Polisi waweka hadharani majina ya Machangudoa hatari

Polisi waweka hadharani majina ya Machangudoa hatari

Wewe ----- hao unaosema wamekamatwa kwa kuuza miili yao hao waliowauzia mbona hawakukamatwa? Hakuna kesi hapo kwani huwezi kuitwa unauza bila ya kuwa na mnunuzi!! Mwanamke kutembea usiku sio kosa kisheria. Mimi siwatetei makahaba kama kutakuwa na ushahidi wa kujitosheleza kuwa wanafanya biashara hiyo, lakini sio polisi kwa njaa zao kukurupuka na kuwakamata wanawake hovyo.

Watawakamataje wakati hao wapo wanajiuza na inathibitisha kwa vitendo vyao au hujui hata wanaifanyaje.Bila kuwepo muuzaji mnunuzi na mtumiaji hawezi kuwepo
 
Si sawa,si sawa.Police inawaonea hawa wadada.Wawakamate kwanza wanunuzi wa hao akina dada.Alafu nashangaa sana police kukamata hao wadada lakini hawawakamati matapeli wanaotapeli watu kila kukicha.Waanze kwanza na matapeli then waje kwa wanao wanunua hao wadada.Na nyie wadada achen hiyo Biashara ,achen uvivu tafuten njia nyingine ya kupata kipato.Shame on you!

Pole sana mkuu naona unaongea kwa hisia na hasira sana, naona maumivu ya zile mil 6 za Sinza bado hayajapungua badala ya kukupa ushirikiano wewe wanaangaika na wadada wa watu, RPC mzima anaitisha press release kusifia vijana wake wamekamata lita 30 za gongo?
 
Na we unajiuza sh ngapi? Maana umekuwa mkali kweli!

Nimekuwa mkali kwasababu hawa polisi katika kazi zao hawana priorities!! Huko Singida magari yanaporwa na majambazi, majangili wanamaliza nyala zetu huko kanda ya kati, sasa badala ya kushuhulikia mambo hayo muhimu wanapoteza nguvu kufukuzana na wanawake kwenye bar!!! Wewe ------ kama wewe na wewe kahaba jifiche na basha wako ama sivyo mtakamatwa wote hapo Dom!
 
Naomba orodha ya Wateja wao pia. Kamanda itisha press conference.
 
HAYA NDIYO MAJINA 15 YA WANAWAKE WA DODOMA HATARI SANA WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA UKAHABA, JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA

​
[TABLE="class: cf hX"]
[TR="class: hR"]
[TD="class: hU hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[TD="class: hV hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Na.Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha na biashara haramu ya kuuza miili yao kutoka mikoa mbalimbali nchini. Msako huo ulifanyika tarehe 05/02/2014 majira ya 21:00hrs katika mitaa ya uhindini na Air Port.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME - SACP amewataja watu hao kuwa ni:

