Polisi wakamata kichwa cha binadamu

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Polisi wanaolinda benki ya crdb kahama wamemkamata kijana mmoja akiwa na kichwa cha binadamu alichokuwa amekihifadhi ktk mfuko wa nailoni. Kijana huyo alifika katika viunga vya benki hiyo na kuanza kumtafuta mteja wake waliyokubariana kukutana benki ili wakamilishe mauziano ya bidhaa hiyo.polisi walimtilia shaka baada ya kuona anawasiwasi mwingi.alipo hojiwa alisema anatokea mwamala nzega. Jamani dunia mbona inakuwa na matukio tata namna hiyo?
 
ndugu wacha hicho wamekamata mtoto akila kichwa muhimbili na wakamwambia ajaribu akala mpaka leo hii UPELELEZI AUJAKAMILIKA...HAO WASANII WATAISHIA KUMCHEZEA NA KUMLA HELA YAKE
 
Polisi mjini kahama wamemkata kijana mmoja na kichwa binadamu kijana huyo alishtukiwa na polisi baada ya kumuona ana analanda landa katika eneo la benki ya crdb.baada kuhojiwa amesema alikuwa anamtafuta mteja wake waliekubariana kukutana benki ili wauziane kichwa hicho.mpaka sasa ninavyo andika habari hii mtuhumiwa pamoja na bidhaa yake amefikishwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi.
 
ndugu wacha hicho wamekamata mtoto akila kichwa muhimbili na wakamwambia ajaribu akala mpaka leo hii UPELELEZI AUJAKAMILIKA...HAO WASANII WATAISHIA KUMCHEZEA NA KUMLA HELA YAKE

pdidy hivi unadhani matataizo hayo yote chanzo ni umaskini? Au ujinga?
 
Nimekubali Tanzania inaongoza Africa kwa UCHAWI.

Hivi nani alituambia kuwa utajiri unapatikana kwa nguvu za giza?
 
Duuuuh! Kahama noma,si juzi majambazi yameua askari wawili? ngoja tusubiri kesho tuone nini kitatokea.
 
Duuuuh! Kahama noma,si juzi majambazi yameua askari wawili? ngoja tusubiri kesho tuone nini kitatokea.

sio kesho hivi sasa tunavyojadiliana hapa tayari majambazi waliyo uwa polisi kule kagongwa kahama wamekamatwa. Tafuta kuna topic ipo
 
Ni kama kesi ya yule kijana na mama yake? Yule kijana aliyekamatwa na kichwa pale muhumbili? Ishasahaulika hii, tupo na breaking news nyingine kabisaaaa!
 
Polisi mjini kahama wamemkata kijana mmoja na kichwa binadamu kijana huyo alishtukiwa na polisi baada ya kumuona ana analanda landa katika eneo la benki ya crdb.baada kuhojiwa amesema alikuwa anamtafuta mteja wake waliekubariana kukutana benki ili wauziane kichwa hicho.mpaka sasa ninavyo andika habari hii mtuhumiwa pamoja na bidhaa yake amefikishwa kituo cha polisi kwa mahojiano zaidi.

Uchaguzi mkuu umekaribia
 
ndugu wacha hicho wamekamata mtoto akila kichwa muhimbili na wakamwambia ajaribu akala mpaka leo hii UPELELEZI AUJAKAMILIKA...HAO WASANII WATAISHIA KUMCHEZEA NA KUMLA HELA YAKE

unanikumbusha Ramadhan a.k.a Rama. Ndo alimla mtoto wa Tabata kwa bibi,akakamatwa muhimbili akiendelea kunyonya damu. Pia akasema eti ile ajali ya jangwan dar iliyoikumba daladala na watu kufa kiajabu ajabu na akadai aliitega yeye kwani alikuwa na zamu ya kukusanya debe mbili za damu! Nlishangaa eti polisi wanampeleka mahakaman na ushaidi haukamiliki na kuhairishwa! Ajab ajabu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom