Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Pacha wangu naona Hawa Lumumba walitutabiria uchawi sisi wawiliKuamini kuwa hawa jamaa wako seriuos katika vita ya rushwa na ufisadi ni kujidanganya tu.
Mbaya zaidi walio wengi Tanzania wanaaminishwa serikali hii ni safiTISS, Maafisa wa Polisi, baadhi ya maofisa wa JWTZ, TRA, Migration etc wapo katika ULAJI mkubwa sana katika maeneo ya bandari na Viwanja vya Ndege , hivyo kwa taarifa zile zilizogusa maeneo nyeti ya upigaji dili zimegusa hadi kwenye mifupa yao na kushinikiza haya wanayoshinikiza.
No excuse!
Na wengi wa waTanzania 'tumeaminishwa' mara nyingi hadi tumekuwa 'mambumbumbu.'Mbaya zaidi walio wengi Tanzania wanaaminishwa serikali hii ni safi
Msimamo wake ni kuipoteza JFAise; sasa msimamo wa malaika mkuu ju ya hili jambo ukoje!?
ni Mwananchi mwenyewe CCM unaisingiziaAdui namba MOJA wa maendeleo ya Mtanzania ni CCM na mfumo wake wa utawala
Wewe chanzo chako ni kipi kinacho kanusha hizi taarifa..Acha porojo ili kulinda tonge lakoNadhani vijana wa bavicha wameanza conspiracy theories za kitoto. Kutunga na kujifanya ujuaji juaji wa kijinga.
Wewe umejuaje kuwa waliuliza hizo taarifa? Umeambiwa na Max?
Je source ya taarifa zako ni wapi? Umezipataje? Au wewe ni Max?
Tunataka uhuru wa habari lakini sio uongo na uzushi taarifa zisizo na source, lengo la taarifa hizi ni kuleta taharuki ili watu waanze kulaumu wengine.
Acha utoto. Unatakiwa ukue uhuru wa kuongea sio kila ujinga utoao.
Nadhani vijana wa bavicha wameanza conspiracy theories za kitoto. Kutunga na kujifanya ujuaji juaji wa kijinga.