1. VERONICA D/O JOEL mwenye miaka 23, Mnyakyusa mkazi wa Sai Mbeya.

2. ROSE D/O MICHAEL mwenye miaka 30, Mgogo, Mkazi wa Kikuyu Dodoma.

3. MARIAM D/O JORDAN mwenye miaka 26, Mhehe mkazi wa Tukuyu Mbeya.

4. REHEMA D/O RAMANDANI mwenye miaka 38, Mlugulu makazi wa Airport Morogoro.

5. JOYCE D/O MARTINE mwenye miaka 22, Mnyamwezi mkazi wa Chinangali West Dodoma.

6. FATIA D/O SARATIELI mwenye miaka 20, Mgogo mkazi wa Makanda Bahi Dodoma.

7. BOKE D/O CHACHA mwenye miaka 27, Mkurya mkazi wa Tarime Mara.

8. SWAUMU D/O BAKARI mwenye miaka 23, Mnyamwezi mkazi Chinangali Dodoma.

9. ROSS D/O MASAKI mwenye miaka 28, Mchaga mkazi wa Sanya juu Moshi.

10. SCOLASTIA D/O COSTANTINO mwenye miaka 22, Mnyakyusa mkazi wa Gongolamboto Dar es salaam.

11. HAPPY D/O JULIUS mwenye miaka 31, Mnyamwezi mkazi wa Urambo Tabora.

12. AISHA D/O HASSAN mwenye miaka 38, Mbulu mkazi wa Babati Manyara.

13. JULIANA D/O DOMINICK Mwenye miaka 31, Mnyakyusa, mkazi wa Airport Dodoma.

14. DATIVA D/O LUKWEMBE mwenye miaka 29, Mhaya mkazi wa Kiziba Bukoba Kagera.

15. DORIN D/O MASSAWE mwenye miaka 23, Mchaga mkazi wa Kiboshomaro Moshi.

Aidha Kamanda MISIME amesema katika msako huo watu wawili wanaume walikamatwa wakiwa na mirungi robo kilo katika mtaa wa barabara ya nane (8) Manispaa ya Dodoma ambao ni NASSOR S/O ALLY mwenye miaka 45, Mwarabu mkazi wa barabara ya kumi na AYUBU S/O TEPO mwenye miaka 40, Muarusha, Fundi cherehani mkazi wa Chamwino.

Pia huko katika Wilaya ya Kongwa kijiji cha Mlanje kata ya Matongoro Tarafa ya Zoisa alikamatwa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la SHEDRACK S/O MACHILE mwenye miaka 46, Mgogo, Mkulima akiwa na Lita 30 za pombe ya moshi akiziuza.

Kamanda MISIME amesema msako unaendelea na amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi.

Sijaelewa kabila in unahusiani nini kazi yake au uhalifu wake. Kwanini police wataje kabila la mtu? Thats my concern
 
Kuna harufu isiyo nzuri kwa hili zoezi la kuwakamata hawa wadada, hii biashara haijaanza leo wala jana na haipo dodoma tu karibu kila mkoa wapo, mimi nadhani kuna MKUBWA kalizwa sasa ameamua kulipiza....
 
Serikali inahangaika tuu!!!!! subiri kama hawajaachia wenyewe. Hii ni NGUVU YA uULIBERALI DUNIANI.
 
Nilidhani Polisi waweka hadharani Majina ya Majangiri kumi hatari yanayoua Tembo kumbe ni huu -----??!! hivi Polisi wa hii nchi wanafanya nn??!!
 
Watawakamataje wakati hao wapo wanajiuza na inathibitisha kwa vitendo vyao au hujui hata wanaifanyaje.Bila kuwepo muuzaji mnunuzi na mtumiaji hawezi kuwepo

It takes TWO to TANGO!!! You cannot dance the Tango alone.
 
Sijaelewa kabila in unahusiani nini kazi yake au uhalifu wake. Kwanini police wataje kabila la mtu? Thats my concern

Mbona hukuuliza juu ya jina na sehemu wanazoishi? huo ni utaratibu wa kipolisi unaposhikiliwa lazima details zako zote ziandikwe ili ukifa au ndugu wakija kukuulizia wawe na uhakika wa kukutambua maana majina yanaweza kufanana kwa watuhumiwa zaidi ya watano kwa hiyo hivyo vielezi vya mbele vinawasaidia kutofautisha.
 
Kwa wenzetu America polisi hawahitaji kuwakamata makahaba na wateja isipokuwa wao wenyewe hujifanya ndio wateja na wanakuwa na hidden camera kuwa record kwa ushahidi ila mipolisi ya bongo ushahidi ni kupigwa virungu mpaka ukubali, walishawahi kunikamata mitaa ya kinondoni kwa manyanya na nilikuwa nimepaki gari hatua chache na sehemu walionikamata wakadai Mimi ni mzururaji!!! Hata Uwe nadhifu na vitambulisho hawataki aaarghhh.
 
Hapo ndipo uwezo wao wa kufikiri ulipokomea mkuu. Elimu,elimu,elimu kwao ni kitendawili.
Unategemea muujiza upi kiutendaji kwa serikali ya kihuni,rushwa,dhuluma na ukatili kama hii?
Tz imepata pigo kubwa sana kuwa ktk kipindi cha giza kwa miaka 10 chini ya utawala mbovu ambao hauna mfano wake tangu kuumbwa kwa mbingu na nchi.
Hasa ukizingatia kuwa, Lost time is never found.
Na bado Shetani anaandaa mikakati mingine ya kumrithisha firauni(Farao) mwingine huenda aliye mwovu kuliko huyu aliyepo sasa kuwatesa Watz kwa kipindi kingine kisichojulikana.
Uwepo wa serikali ya huyu mhaini nahisi ulikuwa ni mkakati mahsusi wa shetani kulitesa Taifa letu. Tunahitaji kumlilia Mungu aturehemu Tz,vinginevyo tunaenda kuwa utumwani tena chini ya farao mwingine baada ya huyu mpuuzi tuliyenaye a.k.a(Mr Msafiri)
 
Wanalipa kodi wapi?fafanua uhalali wake kwanza ndo uombe ujinai wake

umejichanganya, siwezi kufafanua uhalali naweza kueleza kuwa wanakatazwa kama kuna sheria inakataza, kama hakuna sheria inayokataza maana yake wameruhusiwa.

