Polisi walichokitaka kwa Maxence Melo wa JamiiForums ni hiki hapa

Ccm ni kansa
Ni upofu kuamini kuwa CCM ikitoka madarakani na kuingia chama cha upinzani ndio utakuwa mwarobaini wa matatizo yetu kama nchi. Matatizo ya taifa hili ni zaidi ya CCM, Kunahitajika government restructure kiasi kwamba tuwe na oversight agencies zenye nguvu, tuwe na balance of power iliyokaa vizuri, mihimili isiyoingiliana n.k. Mm naamini hata chama pinzani kikatawala nchi hii kwa mfumo huu wa muundo wa Serikali tulionao na sheria zilizopo bado kitalaumiwa kama wanavolaumiwa CCM.

Tangu siku Mbowe alivobadili gia angani na kutuletea mtu alimhubiri kuwa ni Fisadi la nchi kwa miaka nane awe mgombea uraisi, niliacha kuviamini vyama vya siasa kabisa kabisa. Yote yanoyohubiriwa majukwaani na wanasiasa ni porojo tu za kutaka kushika dola, tiba ni kuwa na muundo wa Serikali ulio na Ufanisi na wenye tija na kisha tukawa na watendaji makini na wenye tija!
 
Vita dhidi ya rushwa, ufisadi, ubadhirifu na matumizi mabaya ya mamlaka inataka nguvu na mchango wa watu wengi kutoka kila eneo la maisha. Ilani ya ACT - WAZALENDO inamtaka mtuhumiwa wa rushwa kuchukua jukumu la kukanusha madai dhidi yake. Tulifikiri njia hii itawapa watuhumiwa fursa ya kutoa ushahidi mahsusi bila kumrudishia tuhuma anayeziibua. Sheria itusaidie kubainisha ukweli huu ili usimamie haki inayohitajika kuponya Taifa letu.
 
Adui mkubwa namba moja kwetu n wasomi waliosomeshwa na serikali zaman
mkuu hapa kisu kwenye mfupa kabisa, kwa hali ilivyo ni bora kuchukua mababu zetu huko vijijin wakaja kua viongoz yaan watu wana title za u dr nk lakin wamekua wapuuz kupita maelezo hadi unajiuliza jinsi wanavyojitoa ufaham ni bure kweli au maslai binafsi?
 
Nadhani vijana wa bavicha wameanza conspiracy theories za kitoto. Kutunga na kujifanya ujuaji juaji wa kijinga.

Wewe umejuaje kuwa waliuliza hizo taarifa? Umeambiwa na Max?
Je source ya taarifa zako ni wapi? Umezipataje? Au wewe ni Max?
Tunataka uhuru wa habari lakini sio uongo na uzushi taarifa zisizo na source, lengo la taarifa hizi ni kuleta taharuki ili watu waanze kulaumu wengine.

Acha utoto. Unatakiwa ukue uhuru wa kuongea sio kila ujinga utoao.
Ccm ccm ccm
 
Na wewe umejuaje kama huu ni uzushi? na taarifa sahihi ni zipi?
 
IGP ajiuzulu Mara Moja, kama kweli ndio haya yaliyotakiwa na hao eti wapelelezi wa Polisi, Basi IGP ajiuzulu au Mh. Rais amtumbue tu...

Ngoja nimtumie Rais Message aingie asome huu Uzi, kumbe Polisi ni hovyo hivi? sasa kazi yao ni ipi? kimsaidia Mh. Rais? au kusaidia Mafisadi?

ngoja uone
 
inamaana wameshindwa kutumia web inteligence kupata data walizokuwa wanahitaji? haina umuhimu wa kumkamata mmiliki wa jamii forum kwani data wanazozitafuta ni rahisi mno kupatikana just tu kwa kuanalyse username used to post the thread,assocaited email adress, pictures used in the thread and geolocation of the post creator...ilibidi watafute data kimya kimya bila kudisturbe mtu yeyote
 
Ha ha haaaa! Ama kweli we ni Computer "Kiddy".
 
22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom