Polisi mmoja Canada amnunulia mwizi nguo

Polisi mmoja Canada amnunulia mwizi nguo

Dah,polisi amefanya uungwana uliotukuka.Ingekuwa Bongo???
 
[HASHTAG]#AmplifayaUPDATES[/HASHTAG] Polisi mmoja Canada amnunulia mwizi nguo alizokuwa ameziiba dukani, aliamua kuiba ili aweze kuzivaa kwa ajili ya usaili


Sipati picha ingekuwa Bongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Don't put all egg on one Basket
Naona alimsikiliza kwanza. Maana huku kwetu wanavyopenda kutumia mabavu ni shida sana.
 
Naona alimsikiliza kwanza. Maana huku kwetu wanavyopenda kutumia mabavu ni shida sana.
Sidhani huku bongo kama angeweza kutembea huyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Don't put all egg on one Basket
 
Back
Top Bottom