Kulipa au kutokulipa kodi sio issue kwenye suali langu
 
Hapo ndipo uwezo wao wa kufikiri ulipokomea mkuu. Elimu,elimu,elimu kwao ni kitendawili.
Unategemea muujiza upi kiutendaji kwa serikali ya kihuni,rushwa,dhuluma na ukatili kama hii?
Tz imepata pigo kubwa sana kuwa ktk kipindi cha giza kwa miaka 10 chini ya utawala mbovu ambao hauna mfano wake tangu kuumbwa kwa mbingu na nchi.
Hasa ukizingatia kuwa, Lost time is never found.
Na bado Shetani anaandaa mikakati mingine ya kumrithisha firauni(Farao) mwingine huenda aliye mwovu kuliko huyu aliyepo sasa kuwatesa Watz kwa kipindi kingine kisichojulikana.
Uwepo wa serikali ya huyu mhaini nahisi ulikuwa ni mkakati mahsusi wa shetani kulitesa Taifa letu. Tunahitaji kumlilia Mungu aturehemu Tz,vinginevyo tunaenda kuwa utumwani tena chini ya farao mwingine baada ya huyu mpuuzi tuliyenaye a.k.a(Mr Msafiri)

Ni ukweli mkuu ni upuuzi mtupu, yaani huwezi kuzushiwa kesi za kibwege nchi za wenzetu haki za raia zinaheshimiwa sana nakumbuka walinisumbua sana hawakuniruhusu nichukue gari! Wakanifunga mashati na watu wengine waliowakamata mpaka kituo cha polisi hananasif nilipokuja kutoka na kurudi kwenye gari mateja wameshang'oa side mirrors f.uc.k the police.
 
[h=3]HAYA NDIYO MAJINA 15 YA WANAWAKE WA DODOMA HATARI SANA WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA UKAHABA, JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA[/h]

​
[TABLE="class: cf hX"]
[TR="class: hR"]
[TD="class: hU hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[TD="class: hV hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Na.Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha na biashara haramu ya kuuza miili yao kutoka mikoa mbalimbali nchini. Msako huo ulifanyika tarehe 05/02/2014 majira ya 21:00hrs katika mitaa ya uhindini na Air Port.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME - SACP amewataja watu hao kuwa ni:

