Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

Umesema serikali imegharamia misiba yote mpaka iliyosafirishwa.

Kuna member akauliza mbona kulikua na bakuli la kusafirisha mwili Kagera...
Hakuna ajualo buku 7 huyo.

Wamezoea kuficha ficha hata visivyofichika.
 
Nimejibu kwa 6 ninaowajua, na kwa maelekezo ni kwamba misiba yote ilibebwa na serikali
Kabla ya kulalamika hapa kaulizeni kwa wafiwa na vyombo kama kuna maiti haukusafirishwa
Usitie neno kila mahala bila kuujua ukweli
Mimi silalamiki actually nimeuliza kwakua kwa ulichoandika kinamaanisha upo katika ile kamati ya Maafa so nilikua nataka kuthibitisha ninachokihisi.
 
Mimi silalamiki actually nimeuliza kwakua kwa ulichoandika kinamaanisha upo katika ile kamati ya Maafa so nilikua nataka kuthibitisha ninachokihisi.
Sipo kwenye kamati mkuu
Mimi ni mwananchi mhanga wa hilo tukio
 
Hakuna dada aliyepelekwa Kagera.....

Yule binti amesafirishwa na serikali hadi kwao iringa, na serikali ndio imegharamia kila kitu tangu msiba wenyewe hapa na kijijini kwao, jeneza, mavazi na kusafirisha waombolezaji

Hao waliokupitishia bakuli wamekutapeli sababu sisi kama familia na ndugu hatukufanya hivyo
So rambirambi yake wameirambaramba..??🤣
 
Chanzo cha habari gazeti la the Citizen la Leo tarehe 30-03-2021

Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza...
Ni kweli Watanzania walienda kumuaga mpendwa wao Jemedari Magufuli hawakujali lolote
 
Hakuna dada aliyepelekwa Kagera.....

Yule binti amesafirishwa na serikali hadi kwao iringa, na serikali ndio imegharamia kila kitu tangu msiba wenyewe hapa na kijijini kwao, jeneza, mavazi na kusafirisha waombolezaji

Hao waliokupitishia bakuli wamekutapeli sababu sisi kama familia na ndugu hatukufanya hivyo

Hadi hapa naona tayari umeshachanganya mafaili, binti unayemtaja hapa ni marehemu Anitha wa Wanging'ombe, aliyekuwa binti wa kazi wa kina Mtuwa...

Mimi nakutajia mtu mwingine kabisa kati ya waliofikwa na umauti...
 
Chanzo cha habari gazeti la the Citizen la Leo tarehe 30-03-2021

Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza...
hao wajinga kweli muda wote walikuwa wanamtafuta mtu wa kuwasilisha taarifa kwa english
 
Mkuu Mimi ni muumini wa ukweli na uwazi, Fuatilia makala zangu kuhusu CAG Dkt Assad

Kwenye ishu za watu kuiba na Kujijengea mtandao wa kupiga pesa Siungi mkono

Hayati nilimuunga mkono kwenye kusimamia kazi na anachokiamini kwenye ishu za uhuru wa habari na Demokrasia mambo yalikuwa hovyo sana sana
Makala zako kuhusu kipenzi cha watz prof Assad ntaziona wapi? Nataka kuzisoma
 
Back
Top Bottom