Polisi yatoa sababu "nzito" kuzuia Mahafali ya CHASO Dodoma

Polisi yatoa sababu "nzito" kuzuia Mahafali ya CHASO Dodoma

Namsubiri Julius Mwita aje apangue hoja za jeshi la polisi.
 
Police waongo sana!mbona awali walisema maafali hayakuwa na kibali?Na je maafali ya chaso Kilimanjaro ilikuaje?
 
Sababu kama hizi unaweka akiri pembeni au unampa mtu yoyote aliyekalibu anakutunzia akiri then ndo unaweza kuwaelewa
 
Kuna kitu mme sahau katika kampeni za uchaguzi mgombea mmoja alitoa mfano wa china kuwa imeendelea kwa kuwa na chama kimoja!!! Na akasema msiiue mcc!!! Na ndiko anako tupeleka chama 1
 
Kama kweli hii sababu imetolewa na jeshi la polisi,huyo msemaji
aliyekaririwa arudi kijijini akalime tu maana ni zaidi ya kilaza.
Au ndio wale walioiba vyeti vya form four kuingia MPA.
Pamoja na hayo huyu kamzidi mzee kova anayeomba kazi polisi kwa upya.
 
Wabongo ukiwaambia usile ndio kwanza wanapata hamu ya kula ni bora hiyo njia iliotumika àisee
 
Baada ya ukimya mwingi hatimae polisi mkoani Dodoma wametoa sababu "nzito" za kuzuia mahafali ya CHASO-CHADEMA mjini Dodoma.

Polisi wanasema hivi karibuni Dodoma walifariki watu nane kwa kilichodaiwa kula ugali wenye sumu,hivyo walihofia tukio kama hilo kutokea kwenye mahafali ya CHADEMA.

Hongereni Polisi kuokoa maisha ya wana CHADEMA....Haah haah.Tunawasubiri Polisi Moshi wajibu mashambulizi ya wenzao wa Dodoma
Jamaa wana vituko hawa
 
Na wakati huo huo mikutano mingine ambayo ilikuwa inaendelea siku ile ile katika jiji la Dodoma Polisi hawakuivamia ili kuizuia kunusuru wahudhuruaji wa mikutano ile wasiambukizwe ugonjwa wa kutisha. Bunge lao halijavamiwa ili kusambaratishwa kuwakinga Wabunge wasiambukizwe ugonjwa wa kutisha. Ujinga MTUPU!

Baada ya ukimya mwingi hatimae polisi mkoani Dodoma wametoa sababu "nzito" za kuzuia mahafali ya CHASO-CHADEMA mjini Dodoma.

Polisi wanasema hivi karibuni Dodoma walifariki watu nane kwa kilichodaiwa kula ugali wenye sumu,hivyo walihofia tukio kama hilo kutokea kwenye mahafali ya CHADEMA.

Hongereni Polisi kuokoa maisha ya wana CHADEMA....Haah haah.Tunawasubiri Polisi Moshi wajibu mashambulizi ya wenzao wa Dodoma
 
kwa akili hizi ndio tutegemee polisi kupambana na majambazi?Tuombe mungu al shaabab wasijefika nchini mwetu,tutakufa kama kuku.
 
Siyo intelijensia ya Polisi tena.Ok na wale wa Mwanza nao ilikuwa sababu ni nini??Naona baada ya IGP kuwatwanga ma RPC majibu yanayokuja hata mtoto mdogo anajua tu na ukada wa chama kwa kupitiliza
Mwanza nako mazingura yake rifauti
 
Vp uko Dom hakuna sherehe now? Watu majumbaji hawali ugali? Je wamepita kila nyumba kuzuia watu wasile ugali?
Nchi hii haiishi vituko
 
Back
Top Bottom