Polisi, msaidieni mama huyu anafanyiwa ukatili na mumewe

Jeshi la polisi mkoa wa Iringa tunaomba mumuokoe huyu mama hapa Mkimbizi, mama huyu anateswa sana na mume wake kwa vipigo; mbaya zaidi huyu mama anaogopa kushitaki kulingana na vitisho anavyopewa. Majirani tumemsihi sana huyu baba lakini hashauriki wala hamuelewi mtu.

Watetezi wa wanawake mwanamke mwenzenu anavunda kwa vipigo msaidieni.

Huyu baba ni mkatili sana kwa kweli kwa familia yake.

Namba ya huyo mama ni 0676361*** mtafuteni muone

Mbaya zaidi huyu baba anasema haogopi chochote.

OCD tafadhali mtafuteni mtu huyu muone wenyewe.

Namba za huyo mume wake ni 0753248****
Mtoa taarifa kama unakimbizwa iringa ipi wilaya gani?kijiji gani??namba imeishia kati anasaidiwaje toa maelezo ya kina mtuhumiwa anaitwa nani??yupo wilaya gani?kijiji gani?
 
Huyo mama haoni kama kuna shida pahala hata kama ni mapenzi,hayo si mapenzi ni uovu wa hali ya juu na unyanyasaji wa kijinsia....ila kama karidhia acha apelekewe Moto.
 
Kwa nini iwe sahihi kuweka namba ya simu ya mtu bila ridhaa yake hapa JF?

Na unajuaje hiyo namba ni namba ya huyo mama kweli?

Mtu akianzisha uzi na kuweka namba yako ya simu hapa ukasumbuliwa na wamachinga wote wa JF utaona sawa?

We unajua kwamba, hata kama ni kweli, sasa hivi namba imewekwa hapa inawezekana kuna kichaa anampigia huyo mama anataka kutokea hapo hapo, na hilo linaweza kusababisha kipigo zaidi?

Kama mtu anataka polisi wafuatilie, kwa nini asitoe ripoti polisi, au hata kama anatakkuwapa namba polisi, kwa nini asiwape polisi kwa faragha?
Hiyo sio shida toa siluhisho!
 
Ila kuna Mavi-Jana mapumbavu hii dunia! Na mimi niko nahangaika na likijana hapa yaaji linanikera kama nini! Limebakia kurukaruka na michepuko wakati wife wenyewe yuko bomba hatari, ipo siku litakuja kunyang'anywa! Nimeliambia siku yakilifika lisinitafute, nyoko kabisa!!
 
Usishangae polisi wakienda mke akasema " wala sijawahi pigwa!! watu wana wivu tuu na PENZI letu", ila sio jambo jema hata kidogo.
Hii ndo tabia mbaya kuna siku Milan yangu alimpiga mkewe akavimba shavu acha tu anaulizwa anasema nyiki walining'ata jana
 
TUngekuwa na watu kama wewe 200000 tu nchi hii, ukatili wa kijinsia ungekuwa historia. Hongera sana mkuu
Angetoa namba ya hyo baba ili taasisi husika ziweze kumpa taarifa kuwa wanamuhitaji kwa mahojiano ili akapewe onyo huko hili si swala za mzaha kama ni kweli linatokea tafadhali mtoa post unaweza kwenda hata wewe mwnyw ukaripoti polisi Serikali yetu wote hii chukua hatua tafadhali
 
Back
Top Bottom