Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

Mkuu si ulikuwa unamsupport Jiwe au kumbukumbu zangu zimepwaya?

Hata hiyo hongera kwa kumkaanga sasahivi kisa hayupo
Aisee mwendazake kaondoka na watu wengi sana...

Hii sio dalili nzuri kwa malaika anaoenda kuwaongoza
 
Mmh!

Mbona kuna msiba mmoja wa yule dada aliyepelekwa Kagera, ndugu iliwalazimu kupitisha bakuli ili kuokoa jahazi?

Hakuna dada aliyepelekwa Kagera.....

Yule binti amesafirishwa na serikali hadi kwao iringa, na serikali ndio imegharamia kila kitu tangu msiba wenyewe hapa na kijijini kwao, jeneza, mavazi na kusafirisha waombolezaji

Hao waliokupitishia bakuli wamekutapeli sababu sisi kama familia na ndugu hatukufanya hivyo
 
So wewe mwanafamilia uliyesafirishwa Iringa una taarifa za misiba yote 44?
 
Mama D unawajua wendazao wote 45 waliotangulia siku wakimuaga mwendazake ?
 
So wewe mwanafamilia uliyesafirishwa Iringa una taarifa za misiba yote 44?
Sasa najuaje wote, mimi niliwajua waliokua watu wangu
Kila msiba hujulikana na watu wa karibu na marehemu
 
Basi huoni inawezekana mkawa mnawazungumzia wendazao wawili tofauti? Huyo wa Kenya labda ni kweli hakusaidiwa...

Ambalo silijui siwezi kuliongelea

Ila kwa hiki ninachokijua mimi ni kwamba wafiwa wakiwa kwenye taharuki walipokea wajumbe wa serikali ambao walibeba majukumu yote

Unaweza sema mtu hakusaidiwa kumbe msaada ulitoka wale wasiokua na utu wakazitafuna
Binadamu wazito Asprin
 
Sasa najuaje wote, mimi niliwajua waliokua watu wangu
Kila msiba hujulikana na watu wa karibu na marehemu
Umesema serikali imegharamia misiba yote mpaka iliyosafirishwa.

Kuna member akauliza mbona kulikua na bakuli la kusafirisha mwili Kagera.

Ukajibu hakukua na kusafirisha mwili Kagera. Mwili uliosafirishwa ni wa Iringa na unajibu ukiwa kama mwanafamilia na ndugu wa huo msiba.

Nakuuliza Mwanafamilia wa msiba wa Iringa unajuaje misiba yote, na wewe unashangaa unajuaje habari za misiba yote.
 
Ambalo silijui siwezi kuliongelea

Ila kwa hiki ninachokijua mimi ni kwamba wafiwa wakiwa kwenye taharuki walipokea wajumbe wa serikali ambao walibeba majukumu yote

Unaweza sema mtu hakusaidiwa kumbe msaada ulitoka wale wasiokua na utu wakazitafuna
Binadamu wazito Asprin
Hapo ndo napotatizika mama... maana huwezi jua kwenye misiba mingine hao watu wa serikali walichikichia hela hazikufika kwa walengwa. Unless uniambie wewe ndo ulikuwa mtu wa serikali na una uhakika ulizifikisha kwenye kila msiba...
 
Umesema serikali imegharamia misiba yote mpaka iliyosafirishwa.

Kuna member akauliza mbona kulikua na bakuli la kusafirisha mwili Kagera....
Nimejibu kwa 6 ninaowajua, na kwa maelekezo ni kwamba misiba yote ilibebwa na serikali.

Kabla ya kulalamika hapa kaulizeni kwa wafiwa na vyombo kama kuna maiti haukusafirishwa.

Usitie neno kila mahala bila kuujua ukweli
 
Hapo ndo napotatizika mama... maana huwezi jua kwenye misiba mingine hao watu wa serikali walichikichia hela hazikufika kwa walengwa. Unless uniambie wewe ndo ulikuwa mtu wa serikali na una uhakika ulizifikisha kwenye kila msiba...
Nitake radhi Asprin😅😅😅
 
Back
Top Bottom