Polisi wafuata ushauri wa Kinana bila shuruti

Na ajali za barabarani zikiongezeka kwa fujo za barabarani msilaumu. Viongozi wanaosafiri na ulinzi barabarani au wanasafiri kwa ndege hawataathirika. Ila watu wa kawaida wanaosafiri na mabasi na magari binafsi ndiyo watapata shida.
Tembea uone unadhani na nchi nyingine ni hivyohivyo? Mbona hatusikii ajali za kila siku.
 
Hizo teknolojia zingetumika kuwavalisha video matrafiki ili wakiomba rushwa wakamatwe. Kusema tuondea matrafiki barabarani halafu tuwapige picha madereva vichaa utaongeza ajali tuu.
What is the function of a tachograph?

Image result for what does a tachograph do
A tachograph is a device that registers driving and rest periods, the speed and the distance traveled in a truck or inland waterway vessel. It is used in road transport to check whether drivers comply with the rules regarding driving and rest periods.
 
Yani unazunguuka ili askari bado aendelee kuwepo barabarani,
Tembea uone first world askari hana lake barabarani na mambo yanakwenda
 
Haupo serious , mi nataka evidence we unaleta habari za mitandaoni,
Dar mwanza ni km 1100 , ukiendesha 200 km/h unatumia masaa sita , kwa mujibu wako ,
👍🙏
 
Hizo teknolojia zingetumika kuwavalisha video matrafiki ili wakiomba rushwa wakamatwe. Kusema tuondea matrafiki barabarani halafu tuwapige picha madereva vichaa utaongeza ajali tuu.
What is the function of a tachograph?

Image result for what does a tachograph do
A tachograph is a device that registers driving and rest periods, the speed and the distance traveled in a truck or inland waterway vessel. It is used in road transport to check whether drivers comply with the rules regarding driving and rest periods.
 
What is the function of a tachograph?

Image result for what does a tachograph do
A tachograph is a device that registers driving and rest periods, the speed and the distance traveled in a truck or inland waterway vessel. It is used in road transport to check whether drivers comply with the rules regarding driving and rest periods.
Huku ulikompeleka ni mbali sana , , hicho kifaa huku kwetu kinafanya jukumu la latra na maafisa wake wote wa barabarani, wakiwemo.polisi
 
Haupo serious , mi nataka evidence we unaleta habari za mitandaoni,
Dar mwanza ni km 1100 , ukiendesha 200 km/h unatumia masaa sita , kwa mujibu wako ,

Nje ya hoja hiyo. Kwenda spidi kwa ujumla ndiyo hatari. Iwe 200 km/h, iwe hata chini ya 200 km/hr ni hatari.
 
Mi naona waondolewe wote,wabaki stendi za mabasi,tuone kama kuna shida yoyote au mnasemaje wadau wa barabarani?
Halafu tukifanya hivyo,mwakani mwezi kama huu,turudi tutoe mrejesho wa kuishi barabarani bila trafiki,endapo tutakua hai baada ya MBANGA za maana kunako rodi.
Wamesema wapunguzwe mbona unakuza mambo, wewe unaona ni sawa kila baada ya km 10 unasimamishwa na polisi
 
Nje ya hoja hiyo. Kwenda spidi kwa ujumla ndiyo hatari. Iwe 200 km/h, iwe hata chini ya 200 km/hr ni hatari.
Mkuu speed ni neno pana , unaposema speed kubwa lazima useme ni ipi,
 
Wamesema wapunguzwe mbona unakuza mambo, wewe unaona ni sawa kila baada ya km 10 unasimamishwa na polisi
Mkuu bora Km 10, Morogoro wapo kila baada ya Km 1 au 2
  • Ukitoka Msamvu Terminal kwenda Dodoma unawakuta Tanesco, Islam, Viwandani, Njiapanda ya Veta, Mizani ya zamani, Mkundi, Makunganya, Sokoine 1 na 2, Dakawa, Dumila darajani na Polisi penyewe
  • Msamvu kwenda Dar unawakuta mita 200 toka terminal, Oilcom, Jordan University, Junior Seminary, TAFORI, Kingolwira, Mkambarani, Mikese, Maseyu na Bwawani
  • Msamvu to Iringa, Njiapanda ya Sua wanapaita Mafiga, Mindu, Njiapanda ya Kilosa, Melela 1 na 2, Mangae 1 na 2, Doma, Mikumi mbugani na mjini hadi Igagala
Humo kote wako watatu+, si bora wasambazwe kulinda usalama wa raia na mali zao mitaani
 
Wamesema wapunguzwe mbona unakuza mambo, wewe unaona ni sawa kila baada ya km 10 unasimamishwa na polisi

Kama unasimamishwa bila sababu ni kosa. Warekodi na simu uwashitaki. Lakini kulalamika kama unaenda zaidi ya speed unasimamishwa kosa ni lako.
 
Swala la askari kuwa wengi barabarani ni la ndani huko sii rahisi kulitekeleza kwa maneno,
Awamu ya tano askari hawa walitumika kama chanzo cha mapato , na walipewa vimashine vya fines vingi , ili kutekeleza lengo , hivi vimashine hadi leo bado vinanunuliwa vipya , sasa hivi kuna zile zenye fingerprint scanner .
Ngoma bado mbichi
Wapunguzwe barabarani, badala ya kila km 10 kuwepo polisi basi walau wawe kila baada ya km 50 wakae na machine zao hizo, barabara si ni hiyohiyo ??
 
Labda nikuulize wewe spidi kubwa ni ipi kwako?
Inategemea na njia na miundombinu, , chalinze hafi mlandizi 70km /h unaeza ita speed kubwa , dodoma kondoa 150km/ h unaeza ita speed ndogo
 
Kama unasimamishwa bila sababu ni kosa. Warekodi na simu uwashitaki. Lakini kulalamika kama unaenda zaidi ya speed unasimamishwa kosa ni lako.
Watajuaje kama taili zimeisha bika kukusimamisha? Watajuaje kama umejaza sana bila kukusimamisha.
 
Inategemea na njia na miundombinu, , chalinze hafi mlandizi 70km /h unaeza ita speed kubwa , dodoma kondoa 150km/ h unaeza ita speed ndogo
Kwa hiyo wewe unajiamulia tuu spidi unayotaka? Ungekuwa peke yako barabarani ningekwambia kanyaga tuu. Lakini barabarani kuna wengi.
 
Wapunguzwe barabarani, badala ya kila km 10 kuwepo polisi basi walau wawe kila baada ya km 50 wakae na machine zao hizo, barabara si ni hiyohiyo ??
Shida kubwa naiona kwenye hizo mashine , aliyenunua hizo mashine kwa wingi ule ndiye aliyeaababisha wingi huu wa askari ,
Kama umegundua makundi yote hayo ya askari hukosi mashine mbili au tatu kwa kila kundi., kutoa askati hawa barabarani maaana yake kutasababisha jeshi lipoteze mapato pia , .
 
Back
Top Bottom