la saba na form failure wakitambo wanashida yakujisimamia
 
Sasa wasisahau kuzuia Birthday maana kuna uwezekano wa watu kula keki zenye sumu. Na futari za jumuia zisiruhusiwe
 
Baada ya ukimya mwingi hatimae polisi mkoani Dodoma wametoa sababu "nzito" za kuzuia mahafali ya CHASO-CHADEMA mjini Dodoma.

Polisi wanasema hivi karibuni Dodoma walifariki watu nane kwa kilichodaiwa kula ugali wenye sumu,hivyo walihofia tukio kama hilo kutokea kwenye mahafali ya CHADEMA.

Hongereni Polisi kuokoa maisha ya wana CHADEMA....Haah haah.Tunawasubiri Polisi Moshi wajibu mashambulizi ya wenzao wa Dodoma
Tunahitaji akili za juu ili kutatua matatizo, hio sio sababu, inamaana mahotel na mama ntilie walifungiwa kuuza chakula? na hayo mahafali ni lazima wale? fanyeni kazi kwa kutumia taaluma zenu sio uchama, uzembe mnaoufanya utawagharimu hata nyie,familia zenu na nchi kwa ujumla, kwani mnaacha kufanya kazi za ulinzi mnafanya siasa.
 
Sijui bhana,, ila sababu nyingine kuzitoa na chombo kama polisi ni aibu
 
Ukada unawasumbua na kujipendekeza tu! Naona vyeo vinalindwa sana maana hata aliestaafu bado anataka ateuliwe tena awe marketing manager wa polisi! Maajabu ya mwaka!! RPC wanaweweseka na vyeo vya kujikomba!
 
Baada ya ukimya mwingi hatimae polisi mkoani Dodoma wametoa sababu "nzito" za kuzuia mahafali ya CHASO-CHADEMA mjini Dodoma.

Polisi wanasema hivi karibuni Dodoma walifariki watu nane kwa kilichodaiwa kula ugali wenye sumu,hivyo walihofia tukio kama hilo kutokea kwenye mahafali ya CHADEMA.

Hongereni Polisi kuokoa maisha ya wana CHADEMA....Haah haah.Tunawasubiri Polisi Moshi wajibu mashambulizi ya wenzao wa Dodoma

Dah! Hivi bwana afya hakuna ambao wangeweza kupima hivyo vyakula kabla ya watu kuanza kula?
 
Kwenye Kuaga Mwili wa Kamanda Alphonce Mawazo licha ya kuwepo kipindupindu na baada ya Mahakama kuruhusu kuagwa hamna aliye fariki.

Pili issue hiyo Daktari wa Dodoma (hosp) amekanusha kuwa siyo kweli make kuna watu hawakula nyama wala ugali na wameugua. Waache sababu za Karne ya 14 wakati tuko karne ya 21.
 
Kwani siku zote wanaishi wapi hao wanafunzi? Au hiyo nyama ndo ilikuwa Keki ya mahafali siku hiyo?
 
Baada ya ukimya mwingi hatimae polisi mkoani Dodoma wametoa sababu "nzito" za kuzuia mahafali ya CHASO-CHADEMA mjini Dodoma.

Polisi wanasema hivi karibuni Dodoma walifariki watu nane kwa kilichodaiwa kula ugali wenye sumu,hivyo walihofia tukio kama hilo kutokea kwenye mahafali ya CHADEMA.

Hongereni Polisi kuokoa maisha ya wana CHADEMA....Haah haah.Tunawasubiri Polisi Moshi wajibu mashambulizi ya wenzao wa Dodoma

Yeyote anaye jitambua anaweza kuyapima Maelezo ya Wanausalama wetu, asiye jitambua atayachukua kama yalivyo bila kupima viwango.
 
hawa ccm wajanja sana
Wanakuja na vijisababu uchwara ili waalalishe mkutano wao jul 23 ionekane vile vihatarishi vya ule ugonjwa vimezibitiwa...
 
Baada ya ukimya mwingi hatimae polisi mkoani Dodoma wametoa sababu "nzito" za kuzuia mahafali ya CHASO-CHADEMA mjini Dodoma.

Polisi wanasema hivi karibuni Dodoma walifariki watu nane kwa kilichodaiwa kula ugali wenye sumu,hivyo walihofia tukio kama hilo kutokea kwenye mahafali ya CHADEMA.

Hongereni Polisi kuokoa maisha ya wana CHADEMA....Haah haah.Tunawasubiri Polisi Moshi wajibu mashambulizi ya wenzao wa Dodoma
Mbuzi MAWEEEEEEE!! kama ndiyo intelijensia yenyewe hatuna polisi tanzania????
 
Back
Top Bottom