Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

Mangula alipinga Membe kufukuzwa ccm akaishia kupewa sumu. Ni nani aliyempa sumu Mangula?
 
Mangula alipinga Membe kufukuzwa ccm akaishia kupewa sumu. Ni nani aliyempa sumu Mangula?

Mie nilisikia kinyume chake! Kwamba Mangula ndiye aliyekomaa Membe atimuliwe toka CCM....!!
Hata Polisi Kamanda golikipa Mambosasa alipodai Jeshi la Polisi linafanya Uchunguzi mlengwa/walengwa walikuwa watetezi wa Membe.....lakini mpaka leo kimyaaaaaa!!!
Hii Ina maana kwamva WAHUSIKA WALIKUWA NDANI YA NEC-CCM hivo waliamua kumalizana ndani kwa ndani Vinginevo wangeliumbuka... !!!
Hakika CCM= CHAMA CHA MAJAMBAZI.
 
Wewe na huyo Mzee wako wote ni MAZWAZWA tu. Hivi Kolimba alipewa sumu na nani? Mangula kapewa sumu na nani? Na Waziri wa habari Mwakyembe ni nani aliyempa sumu? Tia akili kichwani wewe!

Mjinga ni wewe unayezusha. Nilikwonyesha mzee comment yako akacheka tu. Hivi mnapata faida ipi mnapozusha
 
Back
Top Bottom