Polisi wamsaka ...

Hivi kuna mtu ambaye bado anabisha kuwa Magufuli hana tendencies za udikteta?
Hii swali yako mtupie MMM.
Inawezekana ni sehemu ya "mabadiliko tuyatakayo."

Au wadanganyika tumeacha kumwombea Baba J.? Bila maombi, mashetani na mapepo yanamletea ukungu na mawingu ya fikra na maamuzi. Tusiache kumwombea, mkiacha kumwombea mtaishi kama mashetani.

Mlifikiri Mkulu anatania aliposema anahitaji kuombewa?
 
Reactions: BAK
Nianze kwa kumuomba GADO samahani kwa kuongezea maneno kidogo kwenye hii cartoon yake...​

Hii ndiyo Tanzania, majipu yanachekelea, vipele vikitumbuliwa!​

Utafika wakati Magufuli atashindwa kuzuia mabadiliko. Nchi ngumu sana hii.
Magufuli yenyewe ndio "mabadiliko". Wewe jitayarishe tu kuishi kama mashetani na kukaza mkanda.
 
Utafika wakati Magufuli atashindwa kuzuia mabadiliko. Nchi ngumu sana hii.
Magufuli , Tulia na Intelijensia ya polisi ndio kiboko na mbogo wa demokrasia. Hii ni nchi ya Domo-krasi tu na kauli mbiu za ze utamu kwa ajili ya kutongozea wadanganyika.
 
Gari litakalopita katika barabara za mwendo kasi, police kamateni chomoeni matairi mkauze
Polis sasa wanawinda matairi ya Magari ya Magari yanayopita kwenye barabara ya mwendo kasi .
 
anaogopa msihoji Juu ya kivuko cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 pia zile bilion 251 zilizopotea Wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi hewa .
 
Ni kwa sababu ni mtu asiyekubali kukosolewa.
Yeye anaamini kwamba anayoyafanya hayana sababu ya kukosolewa.

Hivi kwa haya yote kwa nini Mkuu wa nchi amekaa kimya...
 
Haya yote Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kayaweka kwenye ripoti yake ambayo sasa inapigwa vumbi ndani ya Ikulu na hakuna dalili kama itajadiliwa Bungeni.

anaogopa msihoji Juu ya kivuko cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 pia zile bilion 251 zilizopotea Wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi hewa .
 
Mkuu kwa askari ni kutekeleza amri kwanza alafu kuuliza baadae
 
Reactions: BAK
Kwa maana yao hata kwenye kampeni watazuia wapinzani wasiongee? Watanzania tumeshawajua hao serikali kuwa wana madhaifu wanaficha ndiyo maana leo hii bunge linaendeshwa kibubu
 
anaogopa msihoji Juu ya kivuko cha mwaka 1978 kununuliwa Kwa bilion 8 pia zile bilion 251 zilizopotea Wizara ya Ujenzi Kwa kuwalipa makandarasi hewa .
Mradi tunayo kwenye makaratasi hayaozi hayo ni muda tu
 
Reactions: BAK
Hivi kuna mtu ambaye bado anabisha kuwa Magufuli hana tendencies za udikteta?
Sio tendency magufuli anaiga kuwa dikteta kwa tanzania inaonekana wazi amekua dikteta nyumbani kwake sasa kapewa a bigger house so alienda rwanda kufanya orientation ili aje kutekeleza atawa diktate his house na polisi na makonda,nape,january,majaliwa na midoli kadhaa kwenye serikali yake but surely he wount do this for long that is a fact
 
Reactions: BAK
Ni kwa sababu ni mtu asiyekubali kukosolewa.
Yeye anaamini kwamba anayoyafanya hayana sababu ya kukosolewa.
Burundi wanasema rais ndiye mungu wa pili hapa duniani
 
Reactions: BAK
Haya yote Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali kayaweka kwenye ripoti yake ambayo sasa inapigwa vumbi ndani ya Ikulu na hakuna dalili kama itajadiliwa Bungeni.
Hiyo basi tena mkuu
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…