Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,858
- 7,847
Mpaka nimefikia kuandika bosi ujue inatisha kuna kipindi alikuwa akimpiga akiwa mjamzito.Taja mambo anayofanyiwa ili tujue pa kuanzia
Acha tu na haya mambo ya mapenziusishangae polisi wakienda mke akasema " wala sijawahi pigwa!! watu wana wivu tuu na PENZI letu"...ila sio jambo jema hata kidogo.....
Mambo ya ndoa mwanangu! Ila umefanya la maana. Kama mhanga atakataa msaada, yatakayomkuta asijutie.
MpigieHivi hapo alipo kafungwa na minyororo nauliza tu
Duuuu, ila unajua kuna wanawake wanakera sana, sisemi anafanya vyema, ila kuna wenye jeuri hadi kichwa kinakuwaka moto usijue nini cha kufanya, unajikuta umeshamzibua tu. Ila kwa wanaume, mara nyingi ni ulevi, anyway, kesi hii ichunguzwe.Mpaka nimefikia kuandika bosi ujue inatisha.kuna kipindi alikuwa akimpiga akiwa mjamzito.
Namba nimeweka Niko safariNaona umeandika kwa haraka sana
Kwa namna kipigo kinavyoshuka kuna siku atamfia mkononi.Duuuu, ila unajua kuna wanawake wanakera sana, sisemi anafanya vyema, ila kuna wenye jeuri hadi kichwa kinakuwaka moto usijue nini cha kufanya, unajikuta umeshamzibua tu. Ila kwa wanaume, mara nyingi ni ulevi, anyway, kesi hii ichunguzwe.
Hiki ni chanzo muhimu cha taarifa.Unaelewa kuwa una wajibu wa kuripoti uhalifu polisi?
Hujajibu swali langu!Hiki ni chanzo muhimu cha taarifa
Inatia huruma kwa maisha anayoishi huyu mamaSaafi sana mleta mada!! Tunahitaji watu kama wewe ili kupunguza unyanyasaji wa wanawake na watoto Tanzania
Msharipoti kwa mjumbe wa nyumba 10Hiki ni chanzo muhimu cha taarifa
Ujibiwe swali ili iweje?Namba ziko hapo muulize muhuska kwa haendi polisiHujajibu swali langu!
Mimi nimefikiria kuokoa misha ya huyu mama,Namba ziko hapo mpigieMsharipoti kwa mjumbe wa nyumba 10
Ova