1. VERONICA D/O JOEL mwenye miaka 23, Mnyakyusa mkazi wa Sai Mbeya.

2. ROSE D/O MICHAEL mwenye miaka 30, Mgogo, Mkazi wa Kikuyu Dodoma.

3. MARIAM D/O JORDAN mwenye miaka 26, Mhehe mkazi wa Tukuyu Mbeya.

4. REHEMA D/O RAMANDANI mwenye miaka 38, Mlugulu makazi wa Airport Morogoro.

5. JOYCE D/O MARTINE mwenye miaka 22, Mnyamwezi mkazi wa Chinangali West Dodoma.

6. FATIA D/O SARATIELI mwenye miaka 20, Mgogo mkazi wa Makanda Bahi Dodoma.

7. BOKE D/O CHACHA mwenye miaka 27, Mkurya mkazi wa Tarime Mara.

8. SWAUMU D/O BAKARI mwenye miaka 23, Mnyamwezi mkazi Chinangali Dodoma.

9. ROSS D/O MASAKI mwenye miaka 28, Mchaga mkazi wa Sanya juu Moshi.

10. SCOLASTIA D/O COSTANTINO mwenye miaka 22, Mnyakyusa mkazi wa Gongolamboto Dar es salaam.

11. HAPPY D/O JULIUS mwenye miaka 31, Mnyamwezi mkazi wa Urambo Tabora.

12. AISHA D/O HASSAN mwenye miaka 38, Mbulu mkazi wa Babati Manyara.

13. JULIANA D/O DOMINICK Mwenye miaka 31, Mnyakyusa, mkazi wa Airport Dodoma.

14. DATIVA D/O LUKWEMBE mwenye miaka 29, Mhaya mkazi wa Kiziba Bukoba Kagera.

15. DORIN D/O MASSAWE mwenye miaka 23, Mchaga mkazi wa Kiboshomaro Moshi.

Aidha Kamanda MISIME amesema katika msako huo watu wawili wanaume walikamatwa wakiwa na mirungi robo kilo katika mtaa wa barabara ya nane (8) Manispaa ya Dodoma ambao ni NASSOR S/O ALLY mwenye miaka 45, Mwarabu mkazi wa barabara ya kumi na AYUBU S/O TEPO mwenye miaka 40, Muarusha, Fundi cherehani mkazi wa Chamwino.

Pia huko katika Wilaya ya Kongwa kijiji cha Mlanje kata ya Matongoro Tarafa ya Zoisa alikamatwa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la SHEDRACK S/O MACHILE mwenye miaka 46, Mgogo, Mkulima akiwa na Lita 30 za pombe ya moshi akiziuza.

Kamanda MISIME amesema msako unaendelea na amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi.

Badala yakuwataja mafisadi Na wauza sembe wanataja dada zetu..!!
Polic ovyoooooo
Policcm
 
Yaani ukiwa nchi za watu haki zako zinaheshimiwa ukiwa home unaonekana Kama second class citizen!! Arrrghhh
 
Kwa wenzetu America polisi hawahitaji kuwakamata makahaba na wateja isipokuwa wao wenyewe hujifanya ndio wateja na wanakuwa na hidden camera kuwa record kwa ushahidi ila mipolisi ya bongo ushahidi ni kupigwa virungu mpaka ukubali, walishawahi kunikamata mitaa ya kinondoni kwa manyanya na nilikuwa nimepaki gari hatua chache na sehemu walionikamata wakadai Mimi ni mzururaji!!! Hata Uwe nadhifu na vitambulisho hawataki aaarghhh.
Tatizo ni kuwa,wale waliokuwa hawaelewi hatima ya maisha yao itakuwaje baada ya kushindwa kielimu, ndiyo wengi wao waliojoin police force. Ni watu wasiostaarabika,ni wahuni na pia ni majambazi waliohalalishwa kuvaa Police uniforms, sasa mkuu unategemea nini kukutana na jambazi lililohalalishwa kiserikali kufanya uhaini kwa wananchi!
Sifa za huyu jambazi ndani ya uniform ni kuwa Hana shule,anachuki binafsi kwa waliofanikiwa,hana muda wa kuangalia vitambulisho unavyompa, kwani hataelewa hata akisoma,pia utakuwa unampotezea muda wake kuvamia sehemu nyingine.Nahisi watakuwa na malengo maalumu ya makusanyo kwa kila siku,ni mijitu isiyo na maadili. Sasa ukikuta utawala dhaifu unashiriki uhalifu wao, hali ya wahanga wao inakosa maelezo sahihi ya kuelezea. Itabakia ni Mungu pekee kuwa mtetezi wa wanyonge.
Kulinganisha wahaiuni hawa na police wa nchi hizo mkuu ni vitu viwili tofauti kabisa.
Sisi Tz hatuna police,tunao wahalifu walioidhinishwa na serikali dhaifu na kupewa uniform ili kurahisisha dhuluma kwa wananchi.
Mfano mzuri wa police ambao taifa limewahikuwanao ni kama akina Chris Lukosi.
Kama ulishawahi fuatilia mada za huyu mpuuzi, ndiyo ujue tunao wengi wa namna yake hapa Tz.
Utategemea nini mkuu kwa wahanga wao?
 
Only kama mhusika anayaishi maisha yake kwa kutegemea kipato kitokanacho na prostitution.

Ni tofauti na nchi kama Zambia, Namibia, Ethopia, Burkina Faso, Madagascar, UK tupotoa sheria zetu ambapo prostitution ni legal, subject to exceptions.

EMT,

Mku, Hapa muhusika ni yupi prostitute au anayeendesha hiyo biashara, section 143 to 148 havizuii prostitution at individual level, inazua kuendesha brothels kama biashara

Tuangalie vizuri
 
Back
Top Bottom