Polisi waweka hadharani majina ya Machangudoa hatari

Polisi waweka hadharani majina ya Machangudoa hatari

Kituko cha mwaka machagudoa si wauza sembe meno ya tembo mafisandi nk wache kujidhalilisha
 
Hawa polisi hawana akili timamu; utawezaje kuwakamata hawa kina mama na kusema wanafanya biashara ya kuuza miili yao bila ya kuwakamata hao wanaonunua bidhaa hizo zinazouzwa? Kama kuna kitu kinauzwa ni lazima awepo mnunuzi ama sivyo hakuna biashara hapo!!!Wakamateni vigogo wa madawa ya kulevya waliopo hapo bungeni badala ya kuwanyanyasa hawa wanawake kijinsia.

Mfumo dume kazini...wala rushwa na watoa rushwa wote lao moja tu.
 
[h=3]HAYA NDIYO MAJINA 15 YA WANAWAKE WA DODOMA HATARI SANA WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA UKAHABA, JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA[/h]

​
[TABLE="class: cf hX"]
[TR="class: hR"]
[TD="class: hU hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[TD="class: hV hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Na.Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha na biashara haramu ya kuuza miili yao kutoka mikoa mbalimbali nchini. Msako huo ulifanyika tarehe 05/02/2014 majira ya 21:00hrs katika mitaa ya uhindini na Air Port.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME - SACP amewataja watu hao kuwa ni:

1. VERONICA D/O JOEL mwenye miaka 23, Mnyakyusa mkazi wa Sai Mbeya.

2. ROSE D/O MICHAEL mwenye miaka 30, Mgogo, Mkazi wa Kikuyu Dodoma.

3. MARIAM D/O JORDAN mwenye miaka 26, Mhehe mkazi wa Tukuyu Mbeya.

4. REHEMA D/O RAMANDANI mwenye miaka 38, Mlugulu makazi wa Airport Morogoro.

5. JOYCE D/O MARTINE mwenye miaka 22, Mnyamwezi mkazi wa Chinangali West Dodoma.

6. FATIA D/O SARATIELI mwenye miaka 20, Mgogo mkazi wa Makanda Bahi Dodoma.

7. BOKE D/O CHACHA mwenye miaka 27, Mkurya mkazi wa Tarime Mara.

8. SWAUMU D/O BAKARI mwenye miaka 23, Mnyamwezi mkazi Chinangali Dodoma.

9. ROSS D/O MASAKI mwenye miaka 28, Mchaga mkazi wa Sanya juu Moshi.

10. SCOLASTIA D/O COSTANTINO mwenye miaka 22, Mnyakyusa mkazi wa Gongolamboto Dar es salaam.

11. HAPPY D/O JULIUS mwenye miaka 31, Mnyamwezi mkazi wa Urambo Tabora.

12. AISHA D/O HASSAN mwenye miaka 38, Mbulu mkazi wa Babati Manyara.

13. JULIANA D/O DOMINICK Mwenye miaka 31, Mnyakyusa, mkazi wa Airport Dodoma.

14. DATIVA D/O LUKWEMBE mwenye miaka 29, Mhaya mkazi wa Kiziba Bukoba Kagera.

15. DORIN D/O MASSAWE mwenye miaka 23, Mchaga mkazi wa Kiboshomaro Moshi.

Aidha Kamanda MISIME amesema katika msako huo watu wawili wanaume walikamatwa wakiwa na mirungi robo kilo katika mtaa wa barabara ya nane (8) Manispaa ya Dodoma ambao ni NASSOR S/O ALLY mwenye miaka 45, Mwarabu mkazi wa barabara ya kumi na AYUBU S/O TEPO mwenye miaka 40, Muarusha, Fundi cherehani mkazi wa Chamwino.

Pia huko katika Wilaya ya Kongwa kijiji cha Mlanje kata ya Matongoro Tarafa ya Zoisa alikamatwa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la SHEDRACK S/O MACHILE mwenye miaka 46, Mgogo, Mkulima akiwa na Lita 30 za pombe ya moshi akiziuza.

