Nikosa kumhukumu mtu bila kufikishwa mahakamani. kwa nini polisi waseme hawa ni machangudoa wakati mahakama haijasema hivyo? wametumia vigezo gani kubaini kuwa ni machangudoa? Shame on you Tanzania Police, huu ni unyanyasaji wa kijinsia na usifumbuwe macho wanaharakati wa haki za binadamu naomba muingilie kati. huwezi kutaja jina la mtu hadharani ukisema ni changudoa wakati wewe sio mahakama this is a deformation of character and they deserve to claim compensations. I tend to believe that if not all of the woman mentioned are sex worker it is more likely that some of them actual refused to have sex with the police officers now police want to damage their reputation. Police wa bongo wamezidi uonezi na watu wanawafumbia macho. Majambazi wanateka magari kule singinda, majangili wanamaliza Tembo wetu na polisi wako busy kukanyanyasa dada zetu wanaita machangudoa bila kuhukumiwa mahamani. Chama cha msaada wa haki za binadamu na chama cha waandishi wa habari wanawake TAMWA naomba muingilie hili suala kati mukemee huu unyanyasaji. Mimi binafisi nakikemea kitendo hiki nasema SHAME ON YOU TANZANIA POLICE