Polisi, msaidieni mama huyu anafanyiwa ukatili na mumewe

Iringaaaaaa hebu mwambie huyo mama jumamosi aje hapa Savanna Pub (NEW PUB) jengo la Motto family, CRDB ya zamani nione namsaidiaje!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
usishangae polisi wakienda mke akasema " wala sijawahi pigwa!! watu wana wivu tuu na PENZI letu"...ila sio jambo jema hata kidogo.....
FB_IMG_1594092863088.jpeg
 
Jeshi la polisi mkoa wa Iringa tunaomba mumuokoe huyu mama hapa Mkimbizi, mama huyu anateswa sana na mume wake kwa vipigo; mbaya zaidi huyu mama anaogopa kushitaki kulingana na vitisho anavyopewa. Majirani tumemsihi sana huyu baba lakini hashauriki wala hamuelewi mtu.

Watetezi wa wanawake mwanamke mwenzenu anavunda kwa vipigo msaidieni.

Huyu baba ni mkatili sana kwa kweli kwa familia yake.

Namba ya huyo mama ni 0676361*** mtafuteni muone

Mbaya zaidi huyu baba anasema haogopi chochote.

OCD tafadhali mtafuteni mtu huyu muone wenyewe.

Namba za huyo mume wake ni 0753248****
Sasa mkuu kwani dawati la Jinsia hulijui!? Si uende tu report hapo
 
Kama ni kweli, ni sahihi kabisa, ila kama ni uongo, ana kesi ya kujibu
Kwa nini iwe sahihi kuweka namba ya simu ya mtu bila ridhaa yake hapa JF?

Na unajuaje hiyo namba ni namba ya huyo mama kweli?

Mtu akianzisha uzi na kuweka namba yako ya simu hapa ukasumbuliwa na wamachinga wote wa JF utaona sawa?

We unajua kwamba, hata kama ni kweli, sasa hivi namba imewekwa hapa inawezekana kuna kichaa anampigia huyo mama anataka kutokea hapo hapo, na hilo linaweza kusababisha kipigo zaidi?

Kama mtu anataka polisi wafuatilie, kwa nini asitoe ripoti polisi, au hata kama anataka kuwapa namba polisi, kwa nini asiwape polisi kwa faragha?
 
Jeshi la polisi mkoa wa Iringa tunaomba mumuokoe huyu mama hapa Mkimbizi, mama huyu anateswa sana na mume wake kwa vipigo; mbaya zaidi huyu mama anaogopa kushitaki kulingana na vitisho anavyopewa. Majirani tumemsihi sana huyu baba lakini hashauriki wala hamuelewi mtu.

Watetezi wa wanawake mwanamke mwenzenu anavunda kwa vipigo msaidieni.

Huyu baba ni mkatili sana kwa kweli kwa familia yake.

Namba ya huyo mama ni 0676361*** mtafuteni muone

Mbaya zaidi huyu baba anasema haogopi chochote.

OCD tafadhali mtafuteni mtu huyu muone wenyewe.

Namba za huyo mume wake ni 0753248****
Nipo Mtwivila hapa, ebu nipe namba ya mhanga pm.
 
Haya mambo ya familia ni magumu sana kama mlalamikaji mwenyewe hajaenda kulalamika hua ni ngumu sana.

Nafikiri mtoa mada ni vema wewe na mjumbe wa nyumba kumi mwende mkatoe taarifa polisi juu ya uwalifu huo, kwani mnaogopa nini, nyie majirani ndiyo wa kumsaidia.
 
Duuuu, ila unajua kuna wanawake wanakera sana, sisemi anafanya vyema, ila kuna wenye jeuri hadi kichwa kinakuwaka moto usijue nini cha kufanya, unajikuta umeshamzibua tu. Ila kwa wanaume, mara nyingi ni ulevi, anyway, kesi hii ichunguzwe
Mtu anakukera si uachane naye
 
Jaman Kwan Hana kwao au akienda kwao wanamfukuza arudi kwa mume ama yeye anapenda kuvumilia akiogopa kuchekwa na jamii kisa usingle mother?
Mume wake ni mpumbavu, suluhisho la ndoa sio kipigo. Mwanamke ni mjinga zaidi, starehe ya ndoa nyumba ikiwa imejawa na furaha,ana vumilia kipigo?!

Mwanaume mpumbavu hawezi kubadilika, nje ya ndoa yenye migogoro maisha ni mazuri zaidi.
 
Tuanzie hapa kwanza,huyo mama mwenyewe anayepata kipigo ameshawahi kwenda kushataki popote akakosa msaada?je hajui wapi anapaswa kwenda kushtaki ili anusuru uhai wake?mi nadhani inawezekana kama alivyosema hapo juu nosspass ,anaweza kuja kuwakana kuwa hapati kipigo wala msishangae...
 
Mpigie mumewe usikie alivyo mtata
Mume wake ni mpumbavu, suluhisho la ndoa sio kipigo. Mwanamke ni mjinga zaidi, starehe ya ndoa nyumba ikiwa imejawa na furaha,ana vumilia kipigo?!

Mwanaume mpumbavu hawezi kubadilika, nje ya ndoa yenye migogoro maisha ni mazuri zaidi.
 
Tuanzie hapa kwanza,huyo mama mwenyewe anayepata kipigo ameshawahi kwenda kushataki popote akakosa msaada?je hajui wapi anapaswa kwenda kushtaki ili anusuru uhai wake?mi nadhani inawezekana kama alivyosema hapo juu@nosspass anaweza kuja kuwakana kuwa hapati kipigo wala msishangae...
Mpigie
 
Haya mambo ya familia ni magumu sana kama mlalamikaji mwenyewe hajaenda kulalamika hua ni ngumu sana.

Nafikiri mtoa mada ni vema wewe na mjumbe wa nyumba kumi mwende mkatoe taarifa polisi juu ya uwalifu huo, kwani mnaogopa nini, nyie majirani ndiyo wa kumsaidia.
Huyu baba mkorofi,mpigie
 
Tunakushukuru umechukua angalau hatua hii ,kuliko ambao wameona lakini wamekaa tu siku mama wa watu akiuliwa ndo waanze kusema.
Vipigo vinaua,,
 
Tuanzie hapa kwanza,huyo mama mwenyewe anayepata kipigo ameshawahi kwenda kushataki popote akakosa msaada?je hajui wapi anapaswa kwenda kushtaki ili anusuru uhai wake?mi nadhani inawezekana kama alivyosema hapo juu nosspass ,anaweza kuja kuwakana kuwa hapati kipigo wala msishangae...
Ni kweli kuna akina mama hadi umauti unamkuta kwa kipigo lakini anakuwa hajawai enda kushtaki popote. Lakini kama jamii ,,mama huyo anahitaji msaada wa kujitambua ili apiganie haki zake. Kama uko jirani unaweza msaidia hata kwa kumlazimisha - hii inategemea na moyo wako wa kusaidia ulivyo.
 
Back
Top Bottom