Kamanda MISIME amesema msako unaendelea na amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi.

Tunataka majina ya walioficha mabillions Uswiss...vinginevyo hawa ma CD wanadhalilishwa...bila kuwa mulika wanunuzi wa bidhaa hiyo muhimu polisi hawataweza...wamuulize KENYELA...mpaka ametoka kinondoni bila kupunguza hata kidogo tatizo hili.ukitaka kukubaliana na mimi nenda Corner Bar Sinza
 
HAYA NDIYO MAJINA 15 YA WANAWAKE HATARI SANA WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA UKAHABA

  1. VERONICA D/O JOEL mwenye miaka 23, Mnyakyusa mkazi wa Sai Mbeya.
  2. ROSE D/O MICHAEL mwenye miaka 30, Mgogo, Mkazi wa Kikuyu Dodoma.
  3. JOYCE D/O MARTINE mwenye miaka 22, Mnyamwezi mkazi wa Chinangali West Dodoma.
  4. BOKE D/O CHACHA mwenye miaka 27, Mkurya mkazi wa Tarime Mara.
  5. ROSS D/O MASAKI mwenye miaka 28, Mchaga mkazi wa Sanya juu Moshi.
  6. SCOLASTIA D/O COSTANTINO mwenye miaka 22, Mnyakyusa mkazi wa Gongolamboto Dar es salaam.
  7. HAPPY D/O JULIUS mwenye miaka 31, Mnyamwezi mkazi wa Urambo Tabora.
  8. JULIANA D/O DOMINICK Mwenye miaka 31, Mnyakyusa, mkazi wa Airport Dodoma.
  9. DATIVA D/O LUKWEMBE mwenye miaka 29, Mhaya mkazi wa Kiziba Bukoba Kagera.
  10. DORIN D/O MASSAWE mwenye miaka 23, Mchaga mkazi wa Kiboshomaro Moshi.
  11. MARIAM D/O JORDAN mwenye miaka 26, Mhehe mkazi wa Tukuyu Mbeya
  12. REHEMA D/O RAMANDANI mwenye miaka 38, Mlugulu makazi wa Airport Morogoro.
  13. FATIA D/O SARATIELI mwenye miaka 20, Mgogo mkazi wa Makanda Bahi Dodoma.
  14. SWAUMU D/O BAKARI mwenye miaka 23, Mnyamwezi mkazi Chinangali Dodoma.
  15. AISHA D/O HASSAN mwenye miaka 38, Mbulu mkazi wa Babati Manyara.

Tukiichukulia hii kama rough sampling ya kina nani ndio wanaojishughulisha sana na biashara hii,
  1. Tukianzia na samling ya dini, kwa mujibu wa majina, watu kumi wa mwanzo ni wa dini fulani, na watu watano wa mwisho ni dini nyingine, hii ni theluthi mbili kwa theluthi moja, inamaanisha kwa kila makahaba wawili wa dini fulani, kuna kahaba mmoja wa dini nyingine!.
  2. Tukija sampling ya kabila, wanaoongoza ni Wanyamwezi na Wanyakyusa wako watatu watatu, wakifuatiwa na Wagogo, na Wachagga wako wawili wawili, waliobakia wote ni mmoja mmoja, hivyo hii ndio sampling ya makabila waachiaji kibiashara na kuna makabili hawajihusishi kabisa na biashara hii chafu wakiwemo lile kabila kubwa kuliko yote Tanzania la "Chapa Ng'ombe!.
  3. Tukija sampling ya mikoa watokao, yaani supply regions, wanaongozwa na Dodoma iliyotoa watano, ikifuatiwa na Moshi na Mbeya ilyotoa wawili wawili. Mikoa mingine yote imetoa mmoja mmoja. Hii inamaanisha mkoa unaongoza kwa supply ni Dodoma may be due to due to proximity!, na sii kweli kuwa lile kabila walilokuwa wanasingiziwa kwa miaka mingi kuwa wao ndio vinara wa biashara hii!.
  4. Tukija sampling ya umri, umri unaoongoza kwa biashara hii ni 23 wako watatu, wakifuatiwa na 22 na 38 na 31 wako wawili wawili, imri mingine yote wako mmoja mmoja!. Biashara huanza miaka 20-38!.

