Polisi wamsaka Gwajima....Polisi wamuhoji Zitto, Polisi wazuia maandamano Pemba, Polisi watangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima, Polisi wazingira hoteli ambayo ACT wangelifanyia mkutano wa bajeti, Polisi wamkamata kijana aliyemuita rais "Bwege", Polisi wawatawanya wanafunzi wa UDOM waliohudhuria mahafali ya CHASO katika hoteli moja huko Dodoma, Polisi wazuia msafara wa Maalim Seif, Polisi.....Polisi....Polisi!!!!!!!????????
Ukiona kila taarifa ya habari inaanza na Polisi, jua tayari tumeingia kwenye...........
Kwa hisani ya Mtatiro
Uhuru wa kuwasiliana na kuongea ni msingi wa demokrasia. NMkuu Samaritan hakuna aliye salama, labda kama maovu yote unayoyaona nchini mwetu uyafumbie macho na kuamua kukaa kimya. Kitu ambacho si sawa. Kwanini Watanzania tukae kimya kama tunaona nchi yetu inaharibika? Kwanini tukae kimya kama haturidhiki na uongozi wa nchi na maamuzi yao mbali mbali ambayo yanatuathiri Watanzania? Je, hao wanaotaka kutunyamazisha tusiwakosoe na kukemea maovu mbali mbali nchini wao wana hati miliki ya Tanzania? Jibu ni HAPANA Tanzania ni yetu sote.
Where we dare talk openly. Whatever happened only God knows. We dont even talk leave alone openlyHilo nalijua Mkuu, uzi huu hauna maisha marefu utapotezwa muda si mrefu ujao. JF ya siku hizi si JF ile ya zamani. Wakiufuta basi nitaamua kupumzika maana haina maana ya kuja hapa jamvini kujadili kuhusu mustakabali wa nchi yetu huku tukiwa hatuna uhuru wa kufanya hivyo.
Halafu, mtu kama unajiamini utendaji wako unapendwa ya nini yote haya?
POLISI WAKO BIZEEEEE
Ha ha haa refer Polepole baada ya kulambishwa kimya kama hayupo vile.Mwanakijiji anayo conflict of interest kwenye utawala huu , baada ya muda kidogo mtafahamu .
Halafu, mtu kama unajiamini utendaji wako unapendwa ya nini yote haya?
Hao ni sehemu ya wateule, hawatakiwi kuguswa maana ni haki yao kuishi kama malaika.....Kubaka demokrasi nchini, ila mafisadi wa Lugumi bilioni 37, MV Dar bilioni 8, Escrow bilioni 321, wakwapuzi wa UDA na wakwapuzi wa Pride, Wakwapuzi wa nyumba za Serikali, wahamiaji haramu, wezi, majangili wa Tembo etc, wapokea rushwa za mabilioni akina Tibaijuka na Chenge na wa mamilioni Ngeleja na kundi lake POLISI haina muda nao hawa!!!
Acha kutishia MTU mzima nyau hizo siasa maji takaPolisi wamsaka Gwajima....Polisi wamuhoji Zitto, Polisi wazuia maandamano Pemba, Polisi watangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima, Polisi wazingira hoteli ambayo ACT wangelifanyia mkutano wa bajeti, Polisi wamkamata kijana aliyemuita rais "Bwege", Polisi wawatawanya wanafunzi wa UDOM waliohudhuria mahafali ya CHASO katika hoteli moja huko Dodoma, Polisi wazuia msafara wa Maalim Seif, Polisi.....Polisi....Polisi!!!!!!!????????
Ukiona kila taarifa ya habari inaanza na Polisi, jua tayari tumeingia kwenye...........
Kwa hisani ya Mtatiro
Hata zile bilion 1.7 za ccm alizotafuna January peke yake polis hawathubutu kumuuliza pia mwakyembe kala pesa akanunua mabehewa Feki polis wanamwogopa Kama walivyokaa Kiimya juu ya JESIKA kuingia UDOM na Div 4 lakini wenye Div 3 wamefukuzwa na mabomu.....Kubaka demokrasi nchini, ila mafisadi wa Lugumi bilioni 37, MV Dar bilioni 8, Escrow bilioni 321, wakwapuzi wa UDA na wakwapuzi wa Pride, Wakwapuzi wa nyumba za Serikali, wahamiaji haramu, wezi, majangili wa Tembo etc, wapokea rushwa za mabilioni akina Tibaijuka na Chenge na wa mamilioni Ngeleja na kundi lake POLISI haina muda nao hawa!!!
Polisi wamsaka Gwajima....Polisi wamuhoji Zitto, Polisi wazuia maandamano Pemba, Polisi watangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima, Polisi wazingira hoteli ambayo ACT wangelifanyia mkutano wa bajeti, Polisi wamkamata kijana aliyemuita rais "Bwege", Polisi wawatawanya wanafunzi wa UDOM waliohudhuria mahafali ya CHASO katika hoteli moja huko Dodoma, Polisi wazuia msafara wa Maalim Seif, Polisi.....Polisi....Polisi!!!!!!!????????
Ukiona kila taarifa ya habari inaanza na Polisi, jua tayari tumeingia kwenye...........
Kwa hisani ya Mtatiro
Aaaah mkuuu nimefurahi sana kwa hii picha
Naona baada ya kumkabidhi kofia ya kigoda hapo ndiyo tutamfahamu vizuri, mwanakijijiMwanakijiji anayo conflict of interest kwenye utawala huu , baada ya muda kidogo mtafahamu .
Polisi watakomesha VIBAKA wa aina yoyote watakaojaribu kupimana UBAVU na serikali halali iliyochaguliwa na wananchi... shabeshiii!Polisi wamsaka Gwajima....Polisi wamuhoji Zitto, Polisi wazuia maandamano Pemba, Polisi watangaza kuzuia mikutano ya kisiasa nchi nzima, Polisi wazingira hoteli ambayo ACT wangelifanyia mkutano wa bajeti, Polisi wamkamata kijana aliyemuita rais "Bwege", Polisi wawatawanya wanafunzi wa UDOM waliohudhuria mahafali ya CHASO katika hoteli moja huko Dodoma, Polisi wazuia msafara wa Maalim Seif, Polisi.....Polisi....Polisi!!!!!!!????????
Ukiona kila taarifa ya habari inaanza na Polisi, jua tayari tumeingia kwenye...........
Kwa hisani ya Mtatiro
Hahaha hahaha hahaha dah umenichekesha sana mkuu Jf rahaaaaMKUU ANGALIA WATAZINGIRA MAKAZI YAKO MUDA SI MREFU.