Mhhh ukristo unakwenda wapi? Yaani watu 13/15 ni wakristo!!!! ee Mungu turehemu maadili yameporomoka jamani.....
Tumuombe Mungu aturehemu..
Si sawa,si sawa.Police inawaonea hawa wadada.Wawakamate kwanza wanunuzi wa hao akina dada.Alafu nashangaa sana police kukamata hao wadada lakini hawawakamati matapeli wanaotapeli watu kila kukicha.Waanze kwanza na matapeli then waje kwa wanao wanunua hao wadada.Na nyie wadada achen hiyo Biashara ,achen uvivu tafuten njia nyingine ya kupata kipato.Shame on you!
Nimekua najiuliza je prostitution ni kosa la jinai Tanzania? Kifungu gani kinakataza, anayejua atujuze
Wataweka vipi wakati hata mjengoni wapo tele!Mbona ya mashoga hawayaweki? Wanatuzingua hawa.
Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
Wataweka vipi wakati hata mjengoni wapo tele!
Wewe umaskini hauna dini,
Ukahaba, kama upo ni shauri ya umaskini. Lalamika kuwa kwa nini hao wadada wanaitwa hivyo na wanafanya hivyo kama kweli, kuliko kuangalia dini zao na mwakabila yao
EMT,
Mku, Hapa muhusika ni yupi prostitute au anayeendesha hiyo biashara, section 143 to 148 havizuii prostitution at individual level, inazua kuendesha brothels kama biashara
Tuangalie vizuri
The Penal Code does not mention prostitution.
Does this then mean that prostitution is not illegal in Tanzania?