Kiukweli polisi nao wanawaonea tuu hawa wadada!, mkusanyiko wa watu 600 hapo Dodoma, unamaanisha kuna wanawake 300 na wanaume 300, kati ya hao wanaume 300, tupige hesabu ya juu kabisa kuwa 50 watakuwa ni wazee wameisha jichokea!, 50 wengine watakuwa na uwezo wa kujiletea wenzi wao Dodoma au kujipatia wenzi kihuduma miongoni mwa wale wajumbe 300 wa kike!, hivyo tunabakiwa na wahitaji 200 wanaohitaji "huduma hiyo muhimu!" ya kibinaadamu daily!. Kati ya hao 200 tuhesabu 100 ndio wenye uwezo wa kupata watu decent toka working class na academic community kama UDOM, CBE, Chuo cha Mipango, na Hombolo, hivyo soko la uhitaji wa huduma za kibinaadamu daily, lina wahitaji 100 ambayo hawawezi kutoshelezwa na wahudumu na wale high class wanaojiuzia mahotelini, hivyo watawadondokea hawa hawa wa kuokoteza!.

Kama ili "huduma ile" ni moja ya haki za binaadamu, then hao wahudumu wa huduma hizo, wanastahili kutendewa haki!, huduma hiyo ile legalized na kuwa regulated, watu wafanye biashara halali na kodi walipe!.

Pasco.
 
Tanzania hakuna kifungu cha sheria kinachokataza biashara hii kongwe, hata igp hawezi kukutajia, atatoa blah blah tu!

The English Model - All is permitted, except that which is forbidden.

The German Model - All is forbidden, except that which is permitted.

The Russian Model - All is forbidden, including that which is permitted.

The French Model - All is permitted, including that which is forbidden.

TAKE NOTE
 
Tulipofikia sidhani kama kuna haja yakusumbua watu, hebu waacheni kila mtu afe nalwake. Hivi ushoga unaruhusiwa tena kisheria halafu muwakataze wakina Dada kukutana na wanaume????? Mnatakaje sasa nyie polisi mbona hatuwasomi????
 
Hayo ndiyo maisha bora yaliyoahidiwa na Chama Chakavu cha CCM, ukichagua chama cha kipumbafu hata maisha yatakuwa ya kipumbafupumbaffu

Kidumu chama chetu
 
HAYA NDIYO MAJINA 15 YA WANAWAKE WA DODOMA HATARI SANA WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA UKAHABA, JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA

​
[TABLE="class: cf hX"]
[TR="class: hR"]
[TD="class: hU hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[TD="class: hV hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Na.Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha na biashara haramu ya kuuza miili yao kutoka mikoa mbalimbali nchini. Msako huo ulifanyika tarehe 05/02/2014 majira ya 21:00hrs katika mitaa ya uhindini na Air Port.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME - SACP amewataja watu hao kuwa ni:

