Kawaida BAK sioo mzungumzajiii kivileeeee Ukiona ivi Fumba Macho...We are not in peace any more God forbid.Mkuu Samaritan hakuna aliye salama, labda kama maovu yote tunayoyaona nchini mwetu tuyafumbie macho na kuamua kukaa kimya. Kitu ambacho si sawa. Kwanini Watanzania tukae kimya kama tunaona nchi yetu inaharibika? Kwanini tukae kimya kama haturidhiki na uongozi wa nchi na maamuzi yao mbali mbali ambayo yanatuathiri Watanzania? Je, hao wanaotaka kutunyamazisha tusiwakosoe na kukemea maovu mbali mbali nchini wao wana hati miliki ya Tanzania? Jibu ni HAPANA Tanzania ni yetu sote.
Rudia tena???????Hivi kwa haya yote kwa nini Mkuu wa nchi amekaa kimya...
Kawaida BAK sioo mzungumzajiii kivileeeee Ukiona ivi Fumba Macho...We are not in peace any more God forbid.
Kuishi kama shetani haitawezekana.Magufuli yenyewe ndio "mabadiliko". Wewe jitayarishe tu kuishi kama mashetani na kukaza mkanda.
Matukio ya police dhidi ya Demokrasia katika utawala huu inabidi yaandaliwe Uzi maalumu na uwe unafanyiwa "update" kwa kadili yanavyozidi kujitokeza.
Mimi nilifikiri njia rahisi ya kuongoza ni kuwapa watu enough space ya kuondoa stress zao zote
maandamano,mikutano....we unawaachia tu
JK alikuwa anaita 'upepo tu utapiita'....
Sasa nashangaa Magufuli halijui hili
Wao wanaona haiwahusu, lkn kumbe ndugu zao wana umiaHawajitambua hawa kama wanatumika katika ubakaji wa demokrasi nchini.