Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

Hawa ni watu wengi Sana walistshili serikali itoe japo rambirambi kuwafuta machozi.

Huu pia ni uzembe wa polisi na watu kukimbilia matukio yasiyo na faida kwao
 
Kuwaelewa watu waliorundikana katika lile tukio inahitaji ujitoe akili.
Sio kila kifo ni mpango wa Mungu.
 
Ni uzembe wa hali ya juu mno huu kwa jeshi letu kushindwa kuimarisha protocol thabiti ya kuaga mwili.
 
Inanishangaza kuwa watendaji hawakumshauri Rais wetu kutuma salamu za rambirambi, au hata kulisemea tu kwa wazi, kwa msiba huu uliolipata jiji la Dar es Salaam.
 
Mkuu si ulikuwa unamsupport Jiwe au kumbukumbu zangu zimepwaya?

Hata hiyo hongera kwa kumkaanga sasahivi kisa hayupo
Binadamu n wanafiki Sana mkuu ukiwa na mamlaka utatukuzwa usipokuwa nayo utadhihakiwa DEO SANGA "JAH PEOPLE" Leo anasema mama SAMIA n jembe tulilolitarajia
 
Hawa ni watu wengi Sana walistshili serikali itoe japo rambirambi kuwafuta machozi.

Huu pia ni uzembe wa polisi na watu kukimbilia matukio yasiyo na faida kwao
Wamefariki wengi zaidi. Kuna jamaa alikuwa anamtafuta ndugu yake akasema Ilala, Muhimbili na Temeke nyumba za maiti zilikuwa zimejaa na wengine wakawekwa chini. Alisema ni around 100. Walifariki wengi sana. Wamesubiri mpaka mambo yakapoa ndiyo wakatangaza na kutangaza kwake ni kwa dizaini ya kuficha.
 
Back
Top Bottom