Polisi, msaidieni mama huyu anafanyiwa ukatili na mumewe

Mpaka nimefikia kuandika bosi ujue inatisha.kuna kipindi alikuwa akimpiga akiwa mjamzito.
Duuuu, ila unajua kuna wanawake wanakera sana, sisemi anafanya vyema, ila kuna wenye jeuri hadi kichwa kinakuwaka moto usijue nini cha kufanya, unajikuta umeshamzibua tu. Ila kwa wanaume, mara nyingi ni ulevi, anyway, kesi hii ichunguzwe.
 
Jaman Kwan Hana kwao au akienda kwao wanamfukuza arudi kwa mume ama yeye anapenda kuvumilia akiogopa kuchekwa na jamii kisa usingle mother?
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom