Polisi walichokitaka kwa Maxence Melo wa JamiiForums ni hiki hapa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG-20161221-WA0021.jpg
 
TISS, Maafisa wa Polisi, baadhi ya maofisa wa JWTZ, TRA, Migration etc wapo katika ULAJI mkubwa sana katika maeneo ya bandari na Viwanja vya Ndege , hivyo kwa taarifa zile zilizogusa maeneo nyeti ya upigaji dili zimegusa hadi kwenye mifupa yao na kushinikiza haya wanayoshinikiza.

No excuse!
 
Mbaya zaidi walio wengi Tanzania wanaaminishwa serikali hii ni safi
 
Nadhani vijana wa bavicha wameanza conspiracy theories za kitoto. Kutunga na kujifanya ujuaji juaji wa kijinga.

Wewe umejuaje kuwa waliuliza hizo taarifa? Umeambiwa na Max?
Je source ya taarifa zako ni wapi? Umezipataje? Au wewe ni Max?
Tunataka uhuru wa habari lakini sio uongo na uzushi taarifa zisizo na source, lengo la taarifa hizi ni kuleta taharuki ili watu waanze kulaumu wengine.

Acha utoto. Unatakiwa ukue uhuru wa kuongea sio kila ujinga utoao.
 
At the end of a day, kesi itapelekwa mahakamani. "Facts" zitaeleza ukweli kama ni hayo au kinyume chake. kinachofanywa sasa ni hisia, dhania zenye kuongeza sababu za mateso kwa Max. Haraka ya nini kutaka kuona makalio ya kuku hali upepo unavuma
 
Nadhani vijana wa bavicha wameanza conspiracy theories za kitoto. Kutunga na kujifanya ujuaji juaji wa kijinga.

Wewe umejuaje kuwa waliuliza hizo taarifa? Umeambiwa na Max?
Je source ya taarifa zako ni wapi? Umezipataje? Au wewe ni Max?
Tunataka uhuru wa habari lakini sio uongo na uzushi taarifa zisizo na source, lengo la taarifa hizi ni kuleta taharuki ili watu waanze kulaumu wengine.

Acha utoto. Unatakiwa ukue uhuru wa kuongea sio kila ujinga utoao.
Wewe chanzo chako ni kipi kinacho kanusha hizi taarifa..Acha porojo ili kulinda tonge lako
 
Pangua hoja kwa kutumia hoja yenye vielelezo, hayo maswali hata housegirl anaweza kuyahoji.
Nadhani vijana wa bavicha wameanza conspiracy theories za kitoto. Kutunga na kujifanya ujuaji juaji wa kijinga.

Wewe umejuaje kuwa waliuliza hizo taarifa? Umeambiwa na Max?
Je source ya taarifa zako ni wapi? Umezipataje? Au wewe ni Max?
Tunataka uhuru wa habari lakini sio uongo na uzushi taarifa zisizo na source, lengo la taarifa hizi ni kuleta taharuki ili watu waanze kulaumu wengine.

Acha utoto. Unatakiwa ukue uhuru wa kuongea sio kila ujinga utoao.
 
Nadhani vijana wa bavicha wameanza conspiracy theories za kitoto. Kutunga na kujifanya ujuaji juaji wa kijinga.

Wewe umejuaje kuwa waliuliza hizo taarifa? Umeambiwa na Max?
Je source ya taarifa zako ni wapi? Umezipataje? Au wewe ni Max?
Tunataka uhuru wa habari lakini sio uongo na uzushi taarifa zisizo na source, lengo la taarifa hizi ni kuleta taharuki ili watu waanze kulaumu wengine.

Acha utoto. Unatakiwa ukue uhuru wa kuongea sio kila ujinga utoao.

Mbona kama unapaniki kijana? Kama taarifa ni ya uongo hebu tuletee yako yenye ukweli!
 
Back
Top Bottom