Polisi mmoja Canada amnunulia mwizi nguo

Polisi mmoja Canada amnunulia mwizi nguo

ni kweli polisi wamekula kiapo cha kulinda na kusaidia raia,hata hapa Africa tunao polisi kama hawa,polisi wa Namibia,botswana ni bora mno,rumande unapelekwa kwa sababu maalum,na kama hawawezi kukupandisha mahakamani baada ya 48hrs wanakupa dhamana au they lets u free.haki za binadamu zinazingatiwa na kumbuka innocent until proved guilty by court of law.
 
[HASHTAG]#AmplifayaUPDATES[/HASHTAG] Polisi mmoja Canada amnunulia mwizi nguo alizokuwa ameziiba dukani, aliamua kuiba ili aweze kuzivaa kwa ajili ya usaili


Sipati picha ingekuwa Bongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Don't put all egg on one Basket


Pamoja na makinikia yote wanayozoa huku bado wana viini vya wizi
 
Jaman kuna nchi zina polisi wazuri hadi raha,polisi ukipotea njia ukimfuata anakuelekeza tena kwa bashasha,wanakusaidia kukupeleka,kuna jamaa yangu alikuwa akilewa chakari anapiga simu polisi wanamfuata wanampeleka kwake,na hakuwa raia wa kule.ata ikitokea una kosa unakamatwa kistaarabu,unafika kituoni unaachiwa simu,inawasiliana na watu wako,wanakuruhusu kuorder msosi mcdonalds etc.wanakutreat kama mtuhumiwa sio mtu mwenye hatia
 
Kwahiyo wezi wanapewa misamaha? kwani hata wengine si wanaiba ili kukidhi haja zao za kimaisha?
 
Huku polisi angemuua

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamni mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Ni mara ngapi wananchi eti wenye hasira wanampiga mwizi alieyeba Tsh elfu Kumi ( sishabikii wizi hata hivyo) na polisi ndio huwaokoa?!?!?!/ Mara ngapi?!?!?! Hivyo tujianzie na sisi kwanza kabla ya kunyooshea watu wengine vidole! Sisis waTanzania wananchi wa kawaida tungefanyaje yule mwizi angeshikwa na mwenye duka?
 
Kuna baadhi ya Nchi baadhi ya Kada bado ni WITO. Polisi wenu nyie atakuua kwanza then akufanyie interrogation baadae.
 
Jamni mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Ni mara ngapi wananchi eti wenye hasira wanampiga mwizi alieyeba Tsh elfu Kumi ( sishabikii wizi hata hivyo) na polisi ndio huwaokoa?!?!?!/ Mara ngapi?!?!?! Hivyo tujianzie na sisi kwanza kabla ya kunyooshea watu wengine vidole! Sisis waTanzania wananchi wa kawaida tungefanyaje yule mwizi angeshikwa na mwenye duka?
Peke yako humu ndo una mawazo mazur ho gera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie mnaosema angekua bongo ingekuaje?
Hivi nyie mnawajua wezi wa bongo?

Hachelewi kusema mchongo alipanga pamoja na polisi[emoji23]

sent from Sokoro nkorambokande
 
[emoji23] [emoji23] dah kweli bongo bahati mbaya.
 
Kazi ya polisi ni kulinda usalama na mali zake. Hiyo ndiyo dfn ya wenzetu kuhusu polisi.
Bara giza.. Kazi ya Polisi ni kunyanyasa raia na kuogopwa. Ndiyo maana polisi na raia ni adui.
Wenzetu wanajua maisha ni nn na siyo huku bara giza. Kiongoz anataka aongoze mpaka afie kweny madaraka
 
Back
Top Bottom