Polisi wetu na sheria mkononi-- picha ya Tundu Lisu

Polisi anaruhusiwa kutumia minimum power kama mtuhumiwa analeta ukaidi! Kilichofanyika hapo ni sawa kabisa kwani wote tunamfahamu Lisu kwa ubishi!!

Njoo na uthibitisho wa hayo unayoyaandika! Hakuna sheria inayoruhusu kutumia nguvu kwa mtu, anayekaidi sembuse ya kutumia "minimum power"!
 
Regardless of what they got, being given opportuinity ya kufikia level ya form four ni achievent kubwa sana kwa vijana wetu

Kweli akili yako imevia..yani wadogo zetu wakisoma ni nyie mmewapa oopportunity? Haya matusi mnayotutukana ndiyo tutawahoji siku tutakapo wa-samuel doe au tutakapo wa-gabgo
 
Njoo na uthibitisho wa hayo unayoyaandika! Hakuna sheria inayoruhusu kutumia nguvu kwa mtu, anayekaidi sembuse ya kutumia "minimum power"!

hiki kichwa kimejaa maakili na maujanja!!

Kweli akili yako imevia..yani wadogo zetu wakisoma ni nyie mmewapa oopportunity? Haya matusi mnayotutukana ndiyo tutawahoji siku tutakapo wa-samuel doe au tutakapo wa-gabgo

Polisi ni kama mbwa akiambiwa kamata anakamata acha ana acha

Polisi anaruhusiwa kutumia minimum power kama mtuhumiwa analeta ukaidi! Kilichofanyika hapo ni sawa kabisa kwani wote tunamfahamu Lisu kwa ubishi!!

minimum power kwa polisi ni gia namba ngapi?
au kilowatts ngapi?
huu ni uhuni polisi hana mamlaka ya kumpiga mtu mkuu.
wasalimu samunge
 
Usiweke vikwazo, unasema tukio lakini hausemi tukio gani.
Kama unaongelea kuhusu shooting, then you are not anywhere close to the thread. What more can I say?

Serikali ingeweza kufanya kila kitu kama inanavyotakiwa, nina uhakika wewe ungekuwa Mirembe, kwa kifupi afya ya akili yako ni dhaifu sana kiasi cha kuhitaji tiba. Tatizo ni kwamba taasisi za tiba ya akili zinaweza kuhudumia watu wachache kuliko mahitaji halisi na kwa hili nailaumu serikali ya Tanzania kwani inawajibika moja juu ya hili.

sasa na wewe ni nani? mgonjwa aliyetoloka milembe?
umenipima kwa keyboard yako na kutoa majibu ya papo hapo
wasalimu samunge kwa babu
 
Mbona hapo haionyeshi akipewa mkong'oto? Natamani sana hao CDM wapewe kichapo cha maana cuz wanatuvurugia amani yetu! Big up Kamanda Masawe, unafanya kaz yako vizuri!

Wewe si bure huenda una mtindio wa ubongo! Siku babako, mjombako na binamu zako wakipewa kichapo ndio utajua ubaya wa uonevu!
 
Utangoja sana! CCM na mikakati yake mizuri itaiongoza Tanzania milele!
Mkuu CCM wamekufikisha pazuri sio, fanya hili kwanza baadae nitakwambia nini next.

Industrial Areas.
Kuna maeneo yanaitwa hivyo. Tembelea haya maeneo uangalie viwanda vilivyopo na vinafanya kazi au, baada ya hapo mfuate mzee wako muulize nini tofauti ya maeneo yale kwa sasa na enzi za mwalimu. Au kama wewe ni mzee tafakari hili.

Baada ya hapo fanya tafakari ya utimamu wa akili yako ukimaliza nitafute nikwambie nini cha kufanya tena.
Mungu akubariki
 
Mbona hapo haionyeshi akipewa mkong'oto? Natamani sana hao CDM wapewe kichapo cha maana cuz wanatuvurugia amani yetu! Big up Kamanda Masawe, unafanya kaz yako vizuri!

Pole sana, huyu anastahili kupimwa akili wakuu.
 
Back
Top Bottom