Wangekuwa vilaza wangeweza kuifikisha nchi ilipo? Acha kuropoka tu, shirikisha na ubongo!
View attachment 30749
Kuna sheria moja imefunga watu sana hapa nchini, kujichukulia sheria mkononi au kupiga mtu hata kama amekuibia hivi polisi haiwahusu?
Kumdhalilisha hivi waziri kivuli wa sheria je sisi wengine itakuwaje?
Hiyo ni nguo ngumu lakini wameweza kumpa purukushani mpaka ikachanika, je mbavu zake ziko salama?
Mimi nadhani wananchi kuweke msimamo kama tukiona polisi anapiga mtu au kutumia nguvu kupitiliza tufanye nini?
Wenzetu uingereza juzi wamefanikiwa kuipasua sheria ya kuwawekea kinga kwa njia za mahakama watu wenye majina pale wanapofanya uovu kwa kutumia TWITTER.
Na tubuni mbinu ya kukomesha ukatili wa polisi, hata kama ni kuanzisha mfuko wa kuteteta watu wasio na kipato wanaonyanyaswa na polisi na mahakama tufanye, haki haiji kwa kuremba remba.
Mbona hapo haionyeshi akipewa mkong'oto? Natamani sana hao CDM wapewe kichapo cha maana cuz wanatuvurugia amani yetu! Big up Kamanda Masawe, unafanya kaz yako vizuri!
Nadhani polisi walishindwa kuelewa kwamba kwa kufanya hivyo wanazidi kukimaliza chama tawala. Kabla ya kuchukua hatua hiyo RPC kanda maalumu aliuliza ngazi za juu na akapewa go ahead.
Regardless of what they got, being given opportuinity ya kufikia level ya form four ni achievent kubwa sana kwa vijana wetu
Polisi wapo kisheria, wanatekeleza sheria za nchi. Kama "maamuzi kutoka juu" yanafanywa kwa kutekeleza sera za chama then who is to blame?
Halafu, nani anaweza kutuhakikishia kuwa ni polisi walioitatua hiyo nguo? I need to be sure of this coz that guy and the follows are capable of any thing in the name of politics!
Kwako mwanfunzi kumaliza kidato cha nne ni ndio maendeleo?Mawazo yako mafupi Kama ya raisi wako Jk aliposema uchumi wa Tanzania umekuwa sababu ya foleni za magari kuwa kubwa so mnafanana kwa akili.Kwa mawazo yako mafupi unanitolea mifano mifupi kwa migongo ya nchi za Afrika.Vigogo wa ccm Siril Chami na William Likuvi wana vibali vya kuvuna magogo serikali yako ya ccm imeshindwa vipi na yenyewe kuvuna magogo na kuwapa kazi JKT watutengenezee madawati sbb misitu tunayo?
Hivi yale mabilioni ya kuandaa maandamno cdm yasingeweza kununua madawati?
kwa hiyo wewe unataka kusema wakurya nao ni CHADEMA,
kwani tukio hilo lilitokea chadema wakiwa tarime au alikwenda baada ya tukio?
mwisho mara yako ya mwisho kuona polisi wanafanya unyama ilikuwa lini? au hauishi tanzania?
unakumbuka kesi ya ZOMBE polisi walichukua wafanya biashara wakaenda kuwatia lisasi msituni?
maumivu ya kichwa inapoanza tumia panadoooooooooooooooooo
kiutaalamu hii ina maana lengo la maandamano limetimia vizuri sana maana ni ajenda kuu ya magamba kwa sasa wazungu wanaita THREAT
Kwa wana mahesabu tutafanya hiVi MAANDAMANO= MAGAMBA KUKOSA USINGIZI
Utangoja sana! CCM na mikakati yake mizuri itaiongoza Tanzania milele!
Godamit old tanzanian!polic kaz yake c kuchana nguo za raia bali n kumfikisha penye haki mahakaman,ijapo najua utabisha ila ka mbungu kakujalia upeo wa kujua wapi penye ukwel bs wewe c mwana ccm kama u kijana,na kama n mwana chama bs n njaa 2 ulonayo na c kosa lako n la hao wanaokuongoza ila kwa kuwa n ngumu kujua their deeds bs bk kwenye magamba bt we hv faith even if it may take long bt ccm has its end in power
sishangaa maana hata avatar yako inaonyesha ulivyo na bichwea kubwa limejaa mautumbo ya bata
sishangaa maana hata avatar yako inaonyesha ulivyo na bichwea kubwa limejaa mautumbo ya bata
sishangaa maana hata avatar yako inaonyesha ulivyo na bichwea kubwa limejaa mautumbo ya bata