Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,068
- 2,457
Wabadilike watumie technology ya satelite kudhibiti speed badala ya hiyo stop stop kila kituo
Hata Marekani ukiendesha spidi unapigwa stop. Mtu anaendesha kama kichaa barabarani halafu unasubiri satelite impige picha? Huoni unahatarisha maisha ya watu?