1. VERONICA D/O JOEL mwenye miaka 23, Mnyakyusa mkazi wa Sai Mbeya.

2. ROSE D/O MICHAEL mwenye miaka 30, Mgogo, Mkazi wa Kikuyu Dodoma.

3. MARIAM D/O JORDAN mwenye miaka 26, Mhehe mkazi wa Tukuyu Mbeya.

4. REHEMA D/O RAMANDANI mwenye miaka 38, Mlugulu makazi wa Airport Morogoro.

5. JOYCE D/O MARTINE mwenye miaka 22, Mnyamwezi mkazi wa Chinangali West Dodoma.

6. FATIA D/O SARATIELI mwenye miaka 20, Mgogo mkazi wa Makanda Bahi Dodoma.

7. BOKE D/O CHACHA mwenye miaka 27, Mkurya mkazi wa Tarime Mara.

8. SWAUMU D/O BAKARI mwenye miaka 23, Mnyamwezi mkazi Chinangali Dodoma.

9. ROSS D/O MASAKI mwenye miaka 28, Mchaga mkazi wa Sanya juu Moshi.

10. SCOLASTIA D/O COSTANTINO mwenye miaka 22, Mnyakyusa mkazi wa Gongolamboto Dar es salaam.

11. HAPPY D/O JULIUS mwenye miaka 31, Mnyamwezi mkazi wa Urambo Tabora.

12. AISHA D/O HASSAN mwenye miaka 38, Mbulu mkazi wa Babati Manyara.

13. JULIANA D/O DOMINICK Mwenye miaka 31, Mnyakyusa, mkazi wa Airport Dodoma.

14. DATIVA D/O LUKWEMBE mwenye miaka 29, Mhaya mkazi wa Kiziba Bukoba Kagera.

15. DORIN D/O MASSAWE mwenye miaka 23, Mchaga mkazi wa Kiboshomaro Moshi.

Aidha Kamanda MISIME amesema katika msako huo watu wawili wanaume walikamatwa wakiwa na mirungi robo kilo katika mtaa wa barabara ya nane (8) Manispaa ya Dodoma ambao ni NASSOR S/O ALLY mwenye miaka 45, Mwarabu mkazi wa barabara ya kumi na AYUBU S/O TEPO mwenye miaka 40, Muarusha, Fundi cherehani mkazi wa Chamwino.

Pia huko katika Wilaya ya Kongwa kijiji cha Mlanje kata ya Matongoro Tarafa ya Zoisa alikamatwa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la SHEDRACK S/O MACHILE mwenye miaka 46, Mgogo, Mkulima akiwa na Lita 30 za pombe ya moshi akiziuza.

Kamanda MISIME amesema msako unaendelea na amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi.

Bujibuji hawa ni hatari kuliko wanaofanya biashara ya madawa ya kulevya? Hao wanaatarisha uchumi wa nchi kama wanaofanya biashara ya meno ya tembo?
 
Last edited by a moderator:
So if the Penal code does not mention prostitution then we can not say that prostitution is not an offence in Tanzania

One may ask whether the Penal Code is the only law which prescribes all criminal offences in Tanzania. It would also be interesting to hear from those who assert that prostitution is illegal in Tanzania, but the problem is that such law is not rigorously enforced. Which law are they referring to here?

"Catherine Magige (Special Seats - CCM) has asked the government to table in the House a Bill to fight prostitution in the country. In response, Justice and Constitutional Affairs Deputy Minister Angela Kairuki said the government would bring to Parliament a bill to that effect if an evaluation showed some weaknesses in the existing legal framework to fight prostitution. He said currently there were clauses in the penal code which criminalized the act of a woman getting income from 'selling' her body. She said a punishment for the offence was imprisonment of not more than two years or a fine or both." http://allafrica.com/stories/201305150861.html

When will this evaluation be conducted in order to identify "some weaknesses in the existing legal framework to fight prostitution"?
What are those "clauses in the penal code which criminalized the act of a woman getting income from 'selling' her body"? The problem might not even be the lack or weaknesses in the existing law, but enforcement. Ni sawa na sheria dhidi ya rushwa. Zipo lakini haziwi enforced.

Halafu how to prove that one is prostituting? Suppose the "Pretty Woman" was doing it in Tanzania, how would the prosecution prove that she was prostituting? Maana hata hao "machangudoa hatari" waliowekwa hadharani na polisi, kila wakifanya a "sexual activity" does not necessarily mean that they prostituting.

Kwa mfano, tukiangalia elements of the "actual offence of prostitution" and not "the other prostitution related offenses" the accused must have willfully engaged in sexual activity. Ni rahisi ku-prove the sexual activity was done willfully, but how will prosecution prove that the sexual activity was prostitution and not otherwise?

I am aware that jurisidictions nyingine zinaongeza element nyingine kuwa ili kuwe na prostitution lazima kuwe na monetary consideration, though does not necessary need to be in the form of money. But it may still be difficult to prove about this and probably ndiyo maana hapa Bongo wengi wanaishia kushtakiwa kwa kosa la uzururaji, if the the offence of prostitution exists anyway.
 
Back
Top Bottom