Polisi waweka hadharani majina ya Machangudoa hatari

Polisi waweka hadharani majina ya Machangudoa hatari

ha ha ha haaaa ndio maana posho ya 300,000 haitoshi.......!?
ngoja nami nikatafute wabunge wa ke..
 
Huu ni uonevu na uvunjaji wa haki za binadamu. kwani waliwakuta kwenye tendo ? mbona wanaume wanaotembea usiku na kwenye pombe hawakamatwi. jana ilikua siku ya wanawake hili hawalikugusa kwanini
 
mbona ajataja na majina ya wateja wao maarufu!?
 
Hawa polisi hawana akili timamu; utawezaje kuwakamata hawa kina mama na kusema wanafanya biashara ya kuuza miili yao bila ya kuwakamata hao wanaonunua bidhaa hizo zinazouzwa? Kama kuna kitu kinauzwa ni lazima awepo mnunuzi ama sivyo hakuna biashara hapo!!!Wakamateni vigogo wa madawa ya kulevya waliopo hapo bungeni badala ya kuwanyanyasa hawa wanawake kijinsia.

Wewe ndo mbulula kwani kukamata kwa kuuza mwili ni unyanyasaji?au wewe ndo mteja na unaendekeza kuwanunua Kwa taarifa yako hata dada zako wanaweza kuingia wakiona unavyo watetea
 
HAYA NDIYO MAJINA 15 YA WANAWAKE WA DODOMA HATARI SANA WANAOJIHUSISHA NA BIASHARA YA UKAHABA, JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA




​
[TABLE="class: cf hX"]
[TR="class: hR"]
[TD="class: hU hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[TD="class: hV hM, bgcolor: #DDDDDD"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Na.Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limeendelea kufanya msako katika maeneo mbalimbali na kufanikiwa kuwakamata wanawake wapatao 15 wanaojihusisha na biashara haramu ya kuuza miili yao kutoka mikoa mbalimbali nchini. Msako huo ulifanyika tarehe 05/02/2014 majira ya 21:00hrs katika mitaa ya uhindini na Air Port.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi DAVID MISIME - SACP amewataja watu hao kuwa ni:


1. VERONICA D/O JOEL mwenye miaka 23, Mnyakyusa mkazi wa Sai Mbeya.

2. ROSE D/O MICHAEL mwenye miaka 30, Mgogo, Mkazi wa Kikuyu Dodoma.

3. MARIAM D/O JORDAN mwenye miaka 26, Mhehe mkazi wa Tukuyu Mbeya.

4. REHEMA D/O RAMANDANI mwenye miaka 38, Mlugulu makazi wa Airport Morogoro.

5. JOYCE D/O MARTINE mwenye miaka 22, Mnyamwezi mkazi wa Chinangali West Dodoma.

6. FATIA D/O SARATIELI mwenye miaka 20, Mgogo mkazi wa Makanda Bahi Dodoma.

7. BOKE D/O CHACHA mwenye miaka 27, Mkurya mkazi wa Tarime Mara.

8. SWAUMU D/O BAKARI mwenye miaka 23, Mnyamwezi mkazi Chinangali Dodoma.

9. ROSS D/O MASAKI mwenye miaka 28, Mchaga mkazi wa Sanya juu Moshi.

10. SCOLASTIA D/O COSTANTINO mwenye miaka 22, Mnyakyusa mkazi wa Gongolamboto Dar es salaam.

11. HAPPY D/O JULIUS mwenye miaka 31, Mnyamwezi mkazi wa Urambo Tabora.

12. AISHA D/O HASSAN mwenye miaka 38, Mbulu mkazi wa Babati Manyara.

13. JULIANA D/O DOMINICK Mwenye miaka 31, Mnyakyusa, mkazi wa Airport Dodoma.

14. DATIVA D/O LUKWEMBE mwenye miaka 29, Mhaya mkazi wa Kiziba Bukoba Kagera.

15. DORIN D/O MASSAWE mwenye miaka 23, Mchaga mkazi wa Kiboshomaro Moshi.

Aidha Kamanda MISIME amesema katika msako huo watu wawili wanaume walikamatwa wakiwa na mirungi robo kilo katika mtaa wa barabara ya nane (8) Manispaa ya Dodoma ambao ni NASSOR S/O ALLY mwenye miaka 45, Mwarabu mkazi wa barabara ya kumi na AYUBU S/O TEPO mwenye miaka 40, Muarusha, Fundi cherehani mkazi wa Chamwino.

Pia huko katika Wilaya ya Kongwa kijiji cha Mlanje kata ya Matongoro Tarafa ya Zoisa alikamatwa mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la SHEDRACK S/O MACHILE mwenye miaka 46, Mgogo, Mkulima akiwa na Lita 30 za pombe ya moshi akiziuza.

Kamanda MISIME amesema msako unaendelea na amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi.


naona wanyakyusa, wanyamwezi naa wagogo wanakuja kwa kasi sana katika biashara hii ya wahaya
 
Safi sana hiyo, next time aweke na picha zao wana maaruni hao.

Kwani wamekukosea nini, be fair! Haki yako ipi wameizuia? We should not be driven by religion, keep aside religion, then judge them by their human rights perspective!
 
Huu ni uonevu na uvunjaji wa haki za binadamu. kwani waliwakuta kwenye tendo ? mbona wanaume wanaotembea usiku na kwenye pombe hawakamatwi. jana ilikua siku ya wanawake hili hawalikugusa kwanini

Watafute wakili watamshinda ushahidi gani kuwa ni malaya, uonevu tu. Wanashindwa majambazi wanawaonea wanawake na Joyce kiria ananyamaza
 
Napita tu kwa sababu naona wapenda papuchi wamecharuka kweeli.
 
kuna hili moja limevaa nguo ya yanga hapa mbele linamiguu safi sana. hakika ningekua Dom uislamu ungenishinda. hili ulipate umekula nyama choma na ugali na nusu konyagi. haluuuu inakesjhea dani kwa dani
 
Hii nchi kuna vitu vinastaajabisha sana!..tunapenda sana kudili na matokeo pasipo kutafuta chanzo! Kwa majina kama hayo ya dada zetu inakua ni rahisi kuyaweka hadharani..lakini wauza sembe?
 
Hovyo kabisa,ila sababu waheshimika wapo kila mtu mwenye madaraka mji huo hujitutumua kuanzia wanasiasa mpaka watendaji!!!!

Saa hizi ukienda huko utakuta hadi mchanga barabarani umetolewa!!!!

Ni mji wa kipindi cha bunge so ni kawaida sana hata street lights watazikarabati!!!!Mashimo barabarani yatazibwa!!!!
 
Wafuate na majina ya wauza unga aliyonayo JK ili watutajie sbb jk anaogopa kuyataja, ila wao wanaonekana majasiri sana.
 
Hayo majina na makabila vyote ni urongo kwani hakuna mwenye kitambulisho kwa ajili ya verification.
Ingekua ya kweli tungeona fulani mpnz wa waziri fulani
 
Back
Top Bottom