Polisi waweka hadharani majina ya Machangudoa hatari

Polisi waweka hadharani majina ya Machangudoa hatari

[h=3]HAYA NDIYO MAJINA 15 YA WANAWAKE WA DODOMA HATARI SANA WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA UKAHABA, JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA[/h]


​
[TABLE="class: cf hX"]
[TR="class: hR"]
[TD="class: hU hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[TD="class: hV hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Na.Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha na biashara haramu ya kuuza miili yao kutoka mikoa mbalimbali nchini. Msako huo ulifanyika tarehe 05/02/2014 majira ya 21:00hrs katika mitaa ya uhindini na Air Port.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME - SACP amewataja watu hao kuwa ni:


1. VERONICA D/O JOEL mwenye miaka 23, Mnyakyusa mkazi wa Sai Mbeya.

2. ROSE D/O MICHAEL mwenye miaka 30, Mgogo, Mkazi wa Kikuyu Dodoma.

3. MARIAM D/O JORDAN mwenye miaka 26, Mhehe mkazi wa Tukuyu Mbeya.

4. REHEMA D/O RAMANDANI mwenye miaka 38, Mlugulu makazi wa Airport Morogoro.

5. JOYCE D/O MARTINE mwenye miaka 22, Mnyamwezi mkazi wa Chinangali West Dodoma.

6. FATIA D/O SARATIELI mwenye miaka 20, Mgogo mkazi wa Makanda Bahi Dodoma.

7. BOKE D/O CHACHA mwenye miaka 27, Mkurya mkazi wa Tarime Mara.

8. SWAUMU D/O BAKARI mwenye miaka 23, Mnyamwezi mkazi Chinangali Dodoma.

9. ROSS D/O MASAKI mwenye miaka 28, Mchaga mkazi wa Sanya juu Moshi.

10. SCOLASTIA D/O COSTANTINO mwenye miaka 22, Mnyakyusa mkazi wa Gongolamboto Dar es salaam.

11. HAPPY D/O JULIUS mwenye miaka 31, Mnyamwezi mkazi wa Urambo Tabora.

12. AISHA D/O HASSAN mwenye miaka 38, Mbulu mkazi wa Babati Manyara.

13. JULIANA D/O DOMINICK Mwenye miaka 31, Mnyakyusa, mkazi wa Airport Dodoma.

14. DATIVA D/O LUKWEMBE mwenye miaka 29, Mhaya mkazi wa Kiziba Bukoba Kagera.

15. DORIN D/O MASSAWE mwenye miaka 23, Mchaga mkazi wa Kiboshomaro Moshi.

Aidha Kamanda MISIME amesema katika msako huo watu wawili wanaume walikamatwa wakiwa na mirungi robo kilo katika mtaa wa barabara ya nane (8) Manispaa ya Dodoma ambao ni NASSOR S/O ALLY mwenye miaka 45, Mwarabu mkazi wa barabara ya kumi na AYUBU S/O TEPO mwenye miaka 40, Muarusha, Fundi cherehani mkazi wa Chamwino.

Pia huko katika Wilaya ya Kongwa kijiji cha Mlanje kata ya Matongoro Tarafa ya Zoisa alikamatwa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la SHEDRACK S/O MACHILE mwenye miaka 46, Mgogo, Mkulima akiwa na Lita 30 za pombe ya moshi akiziuza.

Kamanda MISIME amesema msako unaendelea na amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Po
 
Point of weekness,how dare are they?? Wameshindwa kukamata majambazi watoa Roho za watu,Leo mnatuletea list ya wafanyabiashara wenye Kasi mpya Na harii mpya????? daaah mmenihaibisha Sanaa ndugu zangu Askari,Misime Na Elimu yako yote pamoja Na kwenda UK kusomea,Leo kweli unaletaa wafanyabiashara? Anyway may be mseme mmewakamata hawana mashine za EFD
 
Nimekua najiuliza je prostitution ni kosa la jinai Tanzania? Kifungu gani kinakataza, anayejua atujuze

Only kama mhusika anayaishi maisha yake kwa kutegemea kipato kitokanacho na prostitution.

Ni tofauti na nchi kama Zambia, Namibia, Ethopia, Burkina Faso, Madagascar, UK tupotoa sheria zetu ambapo prostitution ni legal, subject to exceptions.
 
mbona ajataja na majina ya wateja wao maarufu!?

jima kapuyaka, madam malima . . . . .
endelezeni hiyo orodha, manake polish wamesahau ku-upload majina.
 
Naomba kufaham jeshi la police ukiwauliza bei ya gunia la mchele au mahindi hawajui ila gunia la bangi wanajua bei yake hivi hilo sokolao la bangi lipo wapi?
 
Sioni tatizo apo hao wadada wameona fursa ya bunge la Katiba wakaamua kuidaka na polisi kutoa majina yao ni kudhalilishana tuu na its useless bse am sure hawatatumia hayo majina kwenye iyo biashara. Ndo mgawanyo wa pato la bunge la CA toka kwa Mbunge guest tex changu chakula siku zaenda
 
Sasa wabunge mbona wapo kimya?hawawatetei wakati wanawaliwaza wawapo Dodoma?......
 
Huu ni uonevu na uvunjaji wa haki za binadamu. kwani waliwakuta kwenye tendo ? mbona wanaume wanaotembea usiku na kwenye pombe hawakamatwi. jana ilikua siku ya wanawake hili hawalikugusa kwanini

wee nawe kesho ndio siku ya wanawake sio jana.
 
Polisi nilidhani hiki kingekuwa kikosi cha mwisho
kututajiA baada ya kikosi cha majangiri,majambazi,wauza unga,then ndio mngemaliza na hawa.
 
]

Eti kamanda.... kamanda gani magari yanatekwa kila kukicha mpa madereva wanafunga njia. tembo wanateketea. madawa ya kulevya yanauzwa Dom kama pipi majambazi wanavunja majumba ya watu halafu wewe unajifanya NINJA kwa kuwakamata wanawake wasio hata na silaha. ndio upolisi wa kisasa. Ni kama mwana ndondi aliyepigwa na mwana masumbwi mwenzake halafu anakuja kumalizia hasira zake baada ya kichapo kwa binti yake wa kumzaa wa umri mdogo.
 
D/O maana yake daughter of yaani binti wa........
JESHI LETU LA KININJA BADO HALIJAONDOKANA NA IKOLONI WA KUANDIKA UBINI. KABILA NA UTOKAKO. karne hii YZ kuna haja ya kujua kabila la mytu kweli.?
POLISI WA DOM WANAJUA U NINJA NI KUKAMATA MADEM WASIO NA SILAHA. HEBU WAAMBIE KUNA JAMBAZI KADINDISHA BARABARANI UONE WATAKAVYO TOA VISINGIZIO
 
huyo mhaya katokea kijijini kwetu Kiziba. kajenga nyumba nzuri muleba. Sijui evidence ya polisi mahakamani itakuwa nini?
na wakishinda kesi tutawashauri kuungua file kwa DCI kudhalilishwa...kila polithi anawatolea mimacho...polisi wanaongoza kwa kuwaomba uroda, wakiwanyima huandamwa. mbona makosa ya jinai kama majambazi, watekaji, waua tembo, nk hamuwakamati???
 
kwani wewe hujui sera ya ccm?RUSHWA kesho wapo mtaani kama kawaida

Hawa wadada kesho wanatoka tu kwani hawana kosa. Jamii yetu na mfumo wetu wa uchumi ndio umewafikisha hapo. Unajua leo hii kupata nafasi ya upolisi . acha kazi nyingine upolisi si chini ya laki tano. udereva pale wizarani laki tatu. uhamiaji milioni. sijui kama jk anaijua hii
 
Msisahau pia kuwauliza wateja wao ni kina nani hapo Dodoma, na mkiipata hiyo list nayo mtuwekee hapa
 
Wewe ndo mbulula kwani kukamata kwa kuuza mwili ni unyanyasaji?au wewe ndo mteja na unaendekeza kuwanunua Kwa taarifa yako hata dada zako wanaweza kuingia wakiona unavyo watetea

Wewe ----- hao unaosema wamekamatwa kwa kuuza miili yao hao waliowauzia mbona hawakukamatwa? Hakuna kesi hapo kwani huwezi kuitwa unauza bila ya kuwa na mnunuzi!! Mwanamke kutembea usiku sio kosa kisheria. Mimi siwatetei makahaba kama kutakuwa na ushahidi wa kujitosheleza kuwa wanafanya biashara hiyo, lakini sio polisi kwa njaa zao kukurupuka na kuwakamata wanawake hovyo.
 
Back
Top Bottom