Polisi mmoja Canada amnunulia mwizi nguo

Polisi mmoja Canada amnunulia mwizi nguo

Nyie mnaosema angekua bongo ingekuaje?
Hivi nyie mnawajua wezi wa bongo?

Hachelewi kusema mchongo alipanga pamoja na polisi[emoji23]

sent from Sokoro nkorambokande
Bongo sasa hiv angekuwa anapewa adhabu ya kukalia chupa na kipigo juu
 
Jamni mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Ni mara ngapi wananchi eti wenye hasira wanampiga mwizi alieyeba Tsh elfu Kumi ( sishabikii wizi hata hivyo) na polisi ndio huwaokoa?!?!?!/ Mara ngapi?!?!?! Hivyo tujianzie na sisi kwanza kabla ya kunyooshea watu wengine vidole! Sisis waTanzania wananchi wa kawaida tungefanyaje yule mwizi angeshikwa na mwenye duka?

wananchi wangemrekodi video na kusizambaza kwenye watsapp,
polisi wangemuua.
 
Kazi ya polisi ni kulinda usalama na mali zake. Hiyo ndiyo dfn ya wenzetu kuhusu polisi.
Bara giza.. Kazi ya Polisi ni kunyanyasa raia na kuogopwa. Ndiyo maana polisi na raia ni adui.
Wenzetu wanajua maisha ni nn na siyo huku bara giza. Kiongoz anataka aongoze mpaka afie kweny madaraka
Kama wa nchi ya viwanda.
 
Poa kaka najua mara nyingi huwa tunachanganya lakini ndo walewale tu hata hivyo
Umejijibu mwenyewe ndio wale wale tu, ni kwa sababu 'ulaya' ilisimama hapo kama first world country (ndio kiswahili chetu kwa mataifa ya magharibi yaliyoendelea). [HASHTAG]#Babati[/HASHTAG] sijaona kama kuna utetezi hapo.
 
Tuliza mzuka,
ULAYA ni ULAYA, CANADA sio ULAYA, niliposema ni walewale( ili apokee marekebisho yangu in a positive way ),nilimaanisha Asili ya wengi wao ni WAFARANSA na WAINGEREZA japo kuna mchanganyiko wa watu wengi.

Niliyemkosoa mwenyewe kanielewa na kakubali wewe ndiye unayesema kuwa 'ULAYA' ilisimama kama 'FIRST WORLD COUNTRY'.

Hicho ni kiswahili CHAKO usiseme CHETU
 
Whatever...
 
Back
